ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rekodi na Takwimu za mwisho za Ligi ya Mabingwa UEFA/EUROPA

    Ni mchezaji gani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa? UEFA Champions League 5 Karim Benzema (Real Madrid) 5 Dani Carvajal (Real Madrid) 5 Luka Modrić (Real Madrid) 5 Cristiano Ronaldo (Man United, Real Madrid) 4 Gareth Bale (Real Madrid) 4 Casemiro (Real Madrid) 4 Andrés Iniesta...
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

    Ilivyo sasa kwa hii route ya Dar es Salaam na Mwanza ni kitu sio cha kukifumbia macho. Vijana ku bet ushindani wa mabasi ni kitu kinacho shamiri mnoo usishangae kuina vijana wamejipanga kando ya barabara misili wanasubiri msafara wa Rais.
  3. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee baada ya ligi kwisha kamati inakaa kuchagua mfungaji Bora, kwanini kanuni isiwe wazi mwanzoni mwa msimu?

    Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh, Kamati ndio itakuwa! Kamati my foot! Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu...
  4. Nominee

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

    Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao. Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora. Ahsanteni.
  5. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania Kombe jipya la NBC Premier League hili hapa dondosha maoni yako

    Hili kombe Zuri tofauti na lile la mwaka jana
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao ligi iwe walau na timu 18 ili tufurahie

    Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football. TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  8. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa ligi za mchongo! Tunaache kuwa kichwa cha mwendawazimu kitaifa?!

    Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira mbadala nchini. Wanazindua ligi za kusakia "kura"?! Hii ndo bongo, kila kitu mchongo, kwa mipango...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Simba ana ubingwa upi mpaka kushiriki CAFCL?

    Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu. Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya Mabingwa , Sasa kama ndo hivo basi Simba hakupaswa kushiriki Ligi hiyo kwakuwa Huyu Simba si bingwa wa...
  10. carnage21

    JamiiForums Tanzania Je, upangaji wa matokeo bado ni changamoto ligi ya championship?

    PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC mchezo uliofanyika Mkoani Kigoma ambao Pamba kupoteza (4 - 0). Wadai wamefanyiwa uhuni, Wachezaji...
  11. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi Ligi Kuu Tanzania Bara

    1. Stephane Aziz Ki Stephane Aziz Ki ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Young Africans ya Ligi Kuu ya Tanzania. Alizaliwa nchini Ivory Coast, anawakilisha timu ya taifa ya Burkina Faso. Date of birth: Mar 6, 1996 Place of birth: Adjamé Citizenship: Burkina...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

    Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua; Ligi ya Mabingwa Afrika Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4) Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)...
  13. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Tff na Bodi ya Ligi imeisadia Yanga kushinda ubingwa msimu wa 2022/23

    Habari kwenu nyote. Katika kile ambacho TFF na Bodi ya Ligi inakipinga kila siku suala la upangaji wa matokeo,lakini wao kwa namna moja ama nyingine wamekua wakikifanya kwa makusudi kabisa bila kushtakiwa na mtu yeyote. Hivi inawezekana vipi katika hali ya ushindani wewe unapanga ratibu Simba...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Yanga akishinda leo Anabeba Ubingwa ligi kuu 2022/23!

    Wananchi wanakipiga dhidi ya Dodoma FC leo! Wanahitaji point 3 tu watangaze Ubingwa! Unadhani kazi itakua rahisi kwa Yanga mbele ya wanaDodoma? Wanangu wa mikeka ya Sokabet, Cheki Odds hapa👇
  15. S

    JamiiForums Tanzania Diarra kipa Bora ligi kuu NBC 2022-2023

    🥇 KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amefikisha clean sheet 16 katika Ligi Kuu na zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari ametangazwa Kipa Bora wa msimu kutoka na na kuwa na clean sheet 16 hadi sasa ambazo haziwezi kufikiwa na kipa yeyote. 🧤
  16. mngony

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Kocha Nabi unaweza kuwapa Ubingwa wa Shirikisho timu ya Yanga, na hata kufika mbali zaidi Ligi ya mabingwa mwakani

    Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu nyingine nje ya uwanja ni kwamba huyu kocha ni chachu kubwa sana ya mafanikio ya timu ya Yanga uwanjani...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yanga VS Marumo Gallants: Mechi ya kipimo cha Ubora wa Ligi Kuu ya Tanzania

    Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May 2023,Fiston Mayele mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania,ataongoza safu ya ushambuliaji kwa timu ya...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Simba, Kwa sasa Yanga Presha ya kutwaa ligi kuu imeshuka, mmeupiga mwingi

    Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3 ugenini ikiwemo ya wajela jela na Mbeya city. Kwa sasa pumzi imeshuka kidogo maana tunahitaji...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ligi yetu bado sio shindani kwasababu utaona Singida kesho watakavyoiachia Yanga

    Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu. Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo...
Back
Top Bottom