Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,877
Hii ni kwa wazazi Tu na walezi, kataa ndoa piteni pembeni. Hapa naomba tupeane ushauri jinsi ya kulea watoto wetu.
Kama Una maoni au ushauri ambao unaona inafaa kwa wazazi wenzako pls share hapa
Mimi, cha Kwanza nianze kwa Hili
Kuna hii changamoto inawakumba watoto wengi.
Inatokea watoto wanafubaa ngozi.mzazi unajikuta unabadilisha labda mafuta ya kujipaka lakini madogo bado kama wanapauka
Basi bwana ukiona hivo ujue madogo sometimes hawana damu za kutosha.
Kwa vile ni msimu wa machungwa week Tu ngozi zitawaka na kunawiri
Saga tende, majani ya maboga na juice ya machungwa.
Majani ya maboga yapashe Moto kidogo Sana. Wanywe mara mbili kwa siku
Namba mbili tutaendelea baada ya wazazi wengine