Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Jijini Arusha, Mwanasiasa na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Godbless Lema, ameeleza kuhusu uhusiano wake na Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
"Simchukii Mbowe na hatujawahi kuwa maadui na Mbowe, he is my brother...