love

  1. screpa

    JamiiForums Tanzania KISS OF LOVE 'Body Splash' nazipata wapi kwa bei nafuu?

    Hizi Body Splash zinapendwa sana na watu wa vipato vya kawaida ambao ndio wengi, changamoto ni kwamba zimepanda bei na hii ni kwasababu ya demand kuwa kubwa. Je muuzaji mkubwa wa hizi Body Splash hapo Dar ni nani nione kama naweza kuzipata kwa unafuu, maana nimezoea kununua kwa wauzaji wa...
  2. CNO

    JamiiForums Tanzania LOVE❤️

    Upendo imefanya dunia ikawa salama Karibu🤝
  3. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanawake Ni Viumbe vya Ajabu? Na wanabadilika Ghafla?

    Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu? na kwa nn ni emotional creatures? Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia Na namna gan ya kuishi nao?
  4. itakiamo

    JamiiForums Tanzania EP yangu , ENDLESS LOVE , sikiliza Kisha naomba utoe maoni

    Hii ni EP yangu Mimi Itakiamo AKA Dj Tamil nimeifanya kwa Artificial intelligence. Walioimba kwenye hizi nyimbo nitawapa majina ya kufikirika. List ya nyimbo 1. Kila Saa Dj Tamil ft Reygirl 2.Nipende mie Dj Tamil ft CeeMusik 3. Stay with me Dj Tamil ft Robert 4. Wewe ni wangu Dj Tamil ft Suzie...
  5. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Turn off the TV, turn up the love, make this holiday count with your Kids.

    Holidays mean kids are home more but are we handing them screens or our attention? Too often, TV becomes a babysitter instead of parents being present. Let’s change that. Screens can entertain, but they don’t teach empathy, creativity, or problem-solving. Kids need real interaction and...
  6. KENZY

    JamiiForums Tanzania Love you by Wyclef Jean & Eve, ilivyomuinua mtoto nakuanza kulisakata!

    Ilikuwa ni siku ya mimi na yeye, tukiwa ndani tukirabahuka kwa muziki na pombe kwa mahaba na huba, kwenye playlist yangu nikawa nimetupia huo wimbo!.. Nikaona mwenzangu kanyanyuka mikono juujuu kama mateka!, punde namuona anaanza kucheza kwa madaha!, kiuno kikipelekwa kushoto na kulia huku...
  7. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ni huzuni kuona jitu zima na akili zake lina-fall in love kama litoto

    Inasikitisha sana wakuu. Yaan pale unaona mwanaume amekua zoba kwa dem ambae ni malaya grade A. Dem ameshaliwa mikao na matundu yote kisha anatokea boya mmoja mwenye ushamba wa madem eti anaweka ndani. Kwanza unatuchukulia malaya wetu tulozoea kumpiga mitungo na kujilia tunavyotaka. Hii tabia...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Your failures are someone's enjoyments. Always people love your failures no one likes your successes

    People are so different more than you think. If you start telling your personal progresses resulting into success every body hates you but if you tell them your failures they so much interested to hear and they will be happy about you. This happens in africa and especially africans. I dont...
  9. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Swahili Audio: Seven Signs They Only Love What You Have (Ishara Saba Kwamba Wanapenda Tu Kile Unachokimiliki)

    Ishara Saba Kwamba Wanapenda Tu Kile Unachokimiliki
  10. D

    JamiiForums Tanzania I love ccm Sana ila they are walking blindly. thinking they are too big fail. it's not good

    I will be short kuna theory inasema " NOTHING IS TO BIG TO FAIL" ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently. so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
  11. Neem Min

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Yaliyojaa Maneno ya Watu: Nifanyeje?

    Hey there! I’m a 24-year-old woman, and I need some advice before I lose my mind or worse:D:D, my patience with people who think they know everything! So, picture this: I was living with my sister, but she basically kicked me out because I was dating a guy who had just ended things with his baby...
  12. M

    JamiiForums Tanzania kihistoria ndoa hazikuwa zinafungwa sababu ya love, bali sababu zinginezo, zama hizi ndoa zinavunjika sana sababu zinafungwa sababu ya kupendana

    Kwa kihistoria, ndoa ilikuwa suala la kibiashara kabisa. Katika maeneo ya kale ya Mesopotamia, Misri, na Uchina, ndoa zilipangwa ili kukuza utajiri wa familia, kupanua maeneo, na kuimarisha ushirikiano wa kisiasa. Miongoni mwa Wazulu wa kusini mwa Afrika, ndoa ilikuwa njia ya kuunda uhusiano...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ukishamwonesha unampenda sana, unajiweka kwa Shutdown — Love za sasa ni maumivu kwa mjinga

    Watu wengi wanaingia kwenye mahusiano wakiwa na moyo mweupe, wanafikiria watawapenda wenzao kwa roho yote na matokeo yatakuwa happy ending kama zile fairy tales. But kwenye real life bro, vitu ni rough, hii love ya mtaa sio ya textbook. Ukisham-show mtu that you love them too much, too openly...
  14. lucasmax

    JamiiForums Tanzania First love

    FIRST LOVE Imeandikwa na lucasmax Ig.lucasmax304 Tiktok.lucasmax304 +255743163081 Episode ya 1 Mama yake alitoa macho mithili ya jambazi lililohukumiwa kunyongwa hakujua ni sababu gani iliyomfanya kijana wake wakiume kuamka asubuhi sana akijiandaa kwenda shule. Mama huyu ilibidi amuulize...
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na distance love naombeni ushauri

    Hivi nyie wenzangu ambao mko kwenye distance love mnawezaje aisee yaani siku baada ya siku ndivyo ninavyozidi kuchukia distance love na kumchukia huyu binti bila sababu yoyote ile ila binti inaonesha kunipenda sana ila mimi kadri ya siku ndivyo navyozidi kumchukia na kuchukia hii distance love...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania May this kind love locate my ex 😭😂

  17. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Watu wanajua kuhonga nyie

    Unakutana na mtu maisha kaya patia akiwa na late 30's Zaidi ya kusoma Hadi sa Tisa alfajiri Kisha analala masaa matatu manne na kwenda darasani Tena akiwa shule na hata chuo hajui kitu. Hajui mapenzi. hajui urafiki. Yani mtoto wa kiume bikra (tendo la kwanza na mwanamke)alitolewa na...
  18. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania MAN TO MAN : Ni Nini alikifanya ukagundua kuwa yule mwanamke hakufai ??

    Seriously ... Tusaidiane kujua aina ya red flags mlizowahi kutana nazo wakulungwa kwa upande wenu na mkazichukulia hatua .... Hata wanawake mnaruhusiwa kutoa red flags zenu zilizowakimbiza kwenye baadhi ya Mahusiano.
  19. Sweet16

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwa Muna love?

    Toka wiki iliyopita naona Mwanadada Munalove aliyekuwa mke wa Peter komu sijui makomu (anayemjua atanisahihisha) analeta maombi Instagram Mungu ampitishe kwenye kikombe anachokunywa saivi, anaomba sana Mungu amponye mtoto wake, kuna nini? Je? Hivi kwa akili ya kawaida mtu anapitia magumu ya...
  20. Aathan

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mdada ambae tutakuwa nae kwenye mahusiano ya long distance

    Namtafuta mdada ambae. Tutakua nae kwenye mahusiano ya long distance. Mimi ntakua namtimizia mahitaji yake, (pesa) Nae atakua natimiza mahitaji yangu Chart, calls, video calls Kigezo : awe na shepu tu
Back
Top Bottom