lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali itoe mwongozo wa kuainisha ipi mikusanyiko ya lazima na ipi ni mikusanyiko isiyokuwa na lazima

    Habari wanajamvi, Kuhusiana na janga hili la Corona sasa tumeanza kujionea tena kuwa kila kiongozi wa sehemu anapiga marufuku mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Lakini ukiachilia mbali hili pia tunajionea kuna mikusanyiko inaendelea lakini inahisiwa siyo ya lazima. Sasa kumekuwa na Mkanganyiko...
  2. JamiiForums Tanzania Maliwato si lazima yachukue nafasi kubwa kwenye nyumba

    Ni mpangilio tu lakini maliwato yanaweza kuchukua nafasi ndogo yenye mpangilio mzuri. Hii ni sehemu ya faragha hivyo watu wawili au watatu kukutana ni wakati wa kumhudumia mgonjwa. Swahiba mmoja aliweka ceiling fan maliwato, hata kama kuna joto si unaoga maji ya baridi!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe, aliyetufikisha hapa ni Nyerere

    Watu huwa wanamsifia Nyerere kwa mengi. Ila kitu ambacho kinadefine legacy yake mpaka sasa ni hili janga la katiba alilotuachia. Kiuhalisia hii katiba ilitengenezwa mahususi kwaajili ya Nyerere. Yeye ndo alitaka "a strong executive with necessary control of the legislature", alitaka katiba...
  4. JamiiForums Tanzania Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  6. JamiiForums Tanzania Kagera: Mkuu wa Mkoa apiga marufuku mikusanyiko isiyo lazima ili kukabiliana na Corona

    Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, amepiga marufuku mikusanyiko yote isiyokuwa ya lazima na kuwataka wananchi kuzingatia kanuni za afya ili kuzuia kasi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Meja Jenerali Mbuge amesema hatua hiyo inatokana na mkoa wa Kagera kupakana na nchi nne...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanza: RC apiga marufuku mikusanyiko isiyo ya lazima

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima Mkoani humo ili kudhibiti Maambukizi ya #COVID19 Mhandisi Robert amesema misiba tu na ibada ndiyo itaruhusiwa kuwa na Watu. Hakuna kusanyiko lolote bila kuwa na kibali ndani ya Mwanza."
  8. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

    Kama mwuungwana tokea pande za Pwani niliyeukataa ukanjanja katika nyanja zote, nina lazimika kutia neno juu ya maneno ya hekima yake Mwamba Aboubakar Laigwanan Mbowe (Mola amjalie maisha marefu). Uhalisia kuhusiana na chanjo yoyote ni huu hapa: "Chanjo ina maana kama tu idadi kubwa na ya...
  9. JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali. Wito huo umetolewa leo Jumatatu, tarehe 19 Julai 2021 na Mwenyekiti...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Muafaka wa kitaifa ni lazima kwa tulipifikia

    Kwa tulipofikia muafaka wa kitaifa sio matakwa ya chama chochote au hata Rais ni kitu cha lazima kama ilivyokuwa Zanzibar. Zanzibar muafaka haujaja mpaka watu wamekufa hii ni kwasababu njia zote za kutisha mpaka kuuwa hazijafanikiwa hivyo sio hiari ni lazima ingekuwa hivyo au kuwa na vita vya...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

    Taasisi ya NED au National Endowment for Democracy ni taasisi ya kimarekani. Taasisi hii iliundwa kushughulikia harakati za kisiasa duniani baada ya shughuli hizo kuondolewa ndani ya idara ya ujasusi ya CIA. CIA imekuwa ikishughulikia harakati za kisiasa zenye malengo ya kuleta vurugu, au...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tunataifisha mpaka viti na meza za CCM - 2025 ushindi lazima uende kwa Upinzani

    wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
  14. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mtanzania yeyote, hata asiye na Elimu ni muhimu ajifunze lugha ya Kiingereza

    Habari zenu wanajukwaa la Story of change. Katika uzi huu nataka kuelezea ulazima wa kujifunza lugha ya kiingereza kwa mtanzania hata asie na elimu kubwa. Hili suala huwa haliongelewi kabisa na kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu lugha ya kiingereza. JE, HUO UPOTOSHAJI UPOJE? Hapa nchini...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Stashahada kiwe kigezo au sifa ya lazima kwa Walimu wa Shule za Sekondari

    Taifa kuwa na elimu bora ni pamoja na kuwa na walimu mahiri wenye misingi ya ualimu na maadili ya kazi hiyo. Mbali na kazi ya kufundisha lakini pia mwalimu ni mlezi. Hivyo tunatarajia watoto wetu wakipelekwa shule wapate elimu bora pamoja na kulelewa kimaadili kwa ajili ya kuandaa taifa la kesho...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kinachokwenda kufanyika kwenye miamala ya simu, ni Serikali kuuchukua tena uchumi sadifu wa kati kwa walala hoi kwamba hawastahili kuwa nao

    Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha aliyopitia na hatimaye aone pia wale ambao bado wako huko wanapitia ugumu uleule aliowahi kuupitia yeye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania England vs Darnmark: Kawaida ya Euro 2020, timu bora lazima iage mashindano leo!

    Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa nje ya mashindano. Jana timu bora sana ya Spain ilizidiwa mbinu na Italia na kutupwa nje!! Hali...
  18. JamiiForums Tanzania Usipokuwa muongo nyakati hizi lazima uumizwe

    Natumaini mko shwari Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.. kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo sitaki kuongelea katiba wala mambo ya siasa. Hapa leo ni mambo ya mapenzi tu. Nataka nitoe maoni yangu ambayo moja kwa moja ndo yatakuwa msimamo wa JF bila kujali itikadi. Nitaongelea...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema: Dai la Katiba Mpya lisibezwe

    Jana niliweka uzi hapa nikasema huenda Mama swuala la Katiba analiunga mkono ila inabidi atumie watu nje ya chama chake kuliibua kwasababu wenzake ndani ya chama hawalitaki. Nikaongeza ni suala la muda tu makundi mengine yataibuka na kuunga mkono agenda ya Katiba Mpya. Huyu keshaanza...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanafanya siasa za kimkakati sana, kila agenda yao lazima inasumbua mamlaka

    Tunafundishwa katika chumba kimoja toka shule ya msingi Hadi sekondari na vyuo. Katika maisha ya shule na vyuo watu wenye akili mara nyingi uwa na tabia yakuburuzwa kimaarifa na walimu au watu wengine. Ni watu wanaojua mema na mabaya, ni watu wamejaaliwa kuona mbele sana. Wengi uishia kufukuzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…