Lema anaanza kumtetea Mbowe?

Lema anaanza kumtetea Mbowe?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,600
Reaction score
14,915
Juzi ktk video moja, lema ktk mkutano wake wa hadhara amesema, wanaomsema Mbowe kwamba kwanini haendi Mahabusu au hata mahakamani kwa lissu .
Amewajibu wao wameenda au wanamsema mbowe tu?
Swali la kujiuliza
Jee wanachama wote wa chadema inawezekana kwenda mahakamani? Endapo wa wilaya 1 ya Kinondoni wataamua kwenda si kutakuwa na vurugu kubwa?
Kwanini Mbowe ashindwe kwenda na kwanini Lema anamtetea? Kweli hoja za Lema zinanguvu kwa sababu wengine hawajaenda wapenzi wa chadema na Mbowe wanachadema wasiohoji?
 
Juzi ktk video moja, lema ktk mkutano wake wa hadhara amesema, wanaomsema Mbowe kwamba kwani mahakamani kwa lissu Mbowe hajaenda? Amewajibu wao wameenda au wanamsema mbowe tu?
Swali la kujiuliza
Jee wanachama wote wa chadema inawezekana kwenda mahakamani? Endapo wa wilaya 1 ya Kinondoni wataamua kwenda si kutakuwa na vurugu kubwa?
Kwanini Mbowe ashindwe kwenda na kwanini Lema anamtetea? Kweli hoja za Lema zinanguvu kwa sababu wengine hawajaenda wapenzi wa chadema na Mbowe wanachadema wasiohoji?
Hoja ya Lema ina mantiki kwa upande mmoja, lakini haijajibu swali la msingi. Kwenda au kutokwenda kwa wanachama wengine mahakamani hakuondoi wajibu wa viongozi kueleza misimamo na maamuzi yao. Hata hivyo, kutokwenda kwa Mbowe pekee hakutoshi kuthibitisha kwamba hamuungi mkono Lissu. Tujadili kwa hoja na ushahidi, si hisia wala ushabiki wa kisiasa.
 
Anamuunga mkono Lissu kimoyo kimoyo? Maana kimwili lissu mwenye kamtuhumu mbowe haendi mahakamani
 
Inawezekana kuna tafsiri hiyo, lakini tusikimbilie kuhitimisha kuwa anamuunga mkono Lissu kimoyo moyo bila ushahidi. Hoja ni kwamba, kama Lissu amemtuhumu Mbowe, kutokuwepo kwa Mbowe mahakamani kunaweza kuibua maswali, lakini si uthibitisho wa upande anaounga mkono Lema. Tuangalie kauli na matendo yake, si hisia zetu pekee.
 
Gpt hii..mimi mtaalam wa Gpt
 
Juzi ktk video moja, lema ktk mkutano wake wa hadhara amesema, wanaomsema Mbowe kwamba kwanini haendi Mahabusu au hata mahakamani kwa lissu .
Amewajibu wao wameenda au wanamsema mbowe tu?
Swali la kujiuliza
Jee wanachama wote wa chadema inawezekana kwenda mahakamani? Endapo wa wilaya 1 ya Kinondoni wataamua kwenda si kutakuwa na vurugu kubwa?
Kwanini Mbowe ashindwe kwenda na kwanini Lema anamtetea? Kweli hoja za Lema zinanguvu kwa sababu wengine hawajaenda wapenzi wa chadema na Mbowe wanachadema wasiohoji?
CCM mnaona hivyo, CHADEMA wanaona Lemma kanunuliwa na ni mamluki aliyelishwa sumu kali kukivuruga chama. CCM na Lema wote wameangukia pua. Hawatofanikiwa
 
Viongozi wote wa Chadema wanajua kwa nini Mbowe haendi Mahakamani au Mahabusu kumtembelea Lissu. Lazima wamemuuliza na amewapa sababu za msimamo huo. Sidhani kama Mbowe anamuunga mkono Lissu. Anamtambua kama Mwenyekiti wake lakini si zaidi ya hilo.

Si dhambi kutomuunga mkono kiongozi wako. Wakina Lissu ni mfano mzuri maana ilifika mahali walionyesha wazi kuwa hawamuungi mkono.

Amandla...
 
Juzi ktk video moja, lema ktk mkutano wake wa hadhara amesema, wanaomsema Mbowe kwamba kwanini haendi Mahabusu au hata mahakamani kwa lissu .
Amewajibu wao wameenda au wanamsema mbowe tu?
Swali la kujiuliza
Jee wanachama wote wa chadema inawezekana kwenda mahakamani? Endapo wa wilaya 1 ya Kinondoni wataamua kwenda si kutakuwa na vurugu kubwa?
Kwanini Mbowe ashindwe kwenda na kwanini Lema anamtetea? Kweli hoja za Lema zinanguvu kwa sababu wengine hawajaenda wapenzi wa chadema na Mbowe wanachadema wasiohoji?
Nadhani Mbowe yuko sahihi 100% kutokwenda kumtembelea Lisu gerezani, kwasababu Lisu aliwahi kutamka hadharani kwamba hatakwenda tena kupata chakula nyumbani kwa mbowe, kasababu anaweza kuwekewa sumu, eti kwasababu tu nae ameamua kugombea uenyekiti wa chadema taifa.

Vipi leo mbowe akienda gerezani kumtembelea Lisu, halafu ghafla lisu akaugua au hata kupoteza maisha, lawama na vidole vitaelekezwa kwa nani hata kama itakua ni natural death?

Kuepusha hilo,
mimi nashauri mbowe asithubutu kukanyaga magereza kumtembelea Lisu kwa amani ya moyo wake🐒
 
Lema amegeuza risasi kuelekea kwa wananchi yeye tena adui yake sio watu wanaoteka au kuibia nchi na kuumiza watanganyika wenzao...
 
Hoja ya Lema ina mantiki kwa upande mmoja, lakini haijajibu swali la msingi. Kwenda au kutokwenda kwa wanachama wengine mahakamani hakuondoi wajibu wa viongozi kueleza misimamo na maamuzi yao. Hata hivyo, kutokwenda kwa Mbowe pekee hakutoshi kuthibitisha kwamba hamuungi mkono Lissu. Tujadili kwa hoja na ushahidi, si hisia wala ushabiki wa kisiasa.
mtu mnamuita dalali mwiz mara astaafu halafu tena mnamhtaji.
 
Nadhani Mbowe yuko sahihi 100% kutokwenda kumtembelea Lisu gerezani, kwasababu Lisu aliwahi kutamka hadharani kwamba hatakwenda tena kupata chakula nyumbani kwa mbowe, kasababu anaweza kuwekewa sumu, eti kwasababu tu nae ameamua kugombea uenyekiti wa chadema taifa.

Vipi leo mbowe akienda gerezani kumtembelea Lisu, halafu ghafla lisu akaugua au hata kupoteza maisha, lawama na vidole vitaelekezwa kwa nani hata kama itakua ni natural death?

Kuepusha hilo,
mimi nashauri mbowe asithubutu kukanyaga magereza kumtembelea Lisu kwa amani ya moyo wake🐒
Mbowe alipokuwa Mwenyekiti biashara zake ziliathirika sana kwa kuchangia chama chake na kuandamwa na serikali. Matokeo yake ni yeye kuambiwa alikuwa anakitumia chama chake kujitajirisha. Aidha aliambiwa kuwa anahongwa na Abduli.

Sasa ni wakati wake wa kujikita kwenye biashara zake. Hana sababu ya kuipa serikali sababu za kumuandama.

Alikiaga chama chake kuwa anaenda kujikita kwenye kutafuta pesa. Ndicho anachofanya.

Amandla...

Amandla...
 
Viongozi wote wa Chadema wanajua kwa nini Mbowe haendi Mahakamani au Mahabusu kumtembelea Lissu. Lazima wamemuuliza na amewapa sababu za msimamo huo. Sidhani kama Mbowe anamuunga mkono Lissu. Anamtambua kama Mwenyekiti wake lakini si zaidi ya hilo.

Si dhambi kutomuunga mkono kiongozi wako. Wakina Lissu ni mfano mzuri maana ilifika mahali walionyesha wazi kuwa hawamuungi mkono.

Amandla...
Mbowe kwasasa ni dalali wa kisiasa, upinzani wa kweli aliuaga rasmi siku ile alipoibukia ikulu akitokea ukonga.
 
Back
Top Bottom