Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,499
Reaction score
8,644
Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale

Fikra zetu zipo hivi sababu ya katiba iliyopo kwanini mtanzania huyu huyu akienda marekani ghafla anaanza kulipa kodi, anatii sheria ila alivyokuwa Tanzania alikuwa halipi kodi na hatii-sheria unafikiri huyu mtu tatizo ni fikra hapana sio fikra ni katiba ya nchi ambayo inaunda sheria zote na taasisi zote za nchi

Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi wa TAKUKURU hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua Itapungua kwa kiwango kikubwa na TAKUKURU watakuwa na uhuru mkubwa sana wa kufanya kazi

Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo

Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama

Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
 
Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua

Nchi wapewe Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, ChoiceVariable na wewe hapo nchi itageuka paradiso, eti ehh
 
Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale

Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua

Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo

Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama

Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
Katiba ikisema rais ashtakiwe kwa ujinga alio ufanya akiwa madarakani ,raisi gani atajiona mungu mtu dhidi ya wananchi? Hapo lema hapuyanga au ndio mambo ya bahasha kwake
 
Katiba ni kwa ajili ya walafi kuweza kuingilia ikulu,baada ya kusambaza gilba za uongo kila pahala/
We need to change mindset zetu.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Unajikweza mno!
Sijekwezi huu ndo ukweli
Kama hujui fikra zinakuwa shape na katiba basi unakuwa sawa na godbless lema

Katiba ikisema Rais akimaliza mda wake anaweza-funguliwa mashtaka unadhani kutakuwa na rushwa kubwa kubwa haziwezi kuwepo

Lakini katiba inakupa kinga ya kutokustakiwa wewe kama Rais unafikri ni nini kinafuata hapo
 
Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale

Fikra zetu zipo hivi sababu ya katiba iliyopo kwanini mtanzania huyu huyu akienda marekani ghafla anaanza kulipa kodi, anatii sheria ila alivyokuwa Tanzania alikuwa halipi kodi na hatii-sheria unafikiri huyu mtu tatizo ni fikra hapana sio fikra ni katiba ya nchi ambayo inaunda sheria zote na taasisi zote za nchi

Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi wa TAKUKURU hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua Itapungua kwa kiwango kikubwa na TAKUKURU watakuwa na uhuru mkubwa sana wa kufanya kazi

Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo

Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama

Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
Kiburi na dharau alizo nazo Rais na watendaji wake wote ni kutokana nankinga yake kikatiba huyu G.Lema Kama kweli kayasema hayo basi kawaza kwa kutumia mkhindu wake na sio kichwa chake manina zake
 
Back
Top Bottom