lindi

Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: Mbunge wa Viti Maalum achangia bati 90 ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea

    Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Lindi aagiza usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu Halmashauri ya Mtama

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. Telack ametoa wito huo mapema alipotembelea kukagua ujenzi wa shule na miundombinu hiyo ya elimu yenye thamani ya Bilioni 7.8 Soma pia: Pre...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: Zaidi ya watu 120,000 wanufaika Samia Legal Aid

    Kamati ya msaada wa Kisheria imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli hiyo iliyodumu kwa muda wa siku 10 ndani ya mkoa wa Lindi tangu ilipozinduliwa Februari 19, 2025 wilyani Ruangwa na Mhe. Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kupata taarifa na matukio...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Bora kumtoa kafara mzazi ama mtoto ili kuokoa wengine ktk ukoo kutoka kwenye lindi la umaskini

    Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo. Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika...
  5. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya maji wilayani Nachingwea ni changamoto; yakitoka ni machafu na kwa muda mfupi hukatika

    Habari wanajukwaa wenzangu na Mamlaka zote zinazohusika. Kumekuwa na sintofahamu sasa ya muda mrefu kuhusu nini hatima ya Wakazi wa Nachingwea katika upatikanaji wa Maji na Salama. Tunaomba mamlaka zinazohusika ziingilie kati kwani mitaa mingi ya wilaya ya Nachingwea haina maji (kumaanisha...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana wachoma gari la Mwenyekiti wa UVCCM Lindi

    Watu wasiofahamika wamechoma moto gari la Mwenyekiti wa vijana CCM wilaya ya Lindi bwana Frenk Mzani Menuka na kusababisha uharibifu mkubwa kwa gari hilo aina ya Toyota Cresta GX 100 lenye namba za usajili T 402 BCH ambalo lilikuwa limeegeshwa kwenye nyumba anayoishi Mwenyekiti huyo wa vijana...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maporomoko ya Udongo yafunga Barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam kwa Saa Tano

    Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, zimesabisha maporomoko ya udogo, kufunga barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, katika eneo la Mikindani kwa zaidi ya saa tano na hivyo kuleta usumbufu kwa abiria na madereva. Soma Pia: Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: ACT Wazalendo walalamikia mchakato wa uandikishaji daftari la mpiga kura. Wasema hawajashirikishwa

    Chama cha ACT Wazalendo mkoani Lindi, wametoa malalamiko yao mbalimbali kwa Afisa mwandikishaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mjinga pamoja na Jimbo la Lindi mjini Bwana Juma Mnwele kutokana na kutoshirikishwa katika masuala ya uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: Viongozi, Wananchi wajiandikisha daftari la mpiga kura, wahamasisha wananchi kujitokeza

    Wapiga kura wapya 102,668 wanatarajiwa kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Manispaa ya Lindi kupitia zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa za wapiga kura lililoanza Januari 29 hadi Februari 3,2025 Mkoani Lindi. Uandikishaji huo kwa upande wa Manispaa ya Lindi ni kwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta ardhi Lindi

    Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye trekta za kukodisha maeneo ya Dodoma , Iringa, Lindi, Pwani, Dar na Tanga tuwasiliane

    Kama uko maeneo hayo na una trekta lenye angalau HP 100 tuwasoliane kwa whatsapp 0656388678. Asanteni na heri ya mwaka mpya 2025.
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Lindi Amulika Miradi ya Elimu, Asisitiza Muda, Ubora na Thamani ya Fedha

    DC LINDI AMULIKA MIRADI YA ELIMU, ASISITIZA MUDA, UBORA NA THAMANI YA FEDHA Mkuu wa wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva amesisitiza Miradi ya elimu kukamilika kwa wakati, Ubora na thamani ya fedha ambapo ameyasema hayo akikagua miradi ya Elimu Sekondari katika Manispaa ya Lindi akianza na Miradi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yaomba radhi umeme kukatika mara kwa mara Lindi na Mtwara, yasema kuna kazi ya kufunga Mifumo Mipya

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Masasi Mkoani Lindi, kusoma zaidi bofya hapa ~ Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo , Shirika la Umeme Tanzania...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya siku ya uhuru Lindi 9 December 1961

    Nimekuta hayo hapo chini mahali na mimi nimeamua kuunga mkono kukumbisha siku ya kupokea uhuru Lindi: KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BARABARA YA UHURU ILIYOPO KATIKA MANISPAA LINDI. Msomaji wa makala za durusu durusu za historia mapema nimepita...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Viongozi wa Dini na Kimila wasema uchaguzi umefanyika kwa Uhuru na Haki, Uchaguzi ujao amani itawale kama sasa

    Wakuu, Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema? HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi, kuenguliwa kwa wapinzani, polisi kukamata wapinzani kwenye kampeni na wizi wa kura ambao ushahid wake...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: CCM yashinda kwa asilimia 99.9 kwenye Wilaya ya Mtama

    Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Mtama Anderson Msumba leo Novemba 29,2024 ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu katika halmashauri hiyo. Msumba amesema kati ya nafasi za uongozi 2,325 zilizoshindaniwa na vyama vinne vya siasa,Chama...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: CCM na CUF wafungana Matokeo ya Uchaguzi Liwale, Uchaguzi kurudiwa

    Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri ya Liwale, Tina Sekambo, ametangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa leo, Novemba 28, 2024, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa habari. Katika taarifa yake, Sekambo ameleza kuwa halmashauri ya Liwale inajumla ya vijiji 76 na...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apiga kura kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi. Akizungumza baada ya kupiga kura ambapo aliongozana na Mkewe Marry Majaliwa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Lindi Mwambao watoa msaada wa Madawati, Viti vya Walemavu, na Matairi

    Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao kimemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva madawati 150,viti mwendo 2 na mataili 4 kwaajili ya jeshi la Polisi, vyote vikiwa na thamani ya shilingi 19,700,000 ikiwa ni kutekeleza msingi wa saba wa Ushirika wa kuisaidia jamii. Hafla ya...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Msimamizi wa Uchaguzi kwenye Manispaa asisitiza wagombea kufanya kampeni za kistaarabu

    Wakuu, Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza? Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kuhakikisha kampeni zao zinafanyika kwa kistaarabu na kwa kufuata...
Back
Top Bottom