live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. Je, Yesu na Paulo wangekuwepo "live" duniani leo, wangecheza au kushabikia mpira?

    Enyi Wakristo, leo nimewafuata hukuhuku, najua mpo wengi kwenye jukwaa hili la Sports. Please, naomba kwa dakika moja tuzungumze jambo muhimu kuhusiana na soka. Soka ni mchezo unaofurahisha na kuwaunganisha watu wengi duniani. Lakini, je, mmewahi kujiuliza kama Bwana wetu Yesu Kristo na mtume...
  2. Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri haijaanza hadi sasa, Huenda kesi isioneshwe live Leo

    Inaonekana Leo mahakama inaweza isioneshe kesi ya Lissu Live. Maana mpaka muda huu wanashauriana kama wairushe live au lah. Hii ni kuandaa watu kisaikolojia pale itakapotangazwa ya kwamba mahakama imekubaliana na ombi la wakili wa serikali.
  3. GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  4. R

    Kama unaruhusu open court watu waje wasikilize, why not live streaming?

    Swali zuri sana. Unaruhusu walio mahakamani wasikilize, lakini unakataa live streaming! Does it make sense ?
  5. Polepole: Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM

    https://www.facebook.com/share/v/1GoS18PVZh/ Updates Polepole Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM Hekima ingewaongoza viongozi wetu kuleta Tanzania pamoja katika kuelekea uchaguzi. Wagombea wa CCM kiti cha urais wamejilazimisha kuwa wa gombea wa CCM.
  6. S

    GE2025 TBC mnaficha nini kumwonesha live Samia alikabidhiwa fomu?

    Kwanini mmeficha kitendo cha Rais kukabidhiwa fomu live? Au kiherehere cha wale wanaojiita usama wa Taifa? Huyo ni Rais wetu siyo wao
  7. Humphrey Polepole amjibu Rostam Aziz na kuongelea kuvuliwa kwake Ubalozi

    https://www.youtube.com/live/dn9GFRy874c?si=sThD_It5uyI8Jnm-
  8. Kumbe hata kwenye matangazo mubashara ambapo mkuu wa nchi anahutubia jamaa wanakuwa vigilant in case anything goes wrong kuepusha aibu au fedheha

    Asee najifunza mengi na ninapenda kujifunza sana. Kumbe haya matangazo ya moja kwa moja ambapo mkuu wa nchi anahutubia na yanapeperushwa kwenye runinga mubashara kumbe yanachujwa kwa ukaribu kabisa nini kiende mubashara na kipi kisiende mubashara. Hakika nineipenda hii ili kulinda image ya...
  9. S

    GE2025 sikilizeni matokeo ya kikao cha CCM live

    Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma. CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu. Sijui baada ya hapa mtakuja na uzushi upi, tunausubiri ila wengine mtawehuka mwaka huu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, OKTOBA...
  10. Kitakachoikoa CCM ni mchakato wa wazi na live kama ule wa CHADEMA

    Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena na kitakachofuata ni kuumizana tu huku wapinzani wa ndani wakiongezeka sana. Chadema walitoa mwanga...
  11. Tupo live hatuchekeshi

  12. U

    'I am not offering Iran anything,' Trump says

    Brand Mini LIVE 'I am not offering Iran anything,' Trump says 'I am not offering Iran anything,' Trump says Summary US President Donald Trump said Monday he is not offering Iran “anything” and added that he is not even talking to the Iranian officials following US strikes on the country’s...
  13. Bunge live, Kuna Mic imesikika inasema “kuna wanawake zako wanapiga” 😀

    Kwa wanaofuatilia bunge live , kuna mic ya mbunge imesikika ikisema “kuna wanawake zako wanapiga”
  14. U

    Breaking News President William Ruto makes new appointments, promotions in Kenya Defence Forces KDF

    Citizen Digital Live TV Live Radio search Change of Guard: President Ruto makes new appointments, promotions in KDF Joseph Muia By Joseph Muia Published on: June 27, 2025 12:59 (EAT) President William Ruto has made a new round of appointments and promotions in the Kenya Defence Forces...
  15. VIDEO: Ona Sam Sasali alivyopàmbana na Kafulila TVs zikiwa Live " Hizo namba za ukuaji wa uchumi zinafaida gani kwa mwananchi wa kawaida?"

    Mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha Clouds Media Sam Sasali akimuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika Mdahalo wa The Cafe Talk alikuwa na haya ya kusema, Kwanza mtangazaji Sam Sasali alitaka kujua uhalisia wa tarakimu za ukuaji...
  16. CAFE TALK: CCM, CHAUMMA na ACT Wazalendo wanachuana vikali muda huu

    Hakuna chama kinachoiweza CCM isipokuwa CHADEMA leo Kafulila na Happi wanajipakulia tu minyama mbele ya CHAUMMA na ACT WAZALENDO, https://www.youtube.com/live/UP89m78r-Uk?si=NhbWNO83GsYHj3xL
  17. U

    Netanyahu: I promised Iran’s nuclear sites would be destroyed, a and I kept that promise

    Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Sunday, June 22, 2025 Netanyahu: I promised Iran’s nuclear sites would be destroyed, and I kept that promise By Jacob Magid Follow Today, 5:46 am 1 Prime Minister Benjamin Netanyahu gives a Hebrew video statement on June 22, 2025...
  18. 🚨Fuga App sasa ipo live playstore !! Usiikose wewe mfugaji wa kuku

    Baada ya muda wa kuzungumza na wafugaji, kusikiliza changamoto zao na kujifunza kutoka kwao hatimaye Fuga App ipo hewani kwenye Play Store! 🐔📱 Tunashukuru kwa moyo mmoja kwa usaidizi wenu kwa wafugaji wote mliochangia maoni, timu yetu kwa juhudi kubwa, na kila mmoja aliyeamini kuwa jambo hili...
  19. U

    News Alerts Israel expecting US decision on joining Iran strikes in 24-48 hours

    Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Thursday, June 19, 2025 Israel expecting US decision on joining Iran strikes in 24-48 hours, says official By Lazar Berman Follow Today, 7:10 pm 2 Israel still expects that US President Donald Trump will join the strikes against...
  20. Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali🤣

    Kila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk. Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ni kutaka sifa kwani unatakiwa uombe Bungeni. Kwani hela za Mama zimeisha gafla? Nimeshangaa sana🤣🤣🤣🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…