Kupandisha madaraja ya leseni

ntingirawanyuma

Senior Member
May 18, 2018
148
540
Habari za majukumu wakurugwa.
Naweza badili leseni ambayo haijaisha muda wake na kupata leseni yenye daraja la juu mara baada ya kufanya mafunzo sitahiki?

Mf
Nimefanya psv naweza kwenda kubadili leseni na kupewa yenye daraja husika kwa maana ya daraja c wakati ambao leseni yangu haijaisha muda wake?
 
Mkuu naweza kupata leseni Ya maabara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za majukumu wakurugwa.
Naweza badili leseni ambayo haijaisha muda wake na kupata leseni yenye daraja la juu mara baada ya kufanya mafunzo sitahiki?

Mf
Nimefanya psv naweza kwenda kubadili leseni na kupewa yenye daraja husika kwa maana ya daraja c wakati ambao leseni yangu haijaisha muda wake?
Inawezekana kama hiyo uliyonayo imefikisha miaka 3 kama bado itakubidi usubirie maana lena za C hazitakubali kutokea otherwise iwe ilibadikishwa kutoka ya kitambu kuja hizi za kadi, ila kama na daraja lako la E ulianza na lena na haijafikisha miaka 3 itakusumbua.
Kusoma kasome na cheti ubebe.

Ahsante mkuu
 
Ahsante sana mkuu.

Ndo nataka nikasoma baada ya vyuo kufunguliwa na leseni yangu haijaisha, kwa hiyo nilitaka tu kujua mkuu.
All in all ahsante kwa kujali kaka
Haya tukutane nit ila ujue kuendesha eicher zile za mbagala na kisbo za kwenda mwanza
 
iv kwenda kusoma class C pale NIT ni lazma uwe umepitia kwanza VETA ??? au waweza enda tu ivo ivo???
 
Ahsante sana mkuu.

Ndo nataka nikasoma baada ya vyuo kufunguliwa na leseni yangu haijaisha, kwa hiyo nilitaka tu kujua mkuu.
All in all ahsante kwa kujali kaka
Ukipata tarehe za kuanza kozi hizo hapo chuo Nit au Veta hebu rusha hapa hata Mimi nataka ku upgrade
 
Back
Top Bottom