laptop

  1. Computer4Sale Tunauza Laptop, tupo Kariakoo

    MSI gaming machine Core i7 - 7th gen RAM 16gb HDD 1tb SSD 256gb Nvidia Gtx 1060(6GB Dedicated) Used [emoji338]0784545494 Bei 2,850,000 Tupo Karibu na Mlimani City Mall Njia ya kwenda Survey/Ardhi University.
  2. Laptop Zimewasili Na Ofa Ya Vitabu

    UPDATE LEO JULY 2 2021 LAPTOP ZIMEWASILI NA OFA YA VITABU Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia...
  3. W

    LAPTOP inaharibika muda gani usipoizima bali inapiga mzigo

    Poleni wandugu kwanza. Ni kwamba kuna kazi nafanya na laptop yangu ya siku nyingi Acer Quad Core 8gb ram. Sasa shughuli nyingine masaa 18 inachapa mzigo nazima nusu saa. Halafu inapiga masaa 6 huu mchezo wiki nzima nimekuwa nafanya usiku na mchana sasa nimeanza kuogopa nitaikuta imezima...
  4. Naomba kujuzwa namna ya kutrack laptop iliyoibiwa

    Nimeibiwa laptop. Je kuna namna ya ku track au nipotezee tu? Cc Chief-Mkwawa
  5. Computer4Sale Lenovo Mini laptop for sale

    Lenovo Mini laptop for sale hard disk 250gb Ram 2gb core2duo Good condition price 230000 inapatikana karume Dar es salaam contact: 0757870230
  6. HP corei7 laptop for sale

    Hp elitebook 8460p Prosesa 2.7gh Gen ya 4 Hard disk 500gb Ram 4gb Corei7 Good condition Price 450000 tshs contact: 0757870230 inapatikana karume DSM
  7. Ninaweza kucheza games kwenye Laptop ya aina hii?

    Hp probook 6475b . Processor AMD 2.70 Ghz . Ram 4Gb . HDD 200gb
  8. Computer4Sale Dell laptop for sale

    Dell inspiron hard disk 250GB Ram 2GB c duocore battery: 1hr location KARUME DSM price: tsh 200000 contact: 0757870230 ni mashine kali haina kipengele chochote. karibuni tufanye biashara. Karibuni pia kwa matengenezo ya computer na tunauza laptops/desktops used na vifaa mbalimbali vya computer...
  9. Je, naweza kupata Laptop nzuri kwa budget ya laki nane?

    Heshima kwenu watalaamu wa jukwaa hili, Nina Budget ya 800K ninahitaji laptop. Majukumu maalum ni kama Kutumia Softwares kama AUTOCAD, CIVIL 3D, STAAD PRO, MATLAB na program baadhi za Engineering ambazo sijazitaja. Nahitaji laptop bora kwa hio gharama kikubwa iweze kurun hizo programs...
  10. T

    Wapi naweza kupata mafundi wazuri wanaoweza ku-replace au ku-fix screen ya laptop?

    Screen ya laptop yangu ina tatizo, inatoa mistari ya blue na kijani, mieusi au rangi zingine na kuchezacheza -- mawenge, hii mistari ni vertical au horizontal, cursor inastick muda wote na hata screen yenyewe ina crash. Nimejaribu kusolve hili tatizo kama la software lakini bila mafanikio. Bila...
  11. Nauza laptop

    ~Husika na Somo tajwa Aina: DELL Model: 630 RAM: 3GB HDD: 80GB Display: 13inch USB PORT: 4 HDMI: 1 VGA: 1 JACK: 3.5mm Wireless: yes Na sifa nyinginezo kibao ' ~Price 250k ( 250,000 ) NB: Inafaa kwa matumizi yote ' ipo katika hali nzuri as New Na haina tatizo lolote Mawasiliano...
  12. Computer4Sale Dell laptop inauzwa

    Dell latitude 2110 mini laptop Hard disk: 160GB Ram: 2GB core2duo Good Condition betri inakaa 3hrs Price 180000 tsh Location machinga complex Karume contac 0757870230
  13. Computer4Sale Dell na Lenovo Laptop

    wakubwa habari, nauza mashine mtumba kutoka nje hazina shida yoyote ile njoo kariakoo dell lattitude d630 ram 2gb hdd 250 nch 14 wide processor 2.0 ghz charge masaa 2 window 10 wifi bluetooth dvd rw tsh 190000 lenove IBM from usa iko vizuri balaa ram 4gb hdd 250 nch 14 squire processor 1.83...
  14. Computer4Sale Laptop toka USA zinauzwa

    Lenovo X 130 Hdd 320gb, ram 4gb, battery 3 hours, price: tzs 350,000 ya wiki hii kabla ya wikiend. Tuko Kariakoo jirani na China plaza piga 0713039875 kuwahi ofa hii
  15. Jana nimebeba TV, laptop, pasi, vitana, vijiko, n.k kwa niliemdai, leo kanirudishia pesa, pesa ya ada ya mtoto ilifeli

    Uvumililivu ulinishinda kiukweli. Yani jamaa nilimkopa Novemba 28, kaja mikono nyuma kichwa chini na sauti ya kinyonge nikamkopa kiasi alichohitaji. Baada ya kumaliza shida zake mshahara wake akapokea ila kimya, nilimwinda sana lakini nikimpigia hapokei, nikituma sms hajibu, whatsapp status...
  16. Natafuta kioo cha laptop DELL latitude 3330

    Kama kuna mwenye nacho tafadhali pesa yako ipo
  17. Msaada laptop aina HP 650 imegoma kuwaka

    Kwema Viongozi, Laptop yangu haiwaki kabisa. Naombeni kujua shida inaweza kuwa ni nini? Nimejaribu kubadili charger lakini hakuna mabadiliko. Nb ni ina 8yrs now hp 650
  18. Computer4Sale Laptop inauzwa

    Nauza laptop ina shida ya HDD na touchpad Bei 100,000/= fixed Ram 2gb Screen inchi 13 Cpu 2.1ghz Bettery 3hrs Model ACER Whatsapp 255659749219
  19. Je, kuna umuhimu wowote wa kuwa na Laptop kwa kozi ya Medical Doctor (MD) mwaka wa kwanza?

    Habarini ndugu, Kwa anayejua mtu anayeanza chuo mwaka wa kwanza kwa ngazi ya degree ya medical doctor kuna umuhimu wowote wa kuwa na laptop? Kama jibu ni ndio je kitu gani kingine anachotakiwa kuwa nacho kama sehemu ya kumsaidia kwenye masomo yake? Msaada kwa hili.
  20. Je, ni wapi salama kuweka vitu kwenye disc gani kwenye laptop?

    Wakuu binafsi nna disk moja tu local disk c. Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe? Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye folder la desktop, ila nikaambiwa ni hatari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…