live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    Imekuaje Kesi ya Pili ya Tundu Lissu kuhusiana na Uchochezi hairushwi live?

    Wandugu Mahakama walituahidi kesi za Tundu Lissu zitarushwa live leo. Tunafahamu Tundu Lissu ana kesi mbili, Ya Uhaini na ya Uchochezi. Kesi ya Uhaini imehairishwa, vipi ya uchochezi ambayo mashahidi wanapaswa kuanza kutoa ushahidi leo?
  2. Komeo Lachuma

    Muda huu nafuatilia Fifa Araba World Cup. Anayehost haya mashindano ni Morocco

    Muda huu nafuatilia Fifa Araba World Cup. Draw yake inafanyika. Anayehost haya mashindano ni Morocco. Hawa jamaa hatuwezi shindana nao.
  3. Fbn

    Nchi ya kusadakika yenye mfalme juha sababu ni kaptula la marx

    Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali. Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa. Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi. Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
  4. Carlos The Jackal

    Live CHADEMA inakufa Wakuu ,oneni hii ,CCM moto wa kuotea mbali

    Kahama imesema No Reforms No Election https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1923772820057706620 Hapa Wananchi wakikichangia Chama Chao ili kife. https://x.com/chacha_heche/status/1923776355302252998 Muachieni LISSU nyie wapumbavu, Mabadiliko haya ni ya lazima, ni ya Wananchi, LISSU mijumbe...
  5. S

    Kwanini Wasanii wanaamini Live show bila kelele wala fujo haiwezekani?

    Nimehudhuria baadhi ya matamasha na LIVE SHOWS za Wasanii wetu. Ila sikuwahi kufurahia tamasha hizo kutokana na kelele zisizo na mpangilio kutoka kwa wasanii wenyewe. Mara , Kushoto Kulia, mko wapi? mara Ruka juu!, mara mnataka niendelee au niwaachie? Yote haya yanaonekana kuwa ni sehemu ya...
  6. President of China

    Semina kubwa Songea, Wajumbe zaidi ya 800 wa siasa na Serikali za Mitaa wafikiwa na Mama Samia Legal Aid

    Hii ndio Tanzania ya watu wote. https://www.youtube.com/live/CIfhuj_3bvM?si=hu0-rcS5CnzB9JT9
  7. Prof_Adventure_guide

    Teknolojia Inatu-Cheat Live! AI Ina-Drain Ubongo Wetu Bila Hata Kutugusa!

    Wacha nikwambie kitu moja straight up bila kuzungusha — hii AI ni kama dope mpya ya kizazi cha dot com. Inakufanya ujione mwerevu, lakini deep down ina-slow kill akili zako. You feel me? Yani mtu anakaa home, hawezi hata kuandika paragraph bila kumtumia ChatGPT. Bro, that’s soft! That ain’t it...
  8. uhurumoja

    Hatimae wachoka kuanzisha Uzi wa live kuhusu penalties fc

    Leo wakiwa wanaelekea kukamilisha episode ya 4 ya maigizo Yao vijana wao wameshindwa kabisa kuanzisha Uzi kwani wanajua nn kinaenda kutokea hasa baada ya deal kwenda sawa na kuwafidia watoza ushuru kile ambacho wangepata tabora Nasikia amberruty kahoji kama hawajazi kmc complex kwa Kila mechi...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Fuatilia LIVE Kesi dhidi ya Tundu Lissu. Inasikilizwa muda huu mahakamani

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao. === UPDATE Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
  10. R

    Nyie wenye madaraka kumbuka: The Evils that men do live after them

    Mulilo, kuna hukumu ya Mungu inakusubiri, Samia hatakuwepo, utajibu wewe mwenyewe Bado una muda wa kurekeisha kasoro! na nyie polisi pamoja na kwamba mnatii amri, chukulia mama zenu , ndugu zenu wa damu for clarity , wamekuja kwenye kesi ya Lisu mahakamani, mtawapiga na kuwapeleka Mabwe...
  11. Nusratt

    Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

    Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa). Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:- Kuniuliza Swali, Kunikosoa kwa lolote, Kunishauri Chochote, Kunipongeza kwa lolote. ILA: Maswali yasiyo na tija na...
  12. Pascal Mayalla

    Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

    Wanabodi Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5P Paskali
  13. N

    Watanzania zaidi ya 5500 live mtandaoni mda huu kufuatilia chama makini Tanzania (CHADEMA)

    Habarini za mchana wana jamvi.... CDM inaonekana kukonga mioyo ya watanzania wengi ambao wamechoka na ufedhuri na dhuruma ya CCM. Hii ni dalili njema kwamba kumekaribia kupambazuka, tuendelee kumwomba sana Mungu wetu wa haki. Simba wa nyika Tundu Lissu na Heche kila waungurumapo CCM inapagawa...
  14. wa stendi

    Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

    Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule...
  15. K

    Live music performance Bongo

    Mimi ni Mpenzi wa muziki na nikiwa na nafasi huwa nahudhuria events kadhaa ambazo top artists wa bongo wanaperforme, nimenotice jambo ambalo ni utaratibu ambao sielewi ulianzishwa na nani lakini wasanii karibu wote wameuiga, suala la kuperforme huku bodyguards na videographers wao...
  16. sinza pazuri

    Usikose kumsikiliza Kamanda Mchome live kesho 9-04-2025

    Watanzania wote kesho macho na masikio yao yatakuwa kwenye kipindi cha supa breakfast. Kumsikiliza Kamanda Lembrus Mchome yule yule mvunja nazi kwa ugoko. Ataendelea kueneza elimu ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa hususani upinzani na kupinga kwa nguvu zote udikteta uchwara.
  17. Pascal Mayalla

    Live from Bombambili Songea: Uchaguzi Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF), M/Kiti Deodatus Balile, M/M/Kiti Bakari Machumu, Wapita Bila Kupingwa!

    Wanabodi Wahariri 200, tuko hapa ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili Songea kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) kwa ajili ya kuwachagua viongozi wetu. https://www.youtube.com/live/aikWUmkeZoQ?si=XurjnnZA5ESAjUmB...
  18. D

    Mwanaume elewa kuchapiwa ni siri ya ndani

    Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako! Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa. Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu na kuchekwa. Wewe ukichapiwa tafuta kwanza tafuta utulivu, ikiwezekana nenda mbali kwanza upate...
  19. Pascal Mayalla

    Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  20. and 998 others

    Tetesi: Arusha International Iftar kurushwa live CNN, BBC & Al Jazeera

    Tukio la kutikisa dunia Arusha International Iftar (AII) limerushwa mubashara na Vituo vikubwa vya Televisheni Duniani. Hongera Dr
Back
Top Bottom