Unbeaten hii maana yake Yanga siyo ya ligi hii ya NBC

Fuatilia unbeaten ya ac Milan na arsenal halafu useme league zilikuwa vp, ac milan ina record ya unbeaten 58 matches
 
Unbeaten ya kimchongo hii,bila mbereko ya refa mnsingekuwa hivyo mechi dhidi ya ruvu kule kigoma na namungo mlifungwa lakini m chongo ukawa sare!
 
RIVERS UTD, AL HILAL OMDOURMAN hizo timu ziliwafunga mkiwa ndani ya msimu husika wa ligi. Ajabu hizo mechi ni kama hamzitambui
 
RIVERS UTD, AL HILAL OMDOURMAN hizo timu ziliwafunga mkiwa ndani ya msimu husika wa ligi. Ajabu hizo mechi ni kama hamzitambui
Hizo timu zinacheza ligi ya ndani? Huelewi kitu omba ueleweshe, Unbeaten ya Yanga ni kwenye ligi kuu na hata hizo records za akina Arsenal, Benfica ni kwenye ligi zao za ndani na sio kimataifa.
 
Hizo timu zinacheza ligi ya ndani? Huelewi kitu omba ueleweshe, Unbeaten ya Yanga ni kwenye ligi kuu na hata hizo records za akina Arsenal, Benfica ni kwenye ligi zao za ndani na sio kimataifa.
Elewesha hao zuzu wako, unbeaten huku huna lolote kwenye mashindano ya nje?
 
Unbeaten ya mchongo. Kuna mechi kibao mlistahili vipigo ila mliokolewa na waamuzi wa mchongo.
 
Hakuna wa kufatilia timu inayocheza kombe la waliofeli. Amka toka usingizini vinginevyo utajinyea

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Yanga ni timu kubwa sana kwa sasa kama hujui, dunia inafuatilia hizi unbeaten zake. Unicef ni shirika la Umoja wa mataifa (UN) ambalo linaifuatilia Yanga pia, ndio maana UN kupitia Unicef imekubali Yanga itumike kwenye miradi yake ya kupambana na magonjwa ya kuambukiza kama Ebola na UVIKO. UN isingekubali kutumia timu kama Ihefu kwenye kampeni zake.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom