lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu

    "Kwenye siasa za ukombozi siyo hizi za udalali, kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu". Tundu Lissu akihutubia watia nia April 3, 2025
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania Lissu: Tuliomba uchaguzi uhairishwe kwa mwaka Mmoja ili tuweke mambo vizuri, CCM (Wassira) wakakataa

    Akitoa utetezi wake Leo, Lissu amedai katika Mkutano wake na watia Nia wa CHADEMA alipendekeza uchaguzi wa mwaka 2025 usogezwe mbele kwa mwaka Mmoja ili serikali pamoja na upinzani wakae na kuweka mazingira mazuri ya uchaguzi. Ila pendekezo lake likakataliwa na CCM kupitia Makamu Mwenyekiti...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Nilivyosoma Utetezi wa Tundu Lissu Bila kuathiri mwenendo wa Kesi Tundu Lissu anaenda kunyoa kwenye kesi yake

    Nimesoma Utetezi wa Tundu Lissu yeye ni wakili nguli pia ila naona ameshaziona dalili zote hii kesi ananyoa Bila kuathiri proceeding ya kesi ameburuzwa sana na akapoteana na binafsi nimesoma hukumu pamoja na Proceedings hasa za jinai za Mahakama kuu na Mahakama ya Rufaani sijawahi kuona...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Nimesikia Mbowe yuko kwenye uzinduzi wa bwawa, wakati Mwenyekiti wake yuko Ukonga

    Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu inaendelea Jumatatu Agosti 24 ambapo mshtakiwa anajitetea mbele ya mahakama. Lissu: Ukiangalia miaka kabla ya 2020 tume imekuwa ikifanya hivyo. Lakini 2020 kuna matokeo ya urais hayakuchapishwa. Sina uhakika kama ya mwaka jana...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru, Tundu Lissu ndio atakuwa Mwanasiasa wa kwanza Kunyongwa kwa ajili demokrasia ya taifa lake

    Hakuna mwingine ambae alishaandika historia kama ya Tundu Lissu. Kusingiziwa kesi isiyo na mashiko wala mbele. Kama watamtia hatiani atakuwa Mwanasiasa wa kwanza kumwaga damu yake kwa ajili ya demokrasia ya taifa lake.
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Lissu na Mbowe ni washirika ama ni mahasimu wa kisiasa?

    Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu. Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa? Mbowe...
  8. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Lissu haponi kesi hii

    Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu. Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za...
  9. 4

    JamiiForums Tanzania Mwachieni mwana wa Mungu, Lissu, viginevyo mtakufa midomo wazi - asema Bwana

    Habari wana wa Mungu jf popote mlipo, amani Bwana ikawe juu yenu. Mungu akanionesha yeyote aliye nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio muda atakufa mdomo wazi. Mwachieni mapema sana, viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua Niwatakie majukumu mema na zingatia hili. Thanks
  10. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili John Heche na Tundu Lissu wamuunge mkono Wasira

    Hoja ya Steven Wasira kuwa kesi za jinai hazipaswi kuisha kwa busara na maridhiano ni ya kuungwa mkono na kila anayeamini katika utawala wa sheria. Kama DPP amefungua kesi kwa maslahi ya umma ili kupambana uhalifu kwanini kesi hiyo iishe kwa maridhiano kati wa mtuhumiwa na serikali?. Hakuna...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo moja kubwa: Woga mkubwa wa Samia kwa Lissu sio mzuri !

    Uoga mkubwa ambao anaonyesha Samia kwa Lissu hauna tija kwa jamii. Lissu anahitaji kuheshimiwa sio kuogopewa. Ukiwa Raisi hata kama fake ni vibaya kuogopa mtu kwa kiasi hiki maana usipokuwa makini kama sasa Samia atabomoa kila sheria za bunge na mahakama kwasababu tu ya uoga. Sasa Watanzania...
  12. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Tundu: Antipas Lissu mbele ya Mahakama...

    Wakuu ! Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia. Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda Bado hata Mashahidi wa Jamhuri...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je Kuna sababu zozote za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta kesi ya lissu mpaka Sasa ?.

    Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je tunamhitaji Tundu Lissu kwenye siasa za Tanzania au Hatumuhitaji?

    Nianze kwa kumpongeza Mh Rais Samia kwa utekelezaji na ukamilifu wa ujenzi wa bwana la Umeme la Julius Nyerere,pia nauzingatia mchango wa Hayati Rais John Magufuli kama mwanzilishi wa utekelezaji wa ndoto za Hayati Baba wa Taifa,Julius Nyerere kuwa Stigglers Gorge Rufiji liwe bwawa la...
  15. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

    Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti. Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho. Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Lipo MUHIMU? Lissu anyongwe au Samia afike mahakamani kumtetea?

    Rais ni amiri jeshi mkuu anae WAJIBIKA raia wake wanaidhi vyema na hawafai kijinga jinga. Leo hii Lissu anakesi ya kujibu, Rais wake anatakiwa aje adhibitidhe km ni kweli au la, mawakili wa UMMA mnaweka vikwazo Je LIPI MUHIMU? Lissu kunyongwa au Samia kuja mahamakani?
  17. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Lissu hashauriki; Walishindwa Jaji Warioba na Raila Odinga kuhusu NRNE

    Tarehe 10 Februari 2025 Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali...
  18. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Lissu kukutwa na kesi ya kujibu, Je Mvutano wa Mashahidi utaamuliwaje? | Majibu ya kisheria na kikatiba

    Jana Agosti 21, 2026, Mahakama Kuu (Masjala Ndogo Dar es Salaam) ilitoa uamuzi muhimu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru liliamua kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Hii ni hatua muhimu ya kisheria. Sasa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anatamani kumshika mkono Lissu na kupiga nae picha mbele ya kamera kwenye hadhara kuliko hata kupiga picha na Papa wa kanisa Katoliki

    Na huyu si mwingine bali ni yule anaebariki Lissu kuteswa gerezani Leo hii, mtu huyu akipewe option ya kupiga picha na Lissu au Papa wa Kanisa Katoliki, atachagua kupiga picha na Lissu ili tu ajisafishe mbele ya walimwengu Papa nimemtaja kama mfano tu wa watu wenye ushawishi ambao kila mtu...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa dhidi ya Tundu Lissu?

    Binafsi sio mshabiki wa Chadema Wala Chama chochote cha kisiasa ila nimekuwa nikijiuliza hili swali Ebu jaribu kuondoa ushabiki wa kisiasa tuuvae ubinadamu jamaa kapitia changamoto kubwa sana imagine kapigwa risasi kumi na 6 na zote zimeingia mwilini tena eneo kapigiwa ni la wazi lakini cha...
Back
Top Bottom