lini

Linyi (simplified Chinese: 临沂; traditional Chinese: 臨沂; pinyin: Línyí) is a prefecture-level city in the south of Shandong province, China. As of 2011, Linyi is the largest prefecture-level city in Shandong, both by area and population, Linyi borders Rizhao to the east, Weifang to the northeast, Zibo to the north, Tai'an to the northwest, Jining to the west, Zaozhuang to the southwest, and the province of Jiangsu to the south. The name of the city Linyi (临沂) literally means "close to the Yi River".
The city recently expanded along the Yi River to Nanfang, now called the Beicheng New Area, under the slogan "Grand Linyi, Beautiful Linyi, New Linyi". Multiple recreational parks were built, along with new school campuses etc. The development is a consequence of a series of governmental projects, including relocate the city government, which is expected to stimulate the economy.
The population was 11,018,365 at the 2020 census, of which 3,651,868 lived in the built-up area made up of Lanshan District, Luozhuang District and Hedong District, as well as Linyi National Hi-Tech Zone.

View More On Wikipedia.org
  1. Vien

    Kuna muda mtu akiniuliza “ntaoa lini?” Kichwani kwangu naona ni sawa na mtu anayeniuliza "Ntapoteza furaha yangu lini?"

    1/ Dunia ya leo, upendo wa kweli ni nadra. Watu wengi wanaishi maisha ya ku-pretend tu. Ukiwa na mtu, akagundua hawezi kupata kitu, huondoka. Hii ndio ukweli wa mahusiano. 2/ Wengi wanafanya ndoa kwa sababu ya pressure ya jamii au familia. Lakini ndani, maisha yao ni siri na maumivu. Wake na...
  2. Mwezeshaji1

    Umepumzika lini mara ya mwisho? Ukaona "hapa kweli nimehema"

    Leo, baada ya muda usio na jina, nimelala mchana...nikaona uuuuuuf...mwili unasema "shukrani" Si afya kutokutuliza akili, nafsi na mwili. Hata hivyo kuna wakati hauna jinsi, nami nimekuwa kwenye "hakuna jinsi" kwa muda usio na jina, na huu mwezi uliopita ilikuwa kama kupita kwenye tanuri...
  3. Yoda

    2015 ndio ilikuwa mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi, tusichanganyikiwe

    Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015. Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
  4. ngara23

    Polisi wanadhani ni sifa kuogopwa? Wamewakamata BAWACHA Kwa kusema tu hawaogopi polisi

    Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa? Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
  5. Pdidy

    Waziri Mkuu, Wananchi wa Kipunguni wanalipwa lini pesa zao? Wezi wanavamia nyumba, kumebaki mapori tu

    Mh Waziri Mkuu, Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako. Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
  6. Liverpool VPN

    Wajuvi njooni mnijuze, "Mungu aliumba dhambi lini?"

    Nimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi .... Twende taratibu ..... Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo? 1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi?? 2. Kama kila dhambi huwa tunapata...
  7. Echolima1

    Ripoti za uwezekano wa vita kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza

    Ripoti za uwezekano wa mzozo kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza. Mrorongo wa ndege za Marekani tayari uko katika eneo hilo, na diplomasia inajitokeza chini ya kivuli cha kuzuia. Tehran inajenga upya silaha zake, inaunga mkono wawakilishi, na inaendelea kutoa wito wa...
  8. A

    KERO Ajira Mpya Mtama DC hatujalipwa fedha za kujikimu na hatujui tutalipwa lini

    Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini. Kwa kweli tunapata shida sana. Naomba kuwasilisha hiyo kero yangu mkuu.
  9. T

    Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC) matokeo ya leseni mnatoa lini?

    Habar wana Jf Husika na kichwa cha uzi hapo juu, sisi wahitimu ya fani ya uuguzi tulifanya mtihani wa leseni 19 Disemba, 2025 na tulipia huo mtihani laki na nusu! Sasa hawa jamaa muda unazidi kwenda hawatoi matokeo wako busy kukusanya hela za marathon ambazo sisi hazitusaidii, sisi tunataka...
  10. Z

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yanatoka lini?

    Nina Imani kuwa humu jf Kuna watumishi wa Baraza la mitihani. Matokeo ya kidato Cha nne yanatoka lini?
  11. Bawabu wa pili

    Hivi ujenzi wa Barabara Dar utaisha lini?

    Unajua imekua kama kero hivi, yaani miaka inaendaga inarudi ila kila siku Dar es salaam wapo kwenye ujenzi wa barabara. Hivi ni ujenzi wa miundo mbinu gani hii isiyoisha? Ujue kuna maeneo Dar ukipita unaweza dhani upo mkoani? Nauliza tu, kwamba Serikali imeshindwa kutenga hata mwaka mmoja au...
  12. kibori nangai

    Hivi KKKT na Serikali hii Ndoa yenu imeanza lini

    Nawasalimu kwa Jina Bwana Wetu Yesu Kristo . Hiyo ni salamu kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania. Nawauliza VIONGOZI WA KKKT hasa Malasusa na Serikali ndoa yenu imeanza lini ??? Tenaaa au toka Malasusa Aingie ndio mkafunga ndoa kabisaa . Mimi siungi mkono kabisa . Na nawaambia...
  13. M

    Makabila yanayofanya tohara kwa wanawake yana maendeleo duni, lini yatabailika ?

    Ukifuatilia makabila yanayoanya tohara bado yapo nyuma sana kimaendeleo
  14. DuaZaMama

    PostGE2025 Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI

    Mchungaji Godfrey Malisa, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro akikabiliwa na kosa la uhaini. Kesi hiyo (Namba 000028333 ya 2025) inatarajiwa kutajwa kesho, Ijumaa, Januari 2, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  15. October 2pm

    Mwamficha hadi lini. Siye Tuna hamu kumwona mbele ya umma

    Tumemmisi walahi. Sio ahutubie mafichoni wala. Siye twataka ajitokeze kama afanyavyo Waziri wake. Nye nye nye tutafurahia nye. Wajua twampenda. Naye ajua. Sasa yanini kumvundika mafichoni Nye. Miye nawajuza leo. Twamhusudu kweli. Tumechoka kummisi kipenzi chetu. Atokemo hadhalani ahutubie...
  16. M

    Polisi wataacha lini kutumiwa na wanasiasa kufanikisha agenda zao huku wakiachwa katika umasikini?

    Nimeona hii clip ya mchekeshaji Crazy Kennar, inaakisi hali halisi ya jeshi la Polisi ambapo askari wamejikuta wakiwatumikia wanasiasa kufanikisha mambo yao huku lenyewe likiendelea kulalamikiwa na kudharauliwa.
  17. Silivian

    “Unaoa lini?” Ni swali lililoulizwa sana jana Uchagani

    “Unaoa lini” swali lililo ulizwa zaidi juzi na jana uchagani.
  18. Mshana Jr

    Lini polisi wa Tanzania. Wamewahi kuwa wa kweli?

  19. heartbeats

    Askari Posho posho za Oct 29 nafikiri zimeisha?

    Manchekesha sana mapot Mnadharaulikia. Mnalipwa ili mtupe watu mnalipwa ili muue watu ,muwabambikizie kesi n.k Adi sasa nafikiri posho zishaisha zile za oct 29 mmerudi apeche alolo mnakula dei waka za kuteka teka watu ovyo. Mpo salama maana watu wengi hawana access ya silaha ,kwa sisi...
  20. Mafyangula

    PostGE2025 Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi, Karibuni wote tuendelee kuenjoy zaidi na zaidi

    Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia...
Back
Top Bottom