Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.
Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya Bodi kuwapangia refa kwenye michezo wanayokutana na Simba ambaye amekuwa akiibeba timu ya Simba SC...
Utopolo atapoteza mechi zote mbili za Darby kwa kufungwa na Simba,mechi zote mbili nje ndani.
nyingine moja atafungwa aidha na Ihefu,Kagera au Namungo.
mechi zingine tatu Uto ata draw na timu hizi.
👇
Azam.
Mtibwa.
Mashujaa.
Hapo sasa malalamiko kwa body ya ligi,tff na marefa yataanza kwa...
Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata updates zaidi.
Updates
Makundi ya Shirikisho
CAF CL
USMA
FUTURE
SUPERSPORT
Al HILAL
Group B...
afrika
caf
gumu
kuchagua
kumbukumbu
kundi
kuweka
ligiligi ya mabingwa
mabingwa
mabingwa afrika
makundi
mapema
sawa
simba
simba sc
upande
vizuri
yanga
yanga sc
"Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo cha Mbarali leo.
Hivi Wewe Ali Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) na wana Yanga SC Wenzako ukiongozwa...
Najiuliza maswali mengi juu ya wakaguzi wa viwanja vinavyatumika kwenye michezo ya LIGI kuu, sielewi uwa wanatumia vigezo Gani kuruhusu matumzi ya viwanja husika
Mfano mdogo ni kuruhusiwa kutumika kwa uwanja wa CCM kambarage mjini shinyanga baada ya kukaguliwa na hao wakaguzi na kuwaruhusu jkt...
Taratibu sasa Watu wanaanza Kumsoma Kocha wenu ambaye kwa 80% anatembelea Nyota ya aliyekuwa Kocha wenu wenye Hasira na ambaye akihojiwa anachanganya Kifaransa, Kiswahili, Kindengereko na Kiingereza.
Habari,
Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023.
EPL
Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT)
Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT)
Everton 1 - 2 Luton (FT)
Man U 0 - 1 Crystal Palace (Cont)
New Castle 2 - 0 Burnley (FT)
West Ham 2 - 0...
Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana.
Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena.
Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
Huwa napenda sana kucheza game ya mpira kwenye playstation, x box na pc kwasababu mambo ni chap chap, ukiwasha game waweza kuchagua timu unayotaka unazama uwanjani kulisakata kabumbu.
Kwenye game za simu nimeshusha dls na fifa naona ni mpaka ujenge vikosi, huo muda sina kwakweli, hii kitu ipo...
Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!!
Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!
Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni...
Uzi maalum wa kuzikimbuka timu mbali mbali zilizowahi kutamba miaka ya nyuma na nyinginezo zilifika hadi ligi kuu.
Taja timu moja tu umor nafasi na mwenzako ataje anayoijua.
Mimi naanza na Vijana Ilala a.k.a Wanakabakayeka ilikuwa na maskani yake Ilala sijui kama bado ipo au ilishakufa, endelea…
Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika.
Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali...
Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majaribio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana.
Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini...
Gamondi na Robertihno ni makocha wa kiwango kikubwa sana kuwepo kwenye ligi ya Tanzania. TFF lazima ione namna nzuri ya kuzipongeza Yanga na Simba kwa kuthubutu kuleta makocha ya viwango hivi, pia TFF na wadau wengine wa mpira waone ni kwa namna ipi wanaweza kuwatumia hawa makocha kwa manufaa ya...
Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha.
ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa...
Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23.
Kuna watu baada ya game...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.