lugalo

Lugalo is a village in Tanzania near Iringa which in 1891 was the site of a battle between a German colonial military force and the Hehe army of Chief Mkwawa. This was the first major defeat for the German Schutztruppe and the beginning of the Hehe wars.
A German monument marks the site next to the TANZAM-highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Rashda Zunde

    Lugalo walambishwa asali

    Shilingi Bilioni 4.4 zimetolewa na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya miradi ya ujenzi Lugalo, pia zaidi ya Bilioni 4.8 kwa utekelezaji wa miradi ya afya kwenye Idara nyingine za Ulinzi na Usalama ikiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza.
  2. Kurunzi

    Kilio cha WanaJF kimesikika, Matuta ya Lugalo barabara ya Bagamoyo yamepunguzwa

    Yale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo junction ya kuingilia Lugalo. --- Pia soma - Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?
  3. wa stendi

    Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

    Hizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida. Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande wa kushoto (kama unatoka Mwenge kwenda Tegeta mkono wa kulia) zimejengwa hadi kona ya kwenda kawe...
  4. D

    Chuo cha Kibaha na Lugalo kuna kipi cha tofauti na vyuo vingine?

    Natanguliza shukrani wakuu, Hivi n kwa nini idadi ya waombaji wengi katika vyuo tajwa hapo juu uwa inakuwa kubwa kuliko vyuo vingine, kila mwaka,wenye kuvijua vizuri vyuo hivi atoe mwongozo.
  5. D

    Hivi Lugalo ni chuo cha serikali au chuo cha jeshi?

    Napenda kutanguliza shukrani zangu kwenu,nilikuwa nataka kujua kwanini wanasema chuo cha afya cha lugalo ni Cha serikali lakini ada yao ni kama chuo binafsi, je hii inatokana na nini maana vyuo vingine vyote vya afya ambavyo mi vya serikali ada yao ni sawa. Nawasilisha
  6. R

    Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

    Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari! Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena. Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
  7. R

    Msaada please kuhusu kuripoti Lugalo Medical school

    Wandugu, Kijana amechagliwa kwenda Lugalo kwenye clinical medicine. Kuna taarifa kuwa chuo kimefunguliwa tarehe 3/10/2021. Lakini joining instructions zinasema kufungua ni tarehe 11/11/2021. Nifanyeje kupata uhakika. Ukipiga simu hawapokea. Assist please to get the correct information.
  8. GENTAMYCINE

    Nimeliona hili mara Mbili karibu na Jengo la VIP Mortuary ya Lugalo Hospital hasa wakifa Viongozi je, lina maana au 'tunakompliketi' tu mambo?

    Alipokufa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Kuhifadhiwa hapo kwa Siku kama Mbili au Tatu hivi barabara ambayo si tu hutumiwa na Wanajeshi lakini hata Raia ( akina GENTAMYCINE ) ilifungwa huku 'Makomandoo' wakirandaranda japo baadhi yao mida ya Usiku tulikuwa tukipishana nao mno tu katika 'Korido' za...
  9. J

    Dkt. Mollel: Chanjo ya Corona ni salama, ndio maana Rais Samia baada ya kuchanja akaenda Lugalo kuendelea na majukumu yake

    Naibu Waziri wa afya Dkt. Mollel amesema chanjo ya Corona ni salama ndio maana Rais Samia mara tu baada ya kuchanjwa aliweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida. Mollel amesema Rais Samia alitoka Ikulu baada ya kuchanjwa na kwenda Lugalo Hospital ambako alifanya ukaguzi na kufungua mradi...
Back
Top Bottom