Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata malipo.
Hata wakiomba kiwango fulani cha nauli, wahusika wanaolipa na malipo wanachofanya ni kukadiria...
Anonymous
Thread
baada
elimu
fedha
hata
idara
idara ya elimu
likizo
liwale
miaka
mwingine
umma
wakati
watumishi
watumishi wa umma
wilaya
zao
Mimi ni mdau wa JamiiForums.com nina kero ambayo naomba ujumbe ufike kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya pamoja na ofisini yake kwa jumla.
Sisi Watumishi katika ngazi Elimu Msingi hatujalipwa fedha yetu ya likizo tangu Desemba 2024, licha ya kuwa tulijaza fomu ya malipo...
Anonymous (7e77)
Thread
elimu
elimu msingi
likizo
malipo
mawakili
rorya
watumishi
Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani.
Kinachoshangaza zaidi...
kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule
Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo
Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja
Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni.
Na hapo...
Wakuu, naomba kuuliza swali lipo hapo juu. Walimu mmeshaanza likizo au bado mpo shule mnafundisha? Naomba kujibiwa na Walimu wote waliopo humu JF. Km mpo likizo semeni kuna jambo jingine nataka kuwauliza.
Wakuu, poleni na mapambano. Leo nina swali au mjadala general.
Mara nyingi tunakimbizana na mishe za kila siku bila hata kuupa mwili na akili nafasi ya kupumzika, ukiachilia mbali vacation.
Vacation inaweza kuwa fupi tu, hata wikiendi moja nje ya mji, lakini matokeo yake yakawa makubwa sana...
GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.
Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
Heshima yenu wakuu ,
Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena .
Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
Anonymous
Thread
likizo
pesa
serikali
taasisi
taasisi za serikali
tena
wake
watumishi
Niliyoyagundua
Sebuleni kuligeuka Bedroom siku za mwanzo - TV ilikuwa on muda mwingi, wavulana utawakuta kwenye Game au mabinti kwenye series
Chakula tulichowapimia hakikutosha hasa ubwabwa wa usiku, ilibidi vikombe vya ziada viongezwe
Semaji la CAF mbona umetelekeza timu yako sio kawaida yako kukaa kimya hivi au ndo umesusa
Semaji la CAF mara ya mwisho tulikubaliana na ulisisitiza simba haitaenda uwanjani kama tarehe 15 itabadilishwa
Unachofanya semaji kwa kukaa kimya sio vizuri tumemis comedy zako
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).
Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni.
Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao.
Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12.
Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
Anonymous
Thread
elimu
kila siku
likizo
shule
siku
udhaifu
wakati
wake
watendaji
watoto
Hii ni kwa wazazi Tu na walezi, kataa ndoa piteni pembeni. Hapa naomba tupeane ushauri jinsi ya kulea watoto wetu.
Kama Una maoni au ushauri ambao unaona inafaa kwa wazazi wenzako pls share hapa
Mimi, cha Kwanza nianze kwa Hili
Kuna hii changamoto inawakumba watoto wengi.
Inatokea watoto...
Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu.
Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
Habari ndugu zangu
Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku moja.
Sasa imetokea nimeresign, ila HR anasema siwezi kulipwa hio hela ya likizo kwa sababu mkataba...
A Level na O Level, masomo yote.
Kutana na walimu wabobevu kwa kila somo.
Pia tunafundisha mbinu za kufanya solving ya maswali kwa kila topic,, pamoja solving ya past papers...
Hostel pia zipo.
Tupo Tegeta- Nyuki
KARIBU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.