ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hizi ni timu 5 duniani zilizowahi kucheza mechi nyingi zaidi za ligi bila kupoteza

    5. Al Ahly SC - Misri - 71 CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya nchini Misri na mataji 10 ya ligi ya mabingwa Afrika. Ikiwa na makao yake katika jiji la Cairo klabu...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

    Full Time, Yanga inashinda 1-0. Fei Toto anaipatia Yanga goli GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi 87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango 85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona 80'...
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kibongo bongo, Kwa maslahi kiuchumi yupi ana nafuu kati ya mchezaji wa timu ya kawaida ligi kuu au msanii wa levo za kawaida?

    Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k. B. Msanii...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania AZAM FC imeshinda mechi 7 mfululizo za Ligi Kuu Bara, unazungumziaje mwenendo wao?

    ✅ 1-0 v Simba ✅ 1-0 v Ihefu ✅ 2-1 v Dodoma Jiji ✅ 4-3 v Mtibwa Sugar ✅ 1-0 v Ruvu Shooting ✅ 1-0 v Namungo ✅ 3-2 v Coastal Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Unbeaten hii maana yake Yanga siyo ya ligi hii ya NBC

    Huwezi kuwa na unbeaten 49 kama uko kwenye ligi yenye timu zenye uzito unaofananafanana. Naitabiria Yanga kufika mbali sana kwenye mashindano ya CAF.
  6. M

    JamiiForums Tanzania TFF simamisheni ligi mpaka world cup iishe

    Kuanzia tarehe 20 dunia nzima ya mashabiki wa soka macho na masikio ni nchini Qatar. Itakuwa kero sana kwa mashabiki wenye akili timamu anaingia kibanda umiza kuangalia mechi ya Senegal dhidi ya Uholanzi halafu anakutana na mechi ya yanga dhidi ya Dodoma jiji kwenye TV nyingine, hiyo ni kero...
  7. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Ama hakika Yanga kwa Ligi ya ndani imeshindikana, Azam ndiyo mpinzani wake kwa sasa

    Wakuu leo tumeshuhudia Yanga akitandaza soka lake akiwa imara, pale kati Fei, Bangala na Aucho. Ama hakika Yanga hii kwa ligi ya ndani imeshindikana, mengi yatasemwa ila ukweli utabaki palepal; Yanga ni bora kwasasa.
  8. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Yanga ihamishiwe La Liga, hili soka siyo kiwango cha Ligi ya Bongo

    Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora. Ni mechi ambayo tungepata burudani kubwa sana kutoka kwa timu zote mbili. Ni wakati muafaka wa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea tena leo Novemba 17, 2022

    14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania 16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar 19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars ✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi Yanga SC katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 1:00 jioni. ✍ Baada ya vipigo vitatu mfululizo...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Yanga yaipeleka ligi kuu Tanzania Top Ten Africa

    Baada ya ushindi wa Jumatano kwa kasi sana Yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 Afrika na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9. Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila Yanga ikifungwa tu kelele zinaanza. Yanga ndio...
  11. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Club Aficain ni ya Mwisho kwenye Ligi ya Tunisia

    Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TFF hali tete, yahaha kusaka mdhamini mpya Ligi Kuu

    RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Saido Tibazonkiza amecheza ligi kuu ya ufaransa (league I)?

    Jana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo. Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya ufaransa kabla ya kutimkia yanga. Swali langu kwanini yanga wamemuachia mchezaji huyu mwenye uzoefu...
  14. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kesho kuna mchezo wa ligi kuu kati ya simba na yanga?

    Habari wakuuu. Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau. Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini. Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE ni kweli kesho kutakuwa na mchezo kati ya Simba na Yanga??? Hizi timu TFF. Bodi ya ligi. Hata...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tanzania Prisons na Singida Big Stars zafungiwa kusajili Ligi Kuu

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu ya NBC za Tanzania Prisons na Singida Big Stars kwa kosa la kusajili wachezaji wenye mikataba na klabu zingine. Uamuzi wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji umefanywa...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Prison 1 - 0 Azam, Ligi Kuu ya NBC

    FT: TANZANIA PRISONS 1-0 AZAM FC 46’—⚽️ Jeremiah Juma NB: Azam hawakupiga Shuti lolote lililolenga lango la Prisons.
  17. Championship

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu ya NBC itasimama wakati Okrah atakapokuwa kwenye kombe la dunia?

    Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Stephano Aziz Ki aitwa timu ya Taifa ya Burkinafaso, kikosi chao hakuna mchezaji anayecheza ligi ya kwao

    Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan. .... Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki (26) tayari ameanza mazoezi...
  19. msakini

    JamiiForums Tanzania Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

    1.Al Ahly 2.Wydad Casablanca 3.Esperance de Tunis 4.Raja Casablanca 5.Mamelodi Sundowns 6.TP Mazembe 7.Zamalek 8.Horoya 9.Petro de Luanda 10.Simba 11.CR Belouizdad 12.JS kabylie 13.Al Hilal 14.As Vita Club 15.Al-Ahli Tripoli 16.Coton Sport
  20. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

    Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
Back
Top Bottom