lowasa

  1. Busu la Kenge

    Mwamba alivyowapiga Lowassa na Mengi

    Unaambiwa ile 2015 Mwamba akamuweka pembeni Dkt. Slaa kwa kumkaribisha Lowassa lakini kabla ya hapo masharti ilikuwa Lowassa alipe dollar za kimarekani million moja kwa Mwamba. Lowassa akampa cash, mwamba akatia mfukoni. Mwamba Akaenda kumdanganya/ kumrubuni Mengi, Mengi naye akampa 1m USD...
  2. Sifi Leo

    Niamini Mimi Lowasa aliliwa na wamasai, Raila analiliwa na wakenya wote, kurudi CCM kulimvua nguo, wanasiasa Kama Wenje tafuteni pa KUFIKA

    Odinga Baba WA wakenya pumzika kwa Amani, binafsi nakutambua kama MWAMba wa Africa, Nimepewa taarifa ulipanga tukitoka hosptalin9 ulipanga kwenda gerezani ukonga kumwona Tundu Anti Pas Lissu, tungeenda gereza la Jeshi la wananchi wa Uganda kumwona Kizya Bessige. Nakuomba upokee naomba haya...
  3. Hance Mtanashati

    GE2025 Movement for change ingefanya kazi kubwa mno kipindi hiki cha Nywi nywi ,nywi, Lowasa angebeba nchi kiwepesi sana

    Nikikumbuka mbilinge mbilinge za kipindi kile cha movement for change (M4C) na jinsi presha ya uchaguzi ilivyokuwa juu, nina thubutu kusema laiti kama mheshimiwa Edward Lowasa angekuwa hai basi hiki kilikuwa kioindi sahihi zaidi cha yeye kuongoza nchi. Mpaka sasa sijaona mtu sahihi ambaye...
  4. Sifi Leo

    Ccm wote majizi hata Hayati Lowasa alikwenda chadema na mfumo wa kudukua kura angani na chadema wakapokea, jamani twende wapi sisi watakatifu?

    Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini? Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema walio letwa na Hayati Lowasa? Unaambiwa vijana walitoka izraeli, wakafikia hotelini KAZI Yao ilikuwa...
  5. U

    Rostam, Kikwete na Lowassa: Mafisadi nyuma ya mradi wa Richmond

    Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu. Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa...
  6. Dr Akili

    Utabiri: Yaliyotokea 2015 yakiongozwa na Lowasa yanaweza kutokea 2025 yakiongozwa na Polepole

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwa siasa za nchi yetu, upinzani wa kweli utaanzia na kutatokea (originate from) ndani ya CCM yenyewe na si vinginevyo. Tulishuhudia Lyatonga Mrema alipomeguka ktoka ccm na kutua NCCR- Mageuzi mwaka 1995. CCM waliponea chupuchupu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huo...
  7. stakehigh

    Kinachoendelea Chadema hivi sasa Lowasa alishawahi kukizungumzia

    "Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka" https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
  8. BLACK MOVEMENT

    Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  9. REJESHO HURU

    Viongozi mnaona hii movement ya NON EMPLOYED TEACHER ORGNIZATION (NETO) msifumbe macho

    Vijana wasomi wenye taluuma ya uwalimu wasio na ajira wameanua kuanzisha movement jiulizeni je wakiungwa mkono na taaluma nyingine hali itakuwaje, kumbukeni wazazi waliowasomesha nao wanasononeka kwaiyo hata wazazi nao watawaunga mkono, wanafunzi vyuoni watwaunga mkono Tunajua mna mabomu mna...
  10. Bulelaa

    Huwenda Chadema ndicho Chama kilichokataliwa na Baba wa Taifa kushika hatamu kama ilivyokuwa kwa Lowasa?

    Chadema ndicho chama Kikuu cha upinzani Tanzania licha ya misukosuko mingi inayopitia, hiki ndicho nafahamu na jambo hili liko wazi! Nimetafakari nikawaza na kuwazua mengi sana, na tafakari yangu ikanipa kuwaza hiki ninachouliza sasa Chadema kimepitia na kinaendelea kupitia kwenye wakati mgumu...
  11. M

    Ripoti ya Tume ya Lowasa kuhisu Majengo ilifanyiwa kazi?

    Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko! Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto. Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo...
  12. R

    Mzee Lowassa alipotuambia tunaandaa bomu (vijana) tulidharau; Bomu lenyewe ndilo Gen Z sasa linalipuka

    Ashukuriwe na kukumbukwa Mzee wetu Lowasa. Aliwaza kitajiri na hakuwahi kuabudu umaskini. Alianzisha shule za kata lakini alipofaulu kwenye Mradi huu alitoka adharani akatueleza madhara ya matokeo ya kizazi cha shule za kata kwa siku za mbele. Alituambia tusiweka misingi ya kuwaingiza vijana...
  13. T

    Shusho amlilia Lowassa

    Shusho amlilia Lowassa
  14. T

    Shusho amlilia Lowassa

    Shusho amlilia Lowassa.
  15. Z

    Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa. Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5...
  16. Richard

    Msibani imesemwa Hayati Lowassa alikuwemo JWTZ hadi Ukapteni na akashiriki vita vya Uganda. 2015 mzee Makamba alisema Lowassa hakwenda jeshini

    https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8 Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu. Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
  17. S

    Sababu kubwa ya Nyerere kumkataa Lowassa asiwe Rais ni utajiri wake uliotokana na urefu wa kamba yake wakati huo!

    Juzi hapa niliweka thread JF iliyosema wengi wa matajiri wa Tanzania ni wanasiasa na sio wafanya biashara, nikiwa na maana kwamba utajiri wao haujatokana na kufanya biashara bali umetokana na nafasi zao za kisiasa au uongozi serikalini kujitajirisha - urefu wa kamba zao. Kwa wengi wetu huo ni...
  18. mtwa mkulu

    Picha Yangu bora msibani kwa Lowasa inaongea Mengi

    1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti 2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite 2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa wao ni wamoja ila wanapretend kuwa tofauti mbele yetu. 3. Lema ni mtu serious kuanzia Usoni hadi moyoni
  19. Fene

    Kwangu mimi "Kikwete is the wisest Tanzanian president ever, he's intelligent"

    Mwamba ni wa kitambo, Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa Mwamba anongozwa na akili na si mihemko na ndio maana nadra kusikia kafanya maamuzi ya hovyo Mwamba...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kisa cha usaliti baina ya Lowasa na rafikiake kinasisimua Sana. Miaka ijayo kitaigizwa kwenye filamu. Ni kisa cha Maisha

    Kwema Wakuu! Kisa cha Lowasa na Rafikiake na usaliti mkubwa uliotokea ni kisa kitakachoishi kwenye taifa hili kwa karne na karne. Huwaga visa vya usaliti na mapenzi vinadumu sana. Historia na Historia zitapita lakini visa vya usaliti havipiti kwani ni visa vya maisha. Kisa cha Yesu na Yuda ni...
Back
Top Bottom