ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. SankaraBoukaka

    Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  2. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Timu za Ligi Kuu kuwakatia Bima za Afya Wachezaji

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA TIMU ZA LIGI KUU KUWAKATIA BIMA ZA AFYA WACHEZAJI Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe na Bima ya afya kwa wachezaji wake...
  3. Suley2019

    FT: Azam FC 5 - 0 KMC | Ligi Kuu ya NBC | Azam Complex | 07/12/2023

    NBC Premier League leo Alhamis Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu? --- Kikosi cha Azam kilichoanza Kikosi cha KMC kilichoanza
  4. H

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
  5. ESCORT 1

    Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

    Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Sandaland amezindua jezi mbovu za Simba kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika

    Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
  7. F

    Mamelodi Sundown inapendelewa. Mashabiki wa ligi ya PSL Afrika Kusini wameanzisha petition

    Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL. Africa ujanja ujanja kila sehemu Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape upendeleo na wao
  8. mdukuzi

    Ramadhani Lenny aliwezaje kucheza mpira ligi kuu akiwa na miaka 50 na yale matege?

    Huyu mchezaji alikuwa classmate wa mzee fulani mtaani,huyo mzee sasa ni mzee kweli hakosi miaka 70 shule ya msingi, Jamaa alikuwa na matege fulani hivi yanastaajabisha. Kama ungeambiwa ni namba sita bora kuwahi kutokea hapa nchini huwezi kuamini. Alimudu hiyo namba kwa kiwango cha juu sana...
  9. William Mshumbusi

    Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  10. Majok majok

    TFF na Bodi ya Ligi mipango yenu ya kuipangia Yanga ratiba ngumu ili idondoshe point imezikwa rasmi, Mungu sio Athumani

    Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana. Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na...
  11. sky soldier

    Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora, Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo. Ni kweli?
  12. M

    Siwezi kupoteza muda kujadili mpira wakati mimi sina uhakika wa maisha

    Nauza kangala kwenda mbela. Hapa sasa hivi kuna walimu wanakula kangala , wanachanganya na ambiance na Shimha. Siwezi kupoteza muda kujadili simba na Yanga wakati mimi sina uhakika wa maisha bila kuganga njaa. Ni upuuzi na ujinga. Kujadili Ligi ya Uingereza, Ufaransa, Bundesliga mpaka koo...
  13. Mtini

    Vinara wa kupachika mabao ligi kuu ya NBC hadi leo tarehe 27.10.23

    1. Aziz K- 6 2. Max - 5 3. Baleke- 5
  14. Z

    Ronaldo huwa Mfalme kila anakokwenda: Ameikamata ligi ya Saudia, angalia hii free kick yake!

    CR7 anaongoza orodha ya wafungaji bora akiwa na magfoli 11 pamoja na kwamba amecheza michezo miwili pungufu kuliko wapinzani wake katika orodha hiyo. Anaongoza pia orodha ya assist akiwa na assist 5 akifungana na wengine watatu hivi. Hii free kick yake ilimwacha kipa akiwa ametulia wakati...
  15. J

    Watanzania tunazikuza sana timu za Kiarabu, hazina ubora wa kutisha kama tunavyoziongelea

    Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu. Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa...
  16. J

    Usajili wa Messi Inter Miami ni bure, tazama msimamo wa ligi kabla na baada ya kujiunga

    Hii bi Kabla hajajiunga Inter N NIs baada ya kujiunga
  17. Meneja Wa Makampuni

    Tukiwarudisha akina Makonda, Sabaya, na Happy chamani siasa inakwenda kuwa tamu kuliko ligi ya NBC

    Kuwarejesha akina Makonda, Sabaya na Happy kwenye chama cha CCM kunaweza kubadilisha mwelekeo wa siasa nchini. Historia inatufundisha mengi kuhusu nguvu ya umoja katika kufanikisha malengo makubwa. Wakati mwingine, inachukua uamuzi wa busara na mageuzi ya kimkakati kuimarisha msimamo wa chama...
  18. Chachu Ombara

    SI KWELI Singida Fountain Gate FC yaituhumu TFF na Bodi ya Ligi mchezo dhidi ya Simba SC

    Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya Bodi kuwapangia refa kwenye michezo wanayokutana na Simba ambaye amekuwa akiibeba timu ya Simba SC...
  19. Sultan MackJoe Khalifa

    Yanga atapoteza mechi nyingine tatu za ligi na ata-draw mechi tatu

    Utopolo atapoteza mechi zote mbili za Darby kwa kufungwa na Simba,mechi zote mbili nje ndani. nyingine moja atafungwa aidha na Ihefu,Kagera au Namungo. mechi zingine tatu Uto ata draw na timu hizi. 👇 Azam. Mtibwa. Mashujaa. Hapo sasa malalamiko kwa body ya ligi,tff na marefa yataanza kwa...
  20. Scars

    CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi. Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi. Kaa hapa kupata updates zaidi. Updates Makundi ya Shirikisho CAF CL USMA FUTURE SUPERSPORT Al HILAL Group B...
Back
Top Bottom