lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Swali: Kwanini Tundu Lissu Yuko gerezani?

    Salaam! Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani, Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani maandamano yalipotokea? Hakuna kesi, hakuna ushahidi, hakuna shahidi lakini bado anashikiliwa. Ninyi GEN...
  2. Idugunde

    Rais akiwa anatakiwa kutambua kuwa hii CHADEMA ya sasa ni ya Lissu na sio ya Mbowe

    Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu. Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya...
  3. Foffana

    Tujikumbushe Tundu Lissu kwenye moja na mbili

    Kuna namna nyingi za kudai reforms na kuipata sio tu njia moja ya maandamano na hili tumekuwa tukilisema humu kila siku tunaishia kupewa majina mabaya Lakini waTz tumekariri njia moja tu ambayo imeng'ang'aniwa na wale wanaharakati bila kuangalia kama itakuwa effectively au vipi wao ni bora...
  4. Pakome

    Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

    Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni? HIi ni hoja nzito sana na sii ya kuchukuliwa kirahisi Ili Chama cha Siasa kikue lazima kiwe na idadi kubwa ya Wanachama wenye wadhifa mkubwa katika nchi Mbowe alizalisha viongozi...
  5. S

    Kibao kitapogeuka, Lissu atakuwa uraiani, huku mtesi wake akiwa The Hague Court

    Ni kama ambavyo yule alietaka kumtanguliza Lissu ahera, badala yake katangulia yeye huku Lissu akiwa bado yuko katika uso wa hii dunia. Tena si ajabu Lissu akaja kuwa Raisi wakati huo mtesi wake ameshahukumiwa kifungo cha maisha jela. Muda utasema.
  6. Mto wa mbu

    Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

    Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao. Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti...
  7. S

    Wanaomuweka ndani Lissu, wajue na wao ICC inawasubiri na hayo ndio yatakuwa malipo yao

    Tunajua wanafanya yote haya kumkomoa na pengine wakitarajia Lissu atawapugia magoti kitu ambacho hakipo. Kwa akili zao, chanzo cha maandamano ya Oktoba 29 ni CHADEMA hivyo wameongeza chuki kwa Lissu na CHADEMA wakati viburi vyao ndio chanzo Uzuri sio Lissu wala CHADEMA au wanaharakati...
  8. Fbn

    Tokea Lissu kuwa mwenyekiti CHADEMA, tumejua tabia watu wengi kumbe walikuwa vilaza ndani

    Kuna huyu Yeriko Nyerere unaweza kusema vile vitabu vyake anajua sana kumbe ni mtu wa kutumia akili mnemba kuchambua kabla tujastuka. Naomba ni mzungumzie huyu jamaa kwanza. Huyu jasusi la bamia ni kama vilaza wengine kwa kumuona maongezi yake. Ukimfata mjenge hoja au jasusi utajua kwa nini...
  9. M

    PostGE2025 Hivi leo Lissu akatoka akaitisha mkutano, unadhani mwitikio utakuwaje?

    Hivi leo LISSU katoka akaiitisha mkutano Viwanja vya Jangwani unatarajiia nyomi yake itakuwaje?
  10. Pakome

    Hii ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kuyumba baada ya kuingia kwenye mikono ya Lissu

    Kwa historia ya CHADEMA tangu inaanza haijawahi kuyumba kwa kiwango hiki cha sasa ni kama inataka kusambaratika Hii ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kususia uchaguzi tangu isajili Chama chake Ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kutokusimamisha mgombea wa Uraisi Hii ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kukosa...
  11. Common Folk

    Barua ya Tundu Lissu yenye kurasa sita (6) kwenda IDU (International Democracy Union).

    STATEMENT FROM UKONGA CENTRAL PRISON, DAR ES SALAAM, TANZANIA TO THE WAShINGTON SUMMIT OF THE INTERNATIONAL DEMOCRACY UNION (IDU) Honourable Chairman, Honourable Vice Chairpersons, Honourable Secretary General, Esteemed Delegates from member parties Friends and fellow Democrats from around the...
  12. Keynez

    PostGE2025 Samia anasema wapiga kura wa CHADEMA walimpigia yeye

    Sikusikiliza hotuba nzima ya jana kwa hiyo kila ninapopata vipande vipya napata mshangao mpya. Katika hotuba yake ya jana, Samia aliwakosoa watu wanaoshangaa na wanaosema 98% alizopata hawezi kuwa amezipata kwa sababu mwitikio wa wapiga kura ulikuwa mdogo sana. Akasema 98% ni ya kura...
  13. Idugunde

    Mbona sisi kama taifa tulipiga kelele hayati Nelson Mandela aachiwe? Kuna ubaya gani EU kupiga kelele Lissu aachiwe!

    Tulipopiga kelele na kupoteza rasilimali zetu kwa ajili ya hayati Nelson Mandela aachiwe Afrika ya kusini haikuwa Sovreign state? Ilikuwa dola huru lakini ilikuwa chini ya utawala dhalimu ambao ulimweka jela kwa kesi ya uhaini kwa mizengwe. Mpaka sasa hapa kwetu kesi ya Lissu imeonekana wazi...
  14. ngara23

    Tundu Lissu yupo jela miezi 8, ila lawama za maandamano anapewa yeye?

    1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi 2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea vurugu na maandamano 3. Lissu anafadhiliwa vipi na wazungu na Yuko gerezani hana mawasiliano yoyote...
  15. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Magereza yajibu malalamiko ya CHADEMA kuzuiliwa kumuona Lissu gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema viongozi wake wamezuiwa kumwona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliyepo katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. Lissu yupo mahabusu kwa kesi ya uhaini inayomkabili kwa takriban miezi minane sasa, tangu alipokamatwa Aprili 2025...
  16. Carlos The Jackal

    Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  17. R

    Kwahiyo Gwajima ndiye alpha na omega wa ujenzi wa umoja na haki na amani. Siyo "Niffer", Lissu, na wanaoozea jela kwa kesi za." mchongo"

    Unadhani unajenga kumbe unaharibu. Dr. Mwigulu jitafakari kabla ya kuja mbele ya kamera kwenye majira haya ya tense and fragile moments.
  18. Idugunde

    Kwa mambo kama haya maridhiano yatapatikana? Au wamechukia Lissu katajwa na Bunge la EU?

    Hawataki kabisa Lissu atembelewe na makada wa CHADEMA
  19. U

    Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
  20. Waufukweni

    PostGE2025 Barua kutoka kwa Tundu Lissu: Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na sio Rais halali wa nchi yetu

    BARUA KUTOKA GEREZA KUU LA UKONGA. Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na sio Rais halali wa nchi yetu: Kwa mujibu wa Taarifa ya awali ya watazamaji wa uchaguzi kutoka umoja wa Africa (AU); 1. Taratibu za kisheria za uchaguzi zilizotumika zilikuwa "...kinyume na viwango vya kikanda, kibara na...
Back
Top Bottom