ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

    Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
  2. JamiiForums Tanzania Sandaland amezindua jezi mbovu za Simba kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika

    Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mamelodi Sundown inapendelewa. Mashabiki wa ligi ya PSL Afrika Kusini wameanzisha petition

    Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL. Africa ujanja ujanja kila sehemu Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape upendeleo na wao
  4. JamiiForums Tanzania Ramadhani Lenny aliwezaje kucheza mpira ligi kuu akiwa na miaka 50 na yale matege?

    Huyu mchezaji alikuwa classmate wa mzee fulani mtaani,huyo mzee sasa ni mzee kweli hakosi miaka 70 shule ya msingi, Jamaa alikuwa na matege fulani hivi yanastaajabisha. Kama ungeambiwa ni namba sita bora kuwahi kutokea hapa nchini huwezi kuamini. Alimudu hiyo namba kwa kiwango cha juu sana...
  5. JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  6. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi mipango yenu ya kuipangia Yanga ratiba ngumu ili idondoshe point imezikwa rasmi, Mungu sio Athumani

    Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana. Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora, Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo. Ni kweli?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kupoteza muda kujadili mpira wakati mimi sina uhakika wa maisha

    Nauza kangala kwenda mbela. Hapa sasa hivi kuna walimu wanakula kangala , wanachanganya na ambiance na Shimha. Siwezi kupoteza muda kujadili simba na Yanga wakati mimi sina uhakika wa maisha bila kuganga njaa. Ni upuuzi na ujinga. Kujadili Ligi ya Uingereza, Ufaransa, Bundesliga mpaka koo...
  9. JamiiForums Tanzania Vinara wa kupachika mabao ligi kuu ya NBC hadi leo tarehe 27.10.23

    1. Aziz K- 6 2. Max - 5 3. Baleke- 5
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Ronaldo huwa Mfalme kila anakokwenda: Ameikamata ligi ya Saudia, angalia hii free kick yake!

    CR7 anaongoza orodha ya wafungaji bora akiwa na magfoli 11 pamoja na kwamba amecheza michezo miwili pungufu kuliko wapinzani wake katika orodha hiyo. Anaongoza pia orodha ya assist akiwa na assist 5 akifungana na wengine watatu hivi. Hii free kick yake ilimwacha kipa akiwa ametulia wakati...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunazikuza sana timu za Kiarabu, hazina ubora wa kutisha kama tunavyoziongelea

    Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu. Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Messi Inter Miami ni bure, tazama msimamo wa ligi kabla na baada ya kujiunga

    Hii bi Kabla hajajiunga Inter N NIs baada ya kujiunga
  13. JamiiForums Tanzania Tukiwarudisha akina Makonda, Sabaya, na Happy chamani siasa inakwenda kuwa tamu kuliko ligi ya NBC

    Kuwarejesha akina Makonda, Sabaya na Happy kwenye chama cha CCM kunaweza kubadilisha mwelekeo wa siasa nchini. Historia inatufundisha mengi kuhusu nguvu ya umoja katika kufanikisha malengo makubwa. Wakati mwingine, inachukua uamuzi wa busara na mageuzi ya kimkakati kuimarisha msimamo wa chama...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Singida Fountain Gate FC yaituhumu TFF na Bodi ya Ligi mchezo dhidi ya Simba SC

    Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya Bodi kuwapangia refa kwenye michezo wanayokutana na Simba ambaye amekuwa akiibeba timu ya Simba SC...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga atapoteza mechi nyingine tatu za ligi na ata-draw mechi tatu

    Utopolo atapoteza mechi zote mbili za Darby kwa kufungwa na Simba,mechi zote mbili nje ndani. nyingine moja atafungwa aidha na Ihefu,Kagera au Namungo. mechi zingine tatu Uto ata draw na timu hizi. 👇 Azam. Mtibwa. Mashujaa. Hapo sasa malalamiko kwa body ya ligi,tff na marefa yataanza kwa...
  16. JamiiForums Tanzania CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi. Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi. Kaa hapa kupata updates zaidi. Updates Makundi ya Shirikisho CAF CL USMA FUTURE SUPERSPORT Al HILAL Group B...
  17. JamiiForums Tanzania Droo ya Ligi ya mabingwa afrika leo tarehe 6/10/2023

    Upangaji wa makundi ligi ya mabingwa afrika
  18. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe leo baada ya Kichapo ndiyo unajua kuwa Ligi ni Marathon?

    "Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo cha Mbarali leo. Hivi Wewe Ali Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) na wana Yanga SC Wenzako ukiongozwa...
  19. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi muwe makini na wakaguzi wenu wa viwanja; kuna harufu ya rushwa

    Najiuliza maswali mengi juu ya wakaguzi wa viwanja vinavyatumika kwenye michezo ya LIGI kuu, sielewi uwa wanatumia vigezo Gani kuruhusu matumzi ya viwanja husika Mfano mdogo ni kuruhusiwa kutumika kwa uwanja wa CCM kambarage mjini shinyanga baada ya kukaguliwa na hao wakaguzi na kuwaruhusu jkt...
  20. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier Ligi | Dodoma Jiji 0 - 0 Azam FC Jamhuri Stadium | 03/10/2023

    Game On Dakika ya 23. Dodoma Jiji 0 - 0 Azam
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…