lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Kwenye siasa, ukisaliti lazima utasalitiwa

    Hiyo ni principle. Mrema alikaribishwa NCCR Marando akamwachia kiti Mrema akang’ang’ania Marando akampindua, Mbatia akampindua Marando naye kuna hatihati ya kupinduliwa na kina Selasini. Mrema, Lwamwai waliokuwa NCCR wakakimbilia TLP wakamnyang’anya chama Ngawaiya, Mrema naye akataka...
  2. S

    Russia imeikatia umeme Lithuania, mwaka huu nchi za EU lazima ziwashe makoroboi (vibatari)

    TANESCO (Russia) ya nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya yaendelea kuzichachafya nchi za EU zilizozoea kupewa umeme wa dezoo. Safari hii TANESCO hiyo ya nchi kadhaa za EU imeamua kuikatia umeme Lithuania kutokana na linchi hilo kushindwa kulipia gharama za huduma ya umeme... Acha upepo uendelee...
  3. M

    Suala la Simba kupigwa faini na CAF limekwisha na maisha lazima yaendelee

    Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
  4. Kwanini Mwigulu akiwa na cheo Serikalini lazima awe na timu ligi kuu?

    Kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze, Tafazwa Kutinyu nk Wadhamini nao wakajitokeza wa kutosha mpaka jezi ikawa imechafuka kwa matangazo ya...
  5. J

    Chadema ni lazima iteue Wabunge 19 ili kukidhi masharti ya Wafadhili. Je watakubali?

    Kama itakuwa ni lazima Halima Mdee na wenzake wateme ubunge basi Chadema itabidi ipeleke wabunge wengine 19 ili kukidhi masharti ya Wafadhili wa miradi yetu Je, Chadema watautambua rasmi uchaguzi mkuy wa 2020 kama ulikuwa huru na haki? Je, watateua wabunge wengine 19? Tundu Lisu ataridhia...
  6. A

    Kwa Mara ya kwanza swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima geography 1 kidato Cha sita

    Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati...
  7. T

    Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

    Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine... Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu...
  8. E

    Lazima tuwe na plan ya kupunguza utegemezi wa mafuta

    Nchi zetu hizi za kiafrika ni kama tumelaaniwa, itafika wakati watu wataona aibu kuzaliwa nchi zetu hazina mipango wala chochote, mipango ni kutazama huduma za jamii basi, Nikirudi kwenye Hoja, tunahitaji kuwa na mpango wa kuondoka katika utegemezi wa mafuta. na hapa ni lazima tuweke mkakati...
  9. I

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE?

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE? Naam naombeni jibu hapo
  10. Uganda kutuma wanajeshi Msumbiji, maana kero za ugaidi lazima zishughulkiwe kote

    Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa, bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia...
  11. B

    Nchini wapo Watu wananunua vifurushi na wanatambua kupanda Kwa Bei, wapo wananunuliwa vifurushi lazima tuwepe Bei ya Jana na Leo waone tofauti.

    Hapa Duniani usiishi ukiamini Kila MTU anafahamu kupanda na kushuka Kwa Bei ya bidhaa, wapo Watu wachache wamekuzwa Kwenye maisha ambayo Kila gharama anayotumia analipiwa na serikali. . Lakini hii haimaanishi kwamba huyu MTU ana akili Sana, anafahamu sana na anastahili kulipiwa Kila jambo...
  12. U

    Timu zinazoshiriki michuano ya CAF ina mabeki kama kina Inonga kuanzia wawili, hili yanga lazima tulitambue

    Hili wananchi lazima tulielewe. Ni kweli straiker wetu amekuwa tishio kubwa kwa vilabu vya ndani lakini tukirudi kimataifa bado naona kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike Ili kufanya vizuri mashindano haya. Mechi na Simba ilikuwa kipimo kizuri sana kwa yanga kuonyesha ni vipi wanaweza...
  13. P

    Kwani ni lazima kwa kila anayetaka kuiba amponde kwanza Hayati Magufuli!!? Si muibe tuu

    Kumponda JPM ndio njia pekee ya majizi yote sasa kuitumia ili kuhalalisha wizi na ufisadi! Bahati mbaya kabisa, yanalazimisha nchi na wananchi iwasikilize na kuwaunga mkono kwenye biti zao za uwongo za kuhalalisha uwizi na ufisadi, mamaah! Waliowengi wako upande wa wasiompenda JPM R.I.P Enyi...
  14. Ila huu ukweli lazima usemwe

    Najua nnalotaka kulizungumza lawezekana lisiwe na maana yoyote kwa baadhi yenu ila acha tu niseme. Kwanza niwapongeze wanaume wenzangu woote hasa waliooa. Katika jambo ambalo hamjatuangusha wanaume wenzenu ni katika kuchagua wake. Kwanini ? "Wake za watu wazuri jamani".  Nimefahamiana na...
  15. Viongozi waheshimuni Walimu la sivyo mtalaaniwa

    Niende kwenye hoja moja kwa moja. Kuna baadhi ya viongozi tena wa juu kabisa hawawapi heshima walimu na sababu ya wazi kwao kuwatendea uhalifu tena wakiwa nao ni walimu ni madaraka. Siku zote madaraka ni upofu. Madaraka yamekuwa yakiwatoa ufahamu viongozi wa juu mawizarani na kuwaona...
  16. Eti kabla hujaomba zabuni kupitia mfumo wa GPSA ni lazima ujisajili kama mzabuni kwa taasisi unayoomba zabuni?

    Masahihisho: Nimeandika GPSA kwenye kichwa cha habari kimakosa, neno sahihi ni TANEPS. Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa TANEPS, lakini kwanza hakikisha wewe ni kati ya wazabuni waliosajiliwa na taasisi husika. Hivi hii kitu imekaaje? Kuna...
  17. Kanuni ya muhimu katika Drafti; "Ukitaka Kula nyingi nawe lazima ukubali kuliwa" ndio inayotumika sasa?

    Kwema Wakuu! Niliwahi kumsikia Mzee wetu, Rais Mstaafu Jakaya mrisho Kikwete akisema; ukikata Kula sharti nawe uliwe. Naweza kuwa sijanukuu Kama ilivyo lakini ujumbe ulikuwa na maana Sawa na huo. Taikon ni moja ya wacheza Drafti mahiri Sana katika mchezo huo. Mabingwa wa Drafti wanajua kanuni...
  18. Dada zangu, tunakumbushana tu ili baadaye tusilaumiane ingawa kuolewa siyo lazima na neno langu siyo sheria

    INASEMEKANA: _*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima. *Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2. _*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza. *Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2: 1. _*Bilioni...
  19. Hivi tukiacha ushabiki ni lazima Diamond aangushe wasanii wengine ili aendelee kutamba?

    nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini. Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of...
  20. CCM ya Kinana lazima italipa kisasi

    Ni suala la wakati tu. Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu. CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…