lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  2. Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

    Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa...
  3. Lema: Ukimya wa Polisi kwenye mapokezi ya Lisu ni Chroloquine iliyopakwa sukari, kuna jambo linafikiriwa

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameonya wanachama na wapenzi wa chama hicho juu ya ukimya ulioonyeshwa na jeshi la polisi jana wakati wa mapokezi ya makamu wa mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu alipowasili nchini. Lema ameonya hayo kupitia ujumbe aliotuma kwenye...
  4. S

    Majibu haya ya Lissu kwa Lema juu ya ujio wake, yananifanye niwaze kuwa kuna Power of Nature iliyo nyuma ya Lissu ambayo hata yeye mwenyewe haielewi

    Nilimuuliza haugopi?akajibu siogopi!Nikamwambia,wanaweza kukupiga risasi tena au ukafungwa kwa hila,akajibu NIKO TIYARI kwa lolote.Mungu ni mwema,Kamanda Tundu Lissu kurudi nyumbani kwa mapambano tena ni muujiza wa Mungu mwenyewe.Nitakuwepo Dar es Salam kumpokea siku ya jumatatu-Godbless Lema on...
  5. GE2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

    Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe . UPDATES:
  6. Lema: Vijana wa CHEDEMA wanyimwa dhamana Singida kisa kuimba nyimbo ya Taifa na bendera ya chama

    Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama. Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
  7. GE2020 Godbless Lema achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Wakala wake

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema),Godbless Lema ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho baada ya kuchukua fomu makao makuu ya chama hicho na kuahidi ushindi was kishindo. Akikabidhi fomu hiyo kwa mke wa Lema,Neema Lema baada ya Lema kuwa safarini...
  8. Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

    Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8. Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na...
  9. J

    Arusha wamshukuru Rais Magufuli kwa kuubadilisha uongozi mzima wa mkoa, waahidi kumstaafisha Lema Oktoba!

    Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya. Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo. Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa...
  10. Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
  11. J

    GE2020 Je, Godbless Lema atagombea tena Arusha au anahamia Hai?

    Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai. Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa Hai mzee Mbowe kutia nia ya kugombea urais. Hata hivyo ilisemekana pia Lema ana hali ngumu sana ya...
  12. K

    Videos: Sugu, Msigwa na Lema

    Mh. Lema amesema kwa amemsoma sana Mandela alipokuwa gerezani,Katika kitabu chake cha Long walk to freedom na amesema ilikuwa bahati alipata muda wa kukimaliza kitabu hicho. Anasema kinachomstua zaidi kwenye hali ya sasa pamoja na mfumo wa vyama vingi uliopo kwa sasa ambayo inatekeleza...
  13. S

    Hizi ndio sababu za kutofunga mipaka na kuweka movement restrictions

    Hizi ndio baadhi ya sababu alizotaja Bwana mkubwa za kutofunga mipaka/kuwa na lockdown 1.Ambulance zitashindwa kusafirisha wagonjwa 2.Ujenzi wa SGD utakwama 3.Ujenzi wa Stieglers Gorge utakwama 4.Mizigo haitasafirishwa kupitia bandari ya Dar-es-salaam na hivyo tutakosa mapato 5.Nchi...
  14. J

    Mbunge Lema yuko kimya sana tokea soko la Samunge liungue, kwanini?

    Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa. Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao. Usiwe kama mbunge wa Ukonga...
  15. K

    Ukweli kama hii report ya CAG ingesomwa na mpinzani kama Lema angeshikwa na kushitakiwa

    Tanzania tumefikia sehemu kwenye siasa zetu mpaka tumesahau tofauti ya siasa, vyama na kuona kila kitu uadui. Nilikuwa namwangalia leo CAG akisoma repoti na kusema mwenyewe. Je, hayo anayosoma yote angesoma mtu wa upinani kama Lema serikali ingechukulia kama ni mawazo au ingechukulia kama ni...
  16. Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

    Askari wa Polisi wamezingira Hotel aliyofikia Mikocheni, Dar es Salaam, wakimtafuta Waziri Kivuli wa Wizara ya mambo ya ndani na Mbunge wa Arusha mjini kwa sababu ambazo hazijajulikana. Mhe. Lema alikuwa azungumze na vyombo vya habari leo jijini D'Salaam kumjibu DPP Polisi hao wenye silaha...
  17. Hatimaye RC Gambo aumbuka kwa kauli zake

    Katoka ma RC ambao wanapenda kukurupuka ni Makonda na Gambo. Wanajitahidi kufanya mazuri pia lakini wanahitaji wakati mwingine kusubiri na kufikiri kwanza kabla ya maamuzi. Baada ya picha za ubovu wa barabara ya Ngorongoro kusambaa kwenye mitandao ya kijamii huyu mkurupukaji alikuja na kudai...
  18. Godbless Lema akipata ubunge Arusha nahama nchi

    Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…