lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

    Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo: Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

    Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja. Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Lema: Narudi Tanzania

    Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania, Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

    DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa: Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye. Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lema ni noma anastahili tuzo

    Inakuwaje wanajamvi! Mwamba wa Kaskazini Godbless Lema bado anawaacha vinywa wazi wana usalama hadi navyoandika huu uzi aliwezaje kuwatoroka kitaalam pale Mpakani namanga? Huyu mwamba ni hatarii techniques alizotumia si za kawaida ni military offensive techniques alitumia kama countersugency...
  6. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo ajijue yeye sasa hivi ni Mbunge sio Mkuu wa Mkoa tena

    Lazima utofautishe ziara za kiutendaji na ziara za kisiasa. Gambo haya unayolialia uliyatengeneza ukiwa RC Arusha dhidi ya MP/Mbunge godbless_lema. Leo yanakurejea wewe mwenyewe pole usilie lie,ila Mbunge nafasi yake ni kubwa kuwakilisha wananchi na kuisimamia Serikali (Kuanzia Rais, mawaziri...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema afutiwa mashitaka ya uchochezi huko Singida

    Waliomshitaki wameshindwa kuthibitisha mashtaka yao jambo lililopelekea Mahakama kuamua kumwachia huru . Ikumbukwe kwamba Mh Lema aliweka hadharani orodha ya watu waliouawa kinyama mkoani Singida kutokana na kuiunga mkono Chadema , hicho ndio kikawa chanzo cha kukamatwa na kushitakiwa ...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu na Lema hawakwenda uhamishoni kwa marafiki zetu China ila wameenda kwa Wakoloni?

    Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka. China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu. Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tusiichafue Tanzania yetu kwa kumbatiza Lema ukimbizi wa kisiasa

    Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema. Tungesikia UN wametoa ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu hapa Tanzania. Lakini mpaka...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

    Namhurumia sana Godbless Lema. Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe. Mbaya zaidi familia nzima imemsindikiza jela hiyo ya kufikirika. Lema ata enjoy miezi michache ya kwanza huko Canada, pamoja na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa? Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Godbless Lema ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?

    Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini? Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi. Naomba jibu, kuuliza si ujinga.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

    Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini...
  14. Securelens

    JamiiForums Tanzania Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

    CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma. Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Kenya: Godbless Lema aachiwa kutoka kituo cha Polisi Kajiado. Apatiwa hifadhi nchini Kenya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana. ======= Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: I won't return to persecution paradise

    Hii ni habari kwa mujibu wa gazeti moja la nchini Kenya ambalo limefanya mahojiano na Lema akiwa nchini humo kutafuta hifadhi ya kisiasa. Habari kamaili hii. ======= Former Tanzanian MP Godbless Lema at Kajiado Police Station on November 9, 2020. He has vowed not to return to his country...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Katika taarifa yao waliyoitoa kwa Umma, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty international linalojihusisha na haki za kibinadamu limeona uwezekano wa mamlaka za Kenya kulazimika kumrejesha Mwanasiasa wa Upinzani, Godbless Lema au familia yake kwenye mateso ya kisiasa au uwezekano wa kufungwa...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM. ===== Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni; Arusha Mjini: Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
Back
Top Bottom