lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kupeperusha bendera ya CHADEMA ni kukiua chama

    Kampeni za chama zimeisha na tayari chama kimempata mgombea ambaye ni Tundu Lissu. Tunampeleka kwenye mkutano mkuu na naamini atapata baraka za mkutano mkuu. KAZI ZINAZO FUATA NI KUMUUZA MGOMBEA NCHI NZIMA Mgombea wetu amaleta msisimko mkubwa kwa wanachama wa Chadema na hasa wajumbe. Hali hii...
  2. Tuna show love kwa Mheshimiwa Tundu Lissu

  3. GE2020 Ukweli mchungu: Zipo kura za WanaCCM wa JF kwa Lissu, hazipo kura za wanaCHADEMA wa JF kwa Rais Magufuli. Ushindi unaanzia hapa!

    Rais Magufuli umelikoroga sasa na ulinywe tuu maana hakuna namna. Ukitumia ubabe kwa watanzania watakupiga kwenye sanduku la kura, sisi tunasema usitumie ubabe. Tukakusihi kutoka mwaka 2016 kwamba ubabe hausaidii, tukawambia usifanye hivyo ukakaidi, sasa utapigwa! Tulikuonya usiende na njia...
  4. S

    Baada ya matokeo, Nyalandu azushiwa mtandaoni kutaka kuhamia ACT-Wazaleno. Mwenyewe akana, na zaidi kampongeza Lissu

    FAKE FAKE FAKE!!! Haya sio maneno yangu na hiyo ni account FAKE! Imeandikwa, Usimshuhudie jirani yako uongo-Lazaro Nyalandu on twitter Ampongeza Lissu: PONGEZI SANA kaka Mh.Tundu Lissu kwa USHINDI wa KISHINDO ulioupata BARAZA KUU CHADEMA kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Chetu. Nakupongeza kwa...
  5. Lissu atashinda mioyo yetu, Magufuli atashinda kura zetu

    Kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mhe. Rais John Pombe Magufuli na ndugu Tundu Lissu kwa kuteuliwa na vyama vyao(CCM na CHADEMA) kuwa wagombea urais katika uchaguzi huu wa mwezi Oktoba, Niende kwenye hoja ya hapo juu ya kuwa Bwana Lissu bila kupinga atashinda sana mioyo ya...
  6. GE2020 Hotuba ya Tundu Lissu kuwania Urais: Neno wajumbe limepata maana mpya 2020

    Kabla siajaenda mbali sana, ninaomba nianze kwa kusema kwamba nimepata fadhaha kubwa jinsi ya Kuwaita nyinyi wote mliokusanyika hapa katika ukumbi huu kama baraza kuu la Taifa la chama chetu. Katiba yetu ya chama inawaita wote wajumbe wa baraza kuu la taifa. Hata hivyo, tangu kura za maoni...
  7. Mheshimiwa Tundu Lissu hivi kule Dodoma 'uliposhambuliwa' hukuweza 'Kumkariri' hata 'Muuaji' Mmoja pekee?

    "Namshukuru sana Rais aliponiamini na kuniteua kuwa Mkuu wa DSM, mpaka leo hii nakabidhi ofisi kwa RC mpya,...nitaamka hata saa tisa za usiku katika mapambano ya kumlinda Rais,..sio vizuri kumchezea Dkt. Magufuli mkahisi Makonda hatamtetea kwa kuwa hayuko kwenye kiti cha ukuu wa mkoa,..ingekuwa...
  8. Je, Watanzania tunamtaka Tundu Lissu agombee Urais?

    Habari za wakati huu; Tundu Lissu ni mtundu Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea Urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea Urais Tundu is very smart Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa John Pombe...
  9. R

    Tundu Lissu ni mjanja sana. Tafadhali msimguse. Mwache ashindwe au ashinde kwa haki

    Niwajulishe tu wenzangu na mimi kuhusu Lissu na namna ninavyoweza kumchukulia. Iko wazi kuwa Tundu Lissu ni kijana/Mzee mwenye uwezo mkubwa kiakili. Hili linaweza kuthibitishwa na watu wanaofanya nae kazi na hata sisi watu wa siasa. Huko kwenye taaluma yake mambo ya haki, sheria na wajibu ndio...
  10. M

    GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  11. S

    Ukumbi wa Mlimani City utalipuka kwa shangwe baada ya Lissu kutangazwa mshindi katika kinyang'anyiro cha kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa. Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele...
  12. Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

    Siongezi neno
  13. GE2020 Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995 inambana Lissu kuwa mgombea

    Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995. Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi. Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi...
  14. J

    GE2020 Lissu vs Nyalandu Urais umerudi kwenye heshima yake

    Ni ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na wagombea wawili machachali Hon. Lazaro Nyalandu na Hon.Lissu imekuwa ndio gumzo hapa mjini hadi...
  15. GE2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

    Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana...
  16. GE2020 Lissu vs Nyalandu ni sawa na CHADEMA vs CCM masikioni mwangu

    HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili. 1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM. 2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider...
  17. GE2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

    Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi. Rais anatakiwa awe ame " out grow "Ile phase ya...
  18. GE2020 Tundu Lissu haijui vizuri siasa, wamjenge kisaikolojia asije kupata tena maumivu mengine

    TUNDU LISSU akae chini atulize kichwa ajiulize kuwa kwa nini chama hakimpi heshima anayoistahili ya kupita bila kupingwa? Chama kinajua ukweli kuwa Tundu Lissu amepoteza sifa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa nafasi yoyote ya kisiasa kwa kukiaka masharti ya watumishi wa umma baada ya kuvuliwa...
  19. GE2020 Watanzania milioni 29,188,347 kuwahukumu akina Magufuli (CCM), Lissu (CHADEMA) na Membe (ACT-Wazalendo) Oktoba 28, 2020

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347. Nipashe. Kimahesabu hapo najua Magufuli ana Kura zake Milioni 20 Kamili, Lissu ana Kura Milioni 9,188,347 na Membe ana 0. Mshindi kuwa...
  20. S

    GE2020 Ingekuwa katika Nchi za wenzetu, Nyalandu na wenzake wangejitoa na kumuachia Lissu

    Mpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100. Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe. Anyway, wacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…