Nasikia aliahirisha!Nimekuwa nje ya mawasiliano.
Press conference ya Lema, ilikuwepo haipo!, kwa mtindo ule wa nimemkuta hajakuwepo yupo, au nimemkuta hayupo!.Nimekuwa nje ya mawasiliano.
Ametumia busara kubwa kuachana na ujinga aliokuwa ameupangaAtakuwa ameogopa kudhalilika! Mbele za umma maana wananchi walishaikubali CHADEMA!
Wamemuwahi jana wenzake,alikosa cha kuongea leoNimekuwa nje ya mawasiliano.
ok.Nimekuwa nje ya mawasiliano.

People were furious about the anticipated press!Wamemuwahi jana wenzake,alikosa cha kuongea leo