min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,882
- 169,840
Wachaga waliporwa mali zao , walifutiwa vibali vya biashara , waliswekwa ndani bila ushahidi wowote
Biashara zao ziliuwawa kwa kauli na mamlaka za nguvu sana kwa visingizio lukuki kipindi cha utawala wa Magu.
Sasa hawana hamu kabisa wameona watulie kabisa , na wengine wameacha Biashara zao wamewekeza kwenye ufugaji na kilimo bila kutaka shari na serikalini.
Kama ni siasa wengi wamevua gamba , na wengine wamejitoa na kutolewa kabisa kwenye sehemu nyeti za sirikali
Leo hii kosa la Lema ambalo halina hata uthibitisho wowote linafanya kejeli kutupiwa kabila zima , sio x tu hata humu JF nyuzi kibao za makasiriko tu.
Iwe ni kweli au sio kweli , je ni lema tu aliye nunulika chadema ambae ilitosha kuhukumu kabila zima ?
Je kina
Zitto , na liijua likali , na wengine Kibao nao ni wachaga? , ikawaje wao wasitupiwe lawama kwa ukabila ikawa ni wachaga tu?
Mbona kama kuna harufu ya wachaga kutotakiwa kabisa ndani ya chadema hii na baadhi ya wanaharakati uchwara tena wanaoaminika ndani ya chadema?