ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: Ndani ya Ligi Kuu Bara kuna Wachezaji wanalipwa Laki 2 wengine wanalipwa Milioni 50

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshauri Wizara ya michezo kupitia BMT wapitie na wapendekeze kima cha chini cha mishahara ya wachezaji kwenye Ligi mbalimbali nchini hususani Ligi kuu. Amesema "Kuna baadhi ya Wachezaji wanapokea laki 4 , laki 3, Million 1 na wengine wanapokea Milioni 10, 20 hadi...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Timu za England zilizofika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nyingi

    Graphics: InfinityFootball
  3. M

    JamiiForums Tanzania Full Time: Ligi Kuu: Namungo 1-3 Simba. Majaliwa Stadium 19 Aprili 2026

    Namungo yuko nyumbani akimkaribisha Simba mechi ipo dakika ya 13 kwenye uwanja wa Majaliwa Stadium. Vikosi vya leo Gli kwanza la simba limewekwa ndani na Libesse Gueye 25' Simba wanapata bao la 2 mfungaji Oura 30' Namungo 0- Simba 2 33' Namungo wanapata bao la kwanza kwa mkwaju wa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

    1. Vilabu vya Yanga na Azam vinawania saini ya Ramadhani Chobwedo kutoka TRA United 2. Buba Jmameh ataachwa na Yanga mwishoni mwa msimu huu ( Done deal) 3. Kelvin Nashon anatakiwa na Simba SC. ( Done deal) 4. Mohamed Bajaber ataachwa na Simba SC mwishoni mwa msimu ( Done deal) 5. Ladack Chasambi...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mwakani tunaanzisha ligi ya wazawa tu!

    Waziri wa michezo bwana Paul Makonda amesema kuwa kuanzia mwakani ataanzisha ligi ya wachezaji wa ndani tu kama ilivyokuwa michuano ya Afrika (CHAN) iliyohusisha wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika tu. Kwa kuwa michuano hii ya Afrika imefutwa rasmi na CAF, sasa ni wakati muafaka kuifufua kwa...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF tofautisheni ligi yetu na zile za Ulaya kwa mengi, mazingira ni tofauti

    Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally. Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu hivyo ni pamoja na: 1. Ubora wa viwanja vyao: Wachezaji hawaumii sana mara kwa mara kwasababu za...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Full Time: NBC PL | Azam FC 0-0 Yanga SC | Mkapa Stadium | 15/03/2026

    Timu ya soka ya Azam leo inaikaribisha timu ya Yanga kwrnye mechi ya NBC PL kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
  8. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Simba msikubali hizi faini mnazopigwa na bodi ya ligi, wanaibeba timu masikini halafu pesa wanachukua kwenu

    Hapo vip! Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai. Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ligi Kuu-Bara izingatie ubora miundombinu ya viwanja vinavyotumika kuchezewa mechi usiku, vingi havina ubora

    Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na wadhamini na watangazaji. Lengo...
  10. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Simba inajitahidi kuipandisha ligi ya Tanzania, Yanga inajitahidi kuishusha

    HAPO VIP! YANGA TOKEA DUNIA IUMBWE HAIJAWAHI KUINGIA TOP 10 ZA CAF KAMA TIMU BORA NA KUBWA BARANI AFRIKA. TIMU BORA NA KUBWA NDANI YA NCHI YA YAKE NA NJE YA NCHI YAKE NI TIMU AMBAYO INAFANYA VIZURI KIMATAIFA: SIMBA IMESHAFIKA NUSU FINAL YA CLUB BINGWA MWAKA 1974,FINAL YA SHIRIKISHO MWAKA...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tungeikaribisha Al Hilal kwenye ligi yetu?

  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ligi yetu ni ya kawaida sana

    Tunaisifu Sana na kuikuza kuliko uhalisia, lakini ligi yetu ni ya kawaida sana ila imejaa msisimko wa kishabiki.
  14. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TFF Iwe Inaweka taratibu za Ligi Mwanzoni mwa Msimu tu

    Hii tabia ya kuruhusu viwanja mwanzoni mwa msimu halafu baadaye kuvifungia wakati ligi inaendelea siyo jambo zuri. Wakishakagua uwanja na kuupitisha basi wangoje hadi msimu uishe ndipo wautolee uamuzi mwingine.
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mechi za ligi mbalimbali duniani wikiendi hii Januari 24/25

    Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia burudani ya kiwango cha juu kutoka viwanja mbalimbali duniani, huku mechi kubwa zikipamba ratiba, ikiongozwa na Manchester Derby huko England pamoja na fainali ya AFCON 2025 inayosubiriwa kwa hamu kubwa barani Afrika. EPL & CAFCL...
  16. Lech Poznan

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Taifa Stars ni kama jezi za klabu za ligi kuu

    Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Ligi Ya Tanzania ni Bora kuliko Kenya, kwenye mapato kuna vitu tunafichwa!

    Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14. Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu. Sasa nikiwaza kwa Mkapa na ile capacity ya 60,000 waliokaa bado waliosimama kwenye Derby si inamaana inaingia...
  18. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Japheti Hasunga aahidi kutafuta timu ya ligi kuu Songwe

    AHADI imetolewa kwamba wagombea ubunge na udiwani wa CCM wakichaguliwa kwenye uchaguzi mkuu watahakikisha Mkoa wa Songwe unapata timu inayoweza kushindana kwenye ligi kuu. Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Vwawa kupitia CCM, Japheti Hasunga ametoa ahadi hiyo jana alipoomba kura kwenye mkutano...
  20. Halidi Mtumbuka

    JamiiForums Tanzania Sowah, usajili bora Ligi Kuu kwa vilabu vyote 16 kwenye dirisha hili!

    Namba huwa hazidanganyi. Jonathan Sowah ni mshambuliaji wa kati bora. Akiwa katika Ligi ya Ghana mwaka 2023, alicheza mechi 28 na kufunga mabao 16 na kutoa assisti moja (1). Nchini Ghana alikua akicheza katika klabu ya Medeama. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika alicheza mechi nane na kufunga mabao...
Back
Top Bottom