Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.
Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.
Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote...
26 May 2025
Liverpool , Uingereza
Mamia ya watu waliojitokeza kushangilia ushindi wa klabu yao ya mjini Liverpool.
Mamlaka za mji wa Liverpool zinasema uchunguzi wa shambulio hilo kwa kutumia gari kugonga umati wa watu waliokuwa wamejitokeza kusherehekea ushindi wa klabu ya mpira wa miguu...
Kila nikiangalia la liga nachoka sana. Yani flop za uingereza ndio zinasumbua Spain yaani Raphinha na Antony
Hii ligi wanapeana nafasi sana yani mtu anapewa nafasi mpaka unashangaa sekunde 10 mtu anajifikiria cha kufanya yupo kwenye box la timu pinzani.
Huo muda hupati uingereza yani weekend...
NIANZE kushukuru Mungu
Allah swbaahannah watalla
Mjaza Neema
Ndogondogo na KUBWA
Ndefu na fupi
Nene na nyembambaaaaa
NIMEONA mda huu viongozi WA TFF na BODI mtakuwa mmeshaongia OFISIN kama hamna emergency yoyote kama magonjwa wagonjwa ama misiba ya karibu
NDUGU ZANGU mgutthooo na karia na...
Kwa kuomba Kipindi Cha pili ya lipatikane goli na yasivuke matatu.... Woooi .... Angali mechi ya Marseille ..alipata 3 ... Nakaza mbupu ..mechi ya Lugodorets..mechi ya Rakow ...mechi ya Marseille mechi 27 ..nimeomba kipindi Cha pili lipatikane goli lakini yasivuke matatu.. mechi ya le Havre...
Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania na baadae fedha itaongezeka itakuwa billion 2, 3 nakuendelea na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kama CAF champions, & CAF confederation fedha itaongezeka
Multiplier...
Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake
Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi...
Bodi ya Ligi inamtafuta Nini Yanga, yani wamepanga mechi za yanga mwishoni mwa mwezi wa Sita , yanga anacheza Leo tarehe 13.05.25 , mechi ingine inayofuata ni tarehe 18.05.25 mechi ingine ni tarehe 15.06.25 hapo Kuna gape la siku 27 yanga atakuwa hajacheza mechi, hii imefanywa makusudi Ili...
Match Day
Vikosi vya Leo.
1. Simba
2. Pamba SC
Mechi imeanza (Kick Off)
4' Hakuna bao pande zote
08' Simba wanapata free kick nje kidogo ya 18, anapiga Ahoua inaishia kwenye mikono ya kipa wa Pamba.
Game on
0-0
11' Mpira unaendelea umiliki kwa Simba, wanaingia sana kwa Pamba.
Refa...
Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo
Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani
Majukumu ya timu mwenyeji
1.kuandaa uwanja na vifaa
Timu mwenyeji (Yanga) ana jukumu la kimuandalia Simba vifaa vya mchezo kama mipira na cones za...
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.
Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.
Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni.
FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi zilizotolewa dhidi yake.
FIFA imelitaka Shirikisho hilo kufanya kazi kwa karibu na kutoa ushahidi wote...
FT Simba 2-1 Azam
Nimefarijika sana kuwaona wachezaji wakongwe wa Simba. Nikiri kwamba hawa ndio watu waliofanya nianze kushabikia Simba SC enzi za RTD na mtangazaji Juma Nkamia na Bin Swed
Dua Bin Saidi
Pamba Lufo
George Masatu
Kipa Kelvin Mhagama
Chombo Redondo
Haruna Boban
Adam Kingwande...
Tulishatoa ushauri humu kwamba mtengeneze umoja wenu..na ikiwa itawafaa msusie kuendelea na michezo ya ligi iliyosalia hadi mtakapohakikishiwa michezo yenu itachezeshwa kwa haki kwa level sawa na vigogo wa ligi.
Shida ninayojaribu kuinote hapa huenda ni kwasababu 70% ya timu za NBC ligi ni...
Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki timu moja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na wenzake wa level moja.
Au basi kila level itoe timu mbili kwa ajili ya nusu fainali, then hao vibonde...
Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26.
Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini...
Hapo vip!!
Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe.
Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za wivu,za kishetani ,za kijinga,za kimaskini na kipumbavu zilizopo kwenye ligi yetu ambazo...
Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa?
Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae.
Ni bora / kheri upewe Dawa iliyo Chungu ili Upone kuliko Dawa Tamu ambayo haitakuponyesha.
Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.