ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wakati ligi yetu ikiwa haijaisha, EPL watoa ratiba ya msimu mpya, Man Utd Vs Arsenal wiki ya kwanza

    Sisi tunaishi katika dunia yetu. Mpaka leo ligi haijaisha😂 Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao. EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza. Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana. Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawajaumia mechi ya tarehe 15 kusogezwa mbele. Wameumia kuondolewa kazini viongozi wa bodi ya ligi

    Huo ndio ukweli mchungu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi na mashabiki wa Simba, yanayoendelea baina ya Bodi ya Ligi na Yanga ni geresha toto tu, Yanga wataingiza timu Jumapili na tutashangazwa

    Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
  4. haszu

    JamiiForums Tanzania Leo mkuu wa idara kaniwakia sana kwa kosa dogo, yote sababu haniwezi kwenye ligi ya mademu

    Anashangaa yeye ana cheo na ukwasi zaidi yangu ila tukii gia ligi sehemu namtoa, yeye anakataliwa mimi nakubaliwa. Sasa kuna pisi kali ilikuja hapa, yeye katumia nguvu nyingi hadi pesa ila amemkosa, mshua sijamtongoza ila dada anajigonga gonga sana kwangu. So naona tumeshaongia uhasama kwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kama bodi ya ligi wanaficha jina la kiingozi aliyepiga simu kuzuia Simba wasifunguliwe geti,basi hawafai kuwepo kazini

    Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
  6. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Yanga Yatishia Kujitoa Kwenye Ligi Mwakani endapo Matakwa yao yasipofanyiwa kazi

    https://www.youtube.com/live/5nhKldXzqtQ?si=VuEACJPdOlKVtZpt Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe, lakini...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi ni hekima zaidi kusilikiliza madai ya Yanga, wala siyo unyonge

    Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi. Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi Kama TFF walisikiliza Simba na kuvunja mechi kijinga kwanini isiwasikilize Yanga wenye hoja zilizoshiba kuliko...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

    “Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi, waambieni watanzania rasmi kuwa Yanga haitocheza na Simba Juni 15 ili watu waendelee na shughuli zao, mkikaa kimya mtaua biashara za wat

    Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo? Sasa ushauri wangu mechi ya...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kuona Yanga ikishushwa Daraja,Karia kujiuzulu (BODI YA LIGI) au Vurugu inaweza ikawa solution.

    Nazani Bodi ya ligi haitaweza kuipokonya Yanga points 15 na kuishusha daraja,na endapo ikitokea hivo Nchi nzima itakuwa kwenye fujo Barabara na Magari kuchomwa moto. Vita ya Ushabiki ni vita Nyengine kwa Tanzania.
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MDA SI MREFU nimeota BODI ya ligi itajiuzulu na kuundwa BODI mpya na YANGA atatangaza kucheza Derby. ....

    Wapendwa SIJAWAHI kosea ndoto ZANGU Usiku waleonnimeota BODI ya Ligi itajiuzulu siku si nyingi kuanzia sasaaa Na taarifa za ndoto ZANGU zinasema Itaundea BODI mpya Na bAadae YANGA itatangaza kucheza derby Tar 15 jun Ft YANGA ATASHINDA na JUMLA ya magoli ft pande zotee n kuanzia 3+...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba yamponza Heri Sasii, afungiwa miezi 6 kwa kushindwa kumudu mechi dhidi ya Singida Black Stars

    Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Henry Sasi amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu. Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa...
  14. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbichi kabisa: Bodi ya Ligi yasema Mechi ya Yanga na Simba tarehe 15 June, 2025 ni kwa Mkapa na wale waliokata Tiketi zao wataingia nazo

    Kama ulikata Tiketi yako ya Kielektroniki ile Mechi ya Awali itunze kwani hiyo hiyo utaingia nayo Mechi ya tarehe 15 June.
  16. C

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao TFF idhibiti vikali mechi za mipango katika ligi yetu

    Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za kuipa pointi kama ilivyo kwa Singida big stars. Malalamiko yamekuwa dhidi ya waamuzi hususan...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mukwala, Fadlu wang’ara Tuzo za Ubora Mei Ligi Kuu ya NBC

    Mshambuliaji Steven Mukwala wa Simba ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mei Ligi Kuu ya NBC 2024/25 baada ya kung’ara kwenye mechi nne kwa kufunga mabao matatu na kuchangia moja, huku kocha wake Fadlu Davids akichaguliwa Kocha Bora kwa kuiongoza Simba kushinda mechi zote tano za mwezi huo...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Timu kususia mechi za Ligi, Bodi ya Ligi (TPLB) wasema hatujapokea barua ya malalamiko kutoka timu yoyote, hata Singida Black Stars

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwa jeuri hii bodi ya ligi na TFF hawako huru, hawako peke yao

    Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile. Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mguto: Walio tengeneza Tisheti za 'Hatuchezi' hatuwaingilii ila dabi ipo!

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Steven Mguto amesisitiza kuwa Derby iko pale pale kama ilovyopangwa kuchezwa Juni 15
Back
Top Bottom