ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Liverpool yamsajili Alexander Isak na kuweka rekodi Ligi Kuu England

    Liverpool wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United, wakiweka rekodi mpya ya usajili England kwa mara ya pili msimu huu wa joto. Alexander Isak ametangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Liverpool kwa usajili wa rekodi wa £125m kutoka Newcastle kwa Mkataba hadi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba tumeshajiandaa kisaikolojia na figisu ligi kuu za kukosa ubingwa misimu kadhaa kwa kutochangia harambee, tumesimama imara !

    Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza. kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika 2025/2026 kufanyika leo mchana nchini Tanzania

    Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali. Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv. Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania CHAN:Ushauri wangu kwa SERKALI.TFF.bodi ya ligi waacheni watanzania waingie bure uwanjani .usituuzie uzalendo

    Nchi zote waandaaji wamewaachia mashabiki wa soka kuingia viwanjani kushangilia timu zao za taifa bure . Timu shiriki zimekuja na mashabiki wamelipiwa viingilia nyie mpo busy kutoza hela nyingi sana sijui mnataka nini na idadi ya mashabiki inazidi kupungua mechi ijayo mtatazama wenyewe VIP Kwa...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Weka utabiri wa top four yako kabla ya ligi hazijaanza kutimua vumbi

    Ligi kuu nchini Tanzania inatarajiwa kutimua vumbi mwezi september ambapo atakuwa anatafutwa bingwa mpya ya NBC premire league kabla ya ligi kuanza nimeona isiwe na shaka nije na moja ya top four yangu kabla ya ligi kuanza kutimua vumbi ..licha ya hivyo hii pia nimetabiri top four kwa baadhi ya...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa za Bukoba Mjini Kati ya Lwakatare na Kagasheki ilikuwa hatari sana ile ligi!

    Miaka imeenda Sana . Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga. Kura zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa. Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa Miaka yote ambayo SAMIA atakuwa Madarakani na Kikwete hai. Simba msahau Kuchukua Ubingwa wa Ligi

    Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji. Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani? Serikali ikiwa upande...
  10. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usajili wa Simba, Azam na Yanga, tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 2025/2026

    Kutokana na huu usajili wa hapa tz tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 25/26??
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Sportpesa wadhamini ligi ya kenya kwa Tsh. Bilion 22.6

    Football Kenya Federation (FKF) has unveiled gaming firm SportPesa as the new title sponsor of the Kenyan Premier League starting from the 2025/26 season. The 10-year sponsorship deal is worth Ksh 1.12 billion. The partnership begins with an Ksh 85 million injection for the upcoming season.
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Marcio Maximo ni Robertihno mwingine kwenye Ligi?

    Nahisi kama vile ni mzee sana kumudu kukimbizana na vijana, au macho yangu yananidanganya?. === Miaka kadhaa tangu aondoke kwenye ramani ya soka la Tanzania, kocha raia wa Brazil, Marcio Maximo ameibuka upya baada ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC inayomilikiwa na...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kuboresha maradufu ligi ya basketball

    Kama nchi lazima tuwekeze kwenye miradi inayotengeneza fedha (money generating project) Katika jitihada za kuongeza vyanzo vingi vya mapato ntahakikisha Tanzania tuna-kuwa na better ecosystem ya mchezo wa basketball, NIKIWA RAIS WA TANZANIA kutajengwa Arena 23 kwa ajili ya ligi ya basketball...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wetu kucheza ligi moja na Pacome, Mpanzu, Diara ni bahati kwao, tumieni ujuzi wao kushinda CHAN.

    Kuna uzoefu ambao wachezaji wetu wa ndani wangeweza kukutana nao kwa timu zetu kualika timu za kigeni au kushiriki mashindano ya CAF, lakini wachezaji wetu waishukuru TFF kuruhusu na timu zetu kusajili wachezaji wenye viwango vikubwa sana kama Pacome, Mpanzu, Diara, Camara, Aziz Ki, Sowah...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya form six yatangaziwe Zanzibar? Hata michezo ya ligi kuu isiyohusiana na Zanzibar ilichezwa Zanzibar, kwanini?

    Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma. Alamsiki.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

    Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira.
  17. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Kuja kwa Florent Ibenge Ligi Kuu ya Tanzania: Ushindani Mpya Waanza Kuonekana

    Kuingia kwa kocha Florent Ibenge katika Ligi Kuu ya Tanzania ni tukio linaloleta msisimko na matarajio mapya kwa mashabiki wa soka nchini. Ibenge, ambaye ni mzoefu na mwenye mafanikio katika soka la Afrika, anatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye mbinu, nidhamu, na ushindani wa ligi yetu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msimu wa ligi 2024/2025 umekwisha na kila timu imevuna ilichopanda

    Hapa Kila Mmoja kavuna alichojiandaa nacho kwa msimu mzima kama ambavyo mwekezaji na mdhamini walivyoshika Kila Mmoja alichoambulia msimu mzima👇🤣🤣🤣
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum ; Hakuna mchezaji mwenye chenga na ufundi mwingi Ligi kuu bara kumzidi Pacome zouazoua, Hakuna mchezaji mwenye IQ kubwa kama Khalid aucho

    "Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young Africans), Mchezaji mwenye Ufundi ni Pacome Zouzoua (Young Africans), Mchezaji mwenye chenga zaidi ni...
  20. P

    JamiiForums Tanzania TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

    Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4. Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+. Msemaji wa Dodoma Jiji...
Back
Top Bottom