lindi

Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.

View More On Wikipedia.org
  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Watu wa kusini( Lindi na Mtwara) ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima

    Ndiyo huo uhalisia watu wa kusini hasa hasa Lindi na Mtwara ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima yaani hawa watu wa kusini ndiyo gamer changer Tanzania mzima tu ila ndiyo hii nchi watu wanakaza mafuvu tu kutokana na ubinafsi wao wewe mtu kama Mkapa ona baada ya kukabidhiwa nchi tu...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 LUWASA yaagizwa kuchunguza changamoto ya miundombinu ya maji Lindi

    Mkuu wa wilaya Lindi, Victoria Mwanziva ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (LUWASA) kuchunguza uharibifu wa miundombinu ya mradi wa Ng’apa. Hatua hiyo inafuatia malalamiko ya wananchi wa mtaa wa Mtange kukosa maji kwa zaidi ya wiki moja.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Acheni Uongo Jimbo la. Mtama Lindi Nape Nnauye ameshinda Kwa kura 3160

    Matokeo rasmi Mheshimiwa Nape ndiyo mshindi na. siyo Jemedari Said kama wanavyodai baadhi ya Makada wa mchongo.
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtangazaji wa Clouds TV "Kijah Yunus" aliyemchapa Maswali ya Uchonganishi Lissu mpaka wakazenguana, ateuliwa viti Maaalumu Lindi

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025. Majina yao yalisahauliwa kutangazwa katika orodha iliyotolewa mapema leo na kusomwa mbele ya waandishi wa habari...
  5. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Cha makazi kinahitajika Lindi mjini

    Wakazi na wenyeji wa mji wa Lindi.. Kiwanja cha kujenga nyumba ya makazi kinahitajika.. Kama unacho au kuna mtu unayemjua anacho na anauza basi unakaribishwa mtu wa nguvu.!!
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT waibua madudu ya CCM Lindi, shule yenye wanafunzi 800 na Walimu wanne

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe amesema Chama chao kimedhamiria kushiriki uchaguzi na kulinda kura zao kwakuwa wana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania kwa kuborsha elimu ambayo kwa sasa inatolewa kwa matabaka Soma pia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ashikiliwa na Polisi usiku wa manane Lindi

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi Kwa mujibu wa taarifa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Lindi Akamilisha Ziara Kata kwa Kata Jimbo la Mchinga kwa Kishindo

    _WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO _ Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Charles Mwanziva amehitimisha kwa kishindo ziara ya kikazi Kata kwa Kata katika kata zote za Jimbo la Mchinga- Lindi Manispaa ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Wilaya nzima ya Lindi katika majimbo matatu ya...
  9. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kilicho fanya mikoa ya kusini Lindi, Mtwara na maeneo ya Ruvuma kukosa miundo mbinu miaka nenda ni nini haswa?

    Mikoa ya kusini Lindi Mtwara na maeneo ya Ruvuma miaka mingi sana hakuna miundo mbinu Bora barabara ni viraka vitupu Mfano kutoka liwale mpaka nangurukuli Zaidi ya 231km hakuna lami liwale to nachingwea hakuna lami ni tope Somanga daraja bovu linaunga mikoa ya kusini KOROSHO, UFUTA MBAAZI NA...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum UWT Kata ya Nachingwea, Lindi

    Katibu wa Chama cha Makandarasi Wanawake Kanda ya Kusini, Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) katika Kata ya Nachingwea, Wilaya ya Lindi mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini yaleta mageuzi makubwa kiuchumi Lindi

    Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi, shaba, madini ya vito na madini...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya washiriki 300 kujitokeza maonesho ya madini mkoani Lindi

    Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara kufungua maonesho ya Madini Lindi wilayani Ruangwa Zaidi ya Washiriki 300 wamejitokeza kushiriki Maonesho ya Pili Lindi (LINDI MINING EXPO 2025 yanayofanyika kuanzia tarehe 11 hadi 14 Juni 2025, katika Viwanja vya Madini -...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Telack Apewa Tuzo ya Heshima, Uasisi wa Lindi Mining Expo

    RC TELACK APEWA TUZO YA HESHIMA, UASISI WA LINDI MINING EXPO MKuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amekabidhiwa tuzo ya heshima kama muasisi wa Maonesho ya Madini ambayo yalianza mwaka 2023 yakiwa na mafanikio makubwa . Tuzo hiyo imekabidhiwa Juni 14, 2025 na Mhe. Steven kuruswa Naib Waziri...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lindi International University (LIU) kuzinduliwa Oktoba 2025

    Lindi kuchele. Mambo yameanza kuongezeka Kilimanjaro kaeni kwa kutulia tunakuja kwa Kasi ya mwanga. Kozi zitakazotolewa, Undergraduate 1. Bsc Aquatic Science, 2. BA African Medicine, 3. BA Islamic Banking, 4. BA Sharia, 5. BA Econometrics, 6. BSc. Aeronautical Engineering, Postgraduate PhD in...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Emmanuel Shija: Utafiti umebaini uwepo wa kiasi kikubwa cha madini eneo la Ruangwa, Mkoani Lindi

    Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe (Graphite) na Nickel. Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Lindi...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Baada ya kubezwa kwa mda mrefu, mkoa wa Lindi sasa unaenda kuwa "Mineral Hub of Tanzania"

    My Take Hakuna Mkoa ambao Hauna mali Kwa Tanzania ila Mkoa wa Lindi unaenda kuwa kitovu cha Madini mkakati Tanzania kama -Graphite -Nickel -Gypsum -Gesi asilimia Ikumbukwe LNG plant yenye Thamani ya Shilingi Trilioni 90 inaenda kijengwa Lindi. Kwa wasaka fursa Lindi is the next big thing...
  18. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye takwimu za vitongoji visivyo na umeme Mtwara na Lindi

    Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma. Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza kupata hizo data. Asante.
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Lindi yaipongeza Kilwa kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inawaogopa watu wa LINDI na MTWARA pekee

    Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi. Watu wa kusini ni next level. Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013...
Back
Top Bottom