lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lema kulikoni kwenye mkutano mkuu wa Bavicha sijaona bashasha zako za siku zote?

    Leo Kwenye mkutano mkuu wa Bavicha Taifa mjini Dodoma Lema alipewa fursa ya kuongea. Hata hivyo kuna vitu viwili sikuviona. 1. Aliongea na kwa muda mfupi sana na hakukuwa na presha ya kuharakishwa kumaliza. 2. Hakuongea kwa moyo kama desturi yake. Aliongea kama mtu ameandi
  2. JamiiForums Tanzania Ugaidi Arusha: Shekhe Lema ahakumiwa kifo na Mahakama ya kanda Arusha

    Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️ Ajumuishwa na Mashekh wengine watano Ameandika...Bakari Mwakangwale SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha. Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Godbless Lema agusia hatari ya usela wa wanawake wa Arusha

    Hatimaye Nabii Goldbess Lema amekea tabia iliyokithiri ya usela mavi kwa kina dada wa Arusha. Sisi watanzania tunakereka sana na awa kina dada.
  4. JamiiForums Tanzania Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

    Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana. Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
  5. JamiiForums Tanzania Lema umeamua kuwasaidia CCM kwenye propaganda ya kukigawa chama?

    Salamu wakuu! Niende kwenye mada:nimekuwa nikiwafatilia wale wanaojiita viongozi wa CHADEMA kutoka Kanda mbali mbali ambao wamejitokeza kumshambulia direct makamu wa CHADEMA John Heche kwa tuhuma za kula pesa ya tone tone. Wazungumzaji hao inaonesha hawana ushahidi wa madai ya kile...
  6. JamiiForums Tanzania Bundi atua CHADEMA, Lema ni Mfunufaika mkubwa wa Michango!

    Tazama video hii
  7. JamiiForums Tanzania Sugu, Lema, Boni Yai Wasusia Mkutano Iringa

    Mwandishi : Kwanini Sugu, Lema na Boni Yai walisusia mkutano wa Makamu Heche Iringa. John Mnyika : Nakiri kweli hawakuja, ila sikuwauliza kwanini hawajaja, japo hilo jambo tumeomba Baraza la Wazee liingilie ili lifanye usuluhishi wa viongozi wetu. 🎤 : Press
  8. JamiiForums Tanzania Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

    Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama. Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari. Okay sawa, uhenda nia...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

    Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama. Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea kupinga maazimio au watu watakaomdharau. Kama kila mjumbe ataamua kujitetea kivyake haoni kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Kuinusuru CHADEMA kisiasa, Heche, Lema na Sugu wabanduliwe uongozini ili kukipa chama pumzi na uelekeo mpya kisiasa

    Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa. Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari...
  11. JamiiForums Tanzania Godbless Lema atakapobanduliwa chadema unadhani anaweza kujiunga na chama gani cha siasa nchini?

    Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema, Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa kudinda kutibua minywele kama wengine, Godbless Lema anaweza kubanduliwa Chadema?

    Na kwamba, Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele? Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana? Je, suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lema amjibu Rose Shaboka: Kufua boxer au kupika ukiwa na degree nne si udhaifu

    Kufuatia Mjadala uliosambaa Mitandaoni baada ya kauli ya Mtumishi Rose Shaboka kuongelea kuhusu uwa na Elimu 'Degreee' na kuishia kuwa Mke wa kufua boxer na Kupika, basi Godbless Lema amesema yake; ------ Naandika kwa ajili ya binti yangu Brilliant! Tatizo la zama hizi ni kwamba tunawasilisha...
  14. JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Lema amesema tuwachangie CHADEMA ili viongozi wanywe bia?

  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kama amemsikia Lema huko Dodoma leo, sijui atakuwa kwenye hali gani

    Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo. Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaoihujumu CHADEMA ni wale wa upande wa Lema, Sugu na Heche au ni wale wa upande wa Mnyika, Amani na Boniyai?

    Kwasababu lazima tueleze ukweli kwamba ni wazi kuna vita vya chini kwa chini ndani ya chadema na kumeibuka makundi kinzani ambayo yana mitazamo tofauti hususani dhidi ya maridhiano na mchakato wa kuelekea katiba mpya. Je, wewe mwanachadema, upo kwenye kundi la wale wanaopendelea pawepo na...
  17. JamiiForums Tanzania Nilipomuonya LEMA na Siasa zake Jukwaani za kuhalalisha Serikali ya CCM , Et Sista Nyahozi anampongeza , weee umeona wapi ?

    Siku chache nilipomuonya LEMA aache Siasa za kuhalalisha Serikali ya CCM. Sista Nyahozi anakuja kusema 'Mbona LEMA Kaongea vizuri tu , Mbona Bon Yai Kaongea vizuri " na sijaongea neno. Ila anapoongea HECHE , Sista Nyahozi anakuja kubweka kama Mbwa !!!. Heche shikilia hapo hapo, na huo ndo...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Lema: Lissu yuko tayari kufia jela wala msihangaike na Maridhiano feki

    Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA
  19. JamiiForums Tanzania Mikutano ya CHADEMA ijikite kuzungumzia MO29, Lissu, Utekaji na Mauaji yanayoendelea , ijikite kuwatia Wananchi Huzuni na Hasira !! LEMA SHITUKA!

    Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya Upinzani. Ukweli ni kua, Moja ya Sababu kubwa ya Vijana Kuandamana na kukubali kuuliwa Oktoba 29...
  20. JamiiForums Tanzania Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026. Polisi tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…