lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wangapi wanaufahamu mchango wa Tundu Lissu kwa Taifa?

    Nimemfahamu ndg Tundu Lissu at least 2008 nikiwa chuo. Sijawahi kusoma historia yake. Nilipenda speed yake kama kijana hasa akiwa bungeni lakini as time went on nikawa nalose interest na baadae nikampuuza kabisa nikawa sina interest nae hasa upinzani wake kwenye ku reshuffle mikataba ya madini...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mara ghafla Mbowe, Mnyika, Lissu na Heche wasimamishwa uongozi Chadema, msajili aridhia

    Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi' Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa watarejea nchini hivi karibuni ili kuendeleza jitihada za kudai Katiba mpya. Wakizungumza katika kongamano la Baraza la Vijana la CHADEMA...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

    Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu. Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni mkwara mbuzi usiokuwa na tija. Mnataka kudanganya kulikuwa na maridhiano? Lissu nae maneno mengi hana lolote

    Mnataka kuleta uwongo kuwa kulikuwa na maridhiano? Acheni janja ya kishamba. Maridhiano gani sasa? Kwani Spika alikuwa na taarifa za uongo? Au ndio Mbowe aliingia makubariano ya kuacha harakati? 👇 Lissu anadai kutema cheche? 👇
  6. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe na Majizi ya Escrow

    Wakuu Habari! Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa. Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
  7. JamiiForums Tanzania Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

    Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka ubalozini mpaka uwanja wa ndege. HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa, hatujui fadhila gani. Pia Lissu...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuzuia Siasa za matusi, Lema, Lissu, Mdude, Maranja Masese, na vijana wengi wanaweza kufa kisiasa!

    Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
  9. JamiiForums Tanzania Lissu uko wapi bei za mafuta zinapanda kiholela mbona huongelei chochote ujue taifa linakutegemea

    Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa. Najua unaendelea vizuri hapo ulaya. Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue. Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima mitaani kwa kishindo. Lema na Lissu kuwasili nchini hivi karibuni.

  11. JamiiForums Tanzania Lissu alifanya kosa kubwa kumsingizia kifo huyu jamaa

    Ni aliyepata kuwa mlinzi mahsusi wa JPM bwana Oscar. Jamaa ni bomba na anaendelea na majukumu yake kama kawaida. Keep RIP JPM!
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  13. JamiiForums Tanzania Lissu na Lema mwezi Machi na Aprili umeisha, mbona hamrudi nchini?

    Igweeeeee Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa CHADEMA kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

    Picha: Dkt. Willbrod Slaa Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita. TAARIFA YA CAG INAPOTOSHWA “Kuna upotoshwaji kwenye taarifa ya CAG, nadhani Zito Kabwe angelisaidia sana...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

    Iko hivi, Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100% Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani. Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

    Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais...
  17. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

    ..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya. ..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ili ku-deal kisawasawa na watu hao, unda Tume ya kijaji kuchunguza mauaji ya MKIRU, kina Ben Saanane, Azory, kushambuliwa kwa Lissu

    Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli. Ingawa siikubali CCM na viongozi wake tangu nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii, ila siungu mkono huu...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu, mabilioni mliyopewa katika chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) yaliishia wapi?

    Lissu alikuwa mmoja wa viongozi wa chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) . Chama hiki kilipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, na mara tu baada ya kupokea, chama hiki kiliuwawa kimyakimya na Hela ikaliwa. Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa ulifanyika ....ndugu yetu Lissu, hebu funguka ili upate...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

    ..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi. ..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani. ..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…