lawama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    Trump ahamisha furushi la lawama; asema yanayoendelea sasa ni mawazo ya Pete Hegseth. Yeye hajaanzisha hii vita.

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa hakuwa mwanzilishi wa mgogoro unaoendelea hivi sasa na Iran, huku akisisitiza nafasi ya Waziri wake wa Ulinzi, Pete Hegseth, katika mchakato wa kufanya uamuzi huo. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara, Trump alielezea majadiliano ya ndani...
  2. Parabolic

    PostGE2025 Serikali inatafuta wa kumwangushia zigo la lawama ya Oktoba 29, 2025

    Wakati kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ikiendelea, imeonekana upande wa Serikali umekosa ushahidi wenye mashiko wa kumbana mwanasiasa huyo, hivyo mawakili wa upande huo wakaleta notisi ya kutaka kuongeza ushahidi wa ziada. Februari 23, Wakili wa Serikali Nassoro...
  3. Sodoku

    Uzi wa Kupeana Lawama (Wabeba Lawama)

    Katika hii dunia kwa kweli kuna watu wanapenda kutoa lawama. Unakuta kuna mtu ni mlalamishi mpaka unashangaa.hii inakuaje? Na wakati mwingine mwanaume kabisa anakuwa mlalamishi mpaka unajiuliza huu ni yeye kweli au ameshakuwa mtu mwingine? Anyway mimi nawajua wabeba lawama pia. Nami nmeshabeba...
  4. B

    Serikali ya kijiji yajiuzuru CCM yatupiwa lawama kata ya hezya Mbozi

    20 January 2026 Songwe, Tanzania SERIKALI YA KIJIJI YAJIUZURU CCM YATUPIWA LAWAMA KATA YA HEZYA MBOZI https://m.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac Serikali ya Kijiji cha Namwangwa kata ya Hezya wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongzwa na Mwenyekiti JAPHET MBUKWA imeachia Madaraka kwa Madai ya...
  5. JanguKamaJangu

    Serikali ya Kijiji yajiuzulu, wahusika waitupia lawama CCM Kata wa Hezya - Mbozi Mkoani Songwe

    https://www.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya Mtendaji wa Kata amemkamata na kumshikilia katika ofisi yake kwa madai ya kuwa Mwenyekiti huyo...
  6. M

    Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

    Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964. Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake. Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi. Nyerere aliona atakuwa salama kama...
  7. Fbn

    Serikali ya CCM mmetengeneza mazingira ya utendaji ambayo kesho yakiwakuta hakuna lawama.

    Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu. kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni neema. Kwa serikali ya CCM ambayo sasa inawatafuna wenyewe sasa haya ni mambo ambayo muwezi kufanya...
  8. ngara23

    Tundu Lissu yupo jela miezi 8, ila lawama za maandamano anapewa yeye?

    1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi 2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea vurugu na maandamano 3. Lissu anafadhiliwa vipi na wazungu na Yuko gerezani hana mawasiliano yoyote...
  9. Pakome

    PostGE2025 Kijana mwenzangu nakushauri lakini uamuzi utakuwa juu yako na ikiwa ni lawama basi utazielekeza kwako mwenyewe

    Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza...
  10. Kazanazo

    Je nisipo hudhuria harusi ya rafiki huyu kuna lawama?

    Ni rafiki wa kushibana kwetu kama kwao na kwao kama kwetu, urafiki wetu ni zaidi ya undugu maana tunasaidiana kuliko hata hao ndugu zetu wanavyo tusaidia Urafiki wetu ulianza na kukua kwa kasi tukiwa school na kwa bahati nzuri kila tukivuka level moja kwenda nyingine tunajikuta tumepangiwa...
  11. K

    PostGE2025 Sasa lawama zote ni kwa kanisa, badala ya mifumo iliyojaa rushwa na uzembe

    Mie nilijua shida ni mifumo yetu yetu ya kiutumishi wa umma kutamalaki kwa rushwa na ufisad
  12. Pakome

    Changamoto zilizoikumba Tanzania zitatuliwe kwa kutumia Busara na Utamaduni wa Watanzania. Njia ya lawama itateketeza Taifa

    Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile lilileta majeraha kwa nyoyo za Watanzania, likaibua hofu, maumivu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa...
  13. Pdidy

    Tetesi: Waandishi wa habari wadaiwa kuzuiwa kwenda Kongwa kwenye msiba wa Ndugai

    Naangalia Azam TV FB Wameanza lawama wanadai waandishi wamezuiwa kuingia msibani Kongwa toka jana mpaka leo ♥️ ❤️ 👌 ✨️ 😋 Mmekwenda kuhoji nini kwani? Poleni na yaliyowakuta.
  14. Mshana Jr

    Nyama choma festival (uzi wa lawama)

    TAHADHARI KUU Kama una njaa na uko mbali na maeneo au mfuko hauko njema kaa mbali na huu uzi.. 😂 sitaki lawama
  15. S

    Lawama dhidi ya Kikwete ni halisi ama tunacheza ngoma tusiyoijua?

    Kikwete ni rais mstaafu, hana jeshi wala hamiliki kikundi cha kigaidi. Kwann analalamikiwa kuhusu mwenendo wa uongozi wa nchi? Lawama anazopewa Kikwete anastahili ama ni chuki binafsi toka kwa wabaya wake? Rais aliyeko madarakani analazimika kufuata maagizo ama ushauri wa Kikwete? Kama jibu ni...
  16. Jidu La Mabambasi

    Kisiasa, lawama zote ni kwa Kikwete kwa kuvuruga uteuzi wa mgombea Urais, lakini TUJISAHIHISHE

    Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete. Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa. Suala la kumteua mgombea wa kiti cha urais NJE ya utaratibu na katiba ya chama lilikuwa kosa kubwa. Na hili limemjengea Mwenyekiti wa...
  17. Candela

    Mgeni lawama

    Hivi juzi nilipokea simu kutoka kwa ndugu huko mkoani. Akisema amepata kibarua mkoa nilipo hivyo anaomba aje akae kwangu. Nilimkaribisha lakini nikamwambia mimi naishi kibachela nyumbani sipiki akasema ye anataka pa ku lala tu. Alipofika akaanza kusema vyakula vya hotel hivi mara vile bora awe...
  18. GENTAMYCINE

    Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  19. GENTAMYCINE

    Uko sahihi Lusinde makosa mengine ni yetu Wenyewe halafu tunamtupia Lawama Rais Samia na CCM yake, tubadilike tafadhali bado hatujachelewa

    Kuna jamaa namfahamu ni Mlinzi na anapokea Mshahara wa Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini za Kitanzania ila ana Watoto Sita na Mahawara Watatu halafu Kutwa tu ukikutana nae Kijiweni ndiyo Mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Rais Samia na Kukilaani Chama Cha Mapinduzi (CCM) utadhani Samia na CCM...
  20. nzalendo

    Lawama katika Maisha

    Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango. Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba nilikutupa... la hasha nilikuwa pamoja nawe katika shida mbali mbali,,,, Pamoja na hayo bado unaona...
Back
Top Bottom