Saa hizi ni saa 8 mchana?Natafuya sioni wala hakuna fununu kama inafanyika as scheduled
Hivi ndio ghetto lake lilipo au vipi?Naona itafanyika Sea cliff
Ni saa ngapi? Ok....jamani si mgekaa naye mkamsikiliza, then mkaona the way forward! To me si vema kumpoteza Lema.Tunasubiri kuchambua atakachosema