Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya,
kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo,
kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale...