RC TELACK APEWA TUZO YA HESHIMA, UASISI WA LINDI MINING EXPO
MKuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amekabidhiwa tuzo ya heshima kama muasisi wa Maonesho ya Madini ambayo yalianza mwaka 2023 yakiwa na mafanikio makubwa . Tuzo hiyo imekabidhiwa Juni 14, 2025 na Mhe. Steven kuruswa Naib Waziri wizara ya Madini
Maonesho hayo yamefanyika kwa mara ya pili mwaka huu 2025 yakikutanisha wadau zaidi ya elfu saba .
Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Mhe. Zainab Telack katika kuibua na kuinua sekta mbalinbali mkoani Lindi ikiwemo Madini.
Attachments
Screenshot 2025-06-15 at 19-03-10 Nchi Kwanza (@nchikwanza) • Instagram photos and videos.png
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.