ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Prison 1 - 0 Azam, Ligi Kuu ya NBC

    FT: TANZANIA PRISONS 1-0 AZAM FC 46’—⚽️ Jeremiah Juma NB: Azam hawakupiga Shuti lolote lililolenga lango la Prisons.
  2. Championship

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu ya NBC itasimama wakati Okrah atakapokuwa kwenye kombe la dunia?

    Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Stephano Aziz Ki aitwa timu ya Taifa ya Burkinafaso, kikosi chao hakuna mchezaji anayecheza ligi ya kwao

    Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan. .... Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki (26) tayari ameanza mazoezi...
  4. msakini

    JamiiForums Tanzania Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

    1.Al Ahly 2.Wydad Casablanca 3.Esperance de Tunis 4.Raja Casablanca 5.Mamelodi Sundowns 6.TP Mazembe 7.Zamalek 8.Horoya 9.Petro de Luanda 10.Simba 11.CR Belouizdad 12.JS kabylie 13.Al Hilal 14.As Vita Club 15.Al-Ahli Tripoli 16.Coton Sport
  5. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

    Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
  6. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa ligi kuu NBC baada ya mizunguko minne

  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha Ligi ya Muungano ili kuupa afya Muungano, yaunda kamati kutathmini gharama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Waziri Gekul amesema “Tumekuwa na mazungumzo kati ya TFF, BMT na ZFF kwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wengi Ligi Kuu hawana Adabu, wana kiburi sana!!

    Inawezekana wanaamini kuwa mpira ni kusukuma tu gozi uwanjani ama makocha wao hawawafundishi kuwa mpira ni sayansi na ni sanaa pia. Labda pia wanadekezwa na udhaifu wa Marefa wetu katika kusimamia sheria za Mpira uwanjani. Zaidi inawezekana wanatiwa ujinga kwa utetezi wa matendo yao ya kihuni...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Sapoti ya timu ya mpira ya Tanzania bara

    Hamna kitu sasa hivi kinaumiza watu kama timu yetu ya taifa na pia uchezaji wao na uwajibikaji.tunapaswa kuzidi kuwapa sapoti kubwa kwani kutoa sapoti kwenye klabu kama simba na yanga ni kubwa basi, na sisi tuanze kunufaika kutoa sapoti kwa timu ya mpira kwani haileti maana yani taifa letu...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

    Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na: 1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja. 2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yatoa adhabu kwa Yanga, Polisi Tanzania, imani za kishirikina zatawala

  13. Crosby

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilichojifunza kuhusu U-Simba na U-Yanga ndani ya ligi yetu

    Yanga (Young Africans Sport Club), ni klabu moja wapo ya mpira wa Tanzania iliyoanzishwa 1935 ambapo makao makuu yakiwa Jangwani Kariakoo, Dar es Salaam. Ikiongonzwa na Rais Engineer Hersi Ally Said .Wakiwa mabingwa wa kihistoria mara ishirini na nane 28. Simba (Simba Sports Club), ni klabu...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mechi za Ligi ya Ukraine kuendelea bila mashabiki viwanjani

    Msimu mpya wa soka Ligi Kuu ya Ukraine umezinduliwa wiki hii licha ya uwepo wa vita dhidi ya Urusi, ikielewa kuwa mechi zitaendelea bila uwepo wa mashabiki kutokana na sababu za kiusalama. Maamuzi ya kuruhusu ligi kuanza yalitolewa na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky akiwa na lengo la...
  15. Championship

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuweka matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara

    Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi. Karibu tupeane taarifa.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

    Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga msitafute mfungaji bora wa ligi

    Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo: 1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae mnamtaka awe mfungaji bora kwenye ligi. mtamlazimisha kumchezesha mechi zooote za ligi. 2. mchezaji huyo...
  18. Rais2045

    JamiiForums Tanzania Naomba ratiba kamili ya Ligi Kuu Bara

    Wakuu naomba ratiba kamili ya LIGI KUU BARA Natanguliza shukrani
  19. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Ihefu aanza vibaya tena ligi kuu

    Leo mbungi ilikua inapigwa kule ubaruku kati ya ihefu na ruvu shooting. Kama ule msimu aliopanda daraja mechi ya kwanza alipigwa na mnyama na leo tena ruvu wamembonda tena hukohuko ubaruku. Aisee mwanzo mbovu kabisa, mechi ya kwanza tena nyumbani na unabutuliwa. Ila wamejitahidi kadri ya...
  20. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tunaanza Ligi na Tanzania Prisons, patamu hapo

    Watu wa Soka, Salamu kutoka Singida Big Stars. Ratiba ya Ligi Kuu imeshatoka na mechi yetu ya kwanza tumepangiwa kucheza uwanja wa nyumbani na Wajelajela Tanzania Prisons siku ya Jumanne Agosti 16, 2022. Nafahamu kwamba Mashabiki wetu, watanzania na watu kutoka mataifa mbalimbali siku hizi...
Back
Top Bottom