Tanzania Tuna ligi nzuri ila haina Marefa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,444
8,296
Ukisikia penye miti hakuna wajenzi ndo hii ligi yetu ya bongo. Sijui marefa wamesomea wapi?

Sishangai sana maana hata mechi za.kimataifa huwa hawaitwi. Ni ueledi mdogo..milungura au huwa wanchezesha kwa maelekezo kutoka juu?

Tukubamali ligi yetu ina matatizo makubwa sana upande wa referees. Kama nao wangekuwa wanasajiliwa basi TFF wangefanya hivyo ili haki itendeke uwanjani.
 
Acha nongwa mama wa watu kachezesha vizuri sana leo
 
Ukisikia penye miti hakuna wajenzi ndo hii ligi yetu ya bongo. Sijui marefa wamesomea wapi?

Sishangai sana maana hata mechi za.kimataifa huwa hawaitwi. Ni ueledi mdogo..milungura au huwa wanchezesha kwa maelekezo kutoka juu?

Tukubamali ligi yetu ina matatizo makubwa sana upande wa referees. Kama nao wangekuwa wanasajiliwa basi TFF wangefanya hivyo ili haki itendeke uwanjani.
Ni kweli maana yanga ilikuwa apigwe ndani ya dk 90 kwa clear penalty 2 ambazo mwamuzi aliamua kuwabeba.Sisi hatumlaumu hata hivyo maana tulitaka tuwafunge kwa pasi.
Sema mnacheza mieleka sana na huenda shida hamjui sheria za mpira ndio maanan mnajiona mko sawa tu
 
Waamuzi wetu hawapo competent sio kwamba wamehongwa unakuta anafanya makosa kwa timu zote kwenye mechi moja kama jana ile penalty ya Kibu ilikua halali na goli la pili la Yanga lilikua halali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Simba jana kanyimwa penati mbili kwa uzembe wa refa.

1. Mamnyeto kashika kwenye boksi

2. Aucho kamchezea rafu kibu kwenye boksi.

Yanga alikua anakufa mapema jana ,Refa tu kawabeba.
 
Back
Top Bottom