laptop

  1. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Softwares za Laptop tusaidiane

    Habari wana jamvi, Mimi natumia Microsoft Office 2016 kwa sababu ya shida. Pia ni mpenzi wa kutumia Outlook kwenye mambo yangu binafsi. Ni mwezi sasa nimesitishiwa huduma ya login to Outlook mail kwa sababu nisizozifahamu. Kila nikijaribu nakutana na mambo yafuatayo 1. Disconnected 2. Outlook...
  2. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale DELL 500GB/4GB 280K

    HDD 500GB, RAM 4GB, DISPLAY SIZE 11.2 INC, PROCESSOR 2.16GHZ, BATTERY 7HRS, SPEAKERS ZINA SAUTI KUBWA SANAA VERY CLEAN BEI 280K DSM.
  3. Complex

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Jipatie laptop yenye SSD storage, Core i5, RAM 8GB kuanzia 369,000 tu

    Karibu tukuhudumie. Laptop zetu zote zina SSD storage, 8GB RAM. Karibu tukuhudumie. Tunapatikana Machinga complex floor ya pili. Tupigie ama tutumie message whatsapp kupitia namba zetu 0753555055 ama 0714894798. Instagram kwa picha zaidi ozonetechnologiestz Laptop ni refubrished, lakini zetu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop nzuri yenye uwezo, inauzwa

    IMEUZWA
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania kwenye laptop ni kiwango kipi cha audio kinatosha kwenye kuangalia movie kati ya 768 kpbs, 320 kbps, 128 kbps au 64 kbps ?

    kwenye audio kuna option ta 32 kbps, 64 kbps, 128 kbps, 320 kbps na hii DD+ atmos 768 kbps. Nimevutiwa na namba kubwa, laptops zetu hizi za kawaida kuna haja ya kushusha huo mzigo wenye 768 kbps ??
  6. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa laki 2 na nusu tu..nina uhitaji wa pesa haraka

    Toshiba Hdd- 128ssd Ram 4 Touch screen Nina shida na uhitaji wa pesa haraka sana.wakuu nimebanwa na shidaaa nahitaji 250000 tu. Ipo dar piga simu 0627474141
  7. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell latitude laptop inauzwa

    DELL LATITUDE LAPTOP INAUZWA SPECIFICATIONS: Screen Size: 14 inch Processor: Intel Core i3 RAM: 4GB Hard Disk: 500GB Bei: 500,000 Mawasiliano: 0768444224
  8. D

    JamiiForums Tanzania SOLD: Portable but Powerful laptop for sale

    imeuzwa
  9. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

    Habari wakuu, Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
  10. G

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell laptop inauzwa, HDD: 1TB & RAM 16GB

    Heavy Duty Dell Machine (engineerng design,grphics design & games) -storage. ROM/HDD: 1TB RAM: 16GB DDR4 Processor: Intel Core i7, 2.4Mhz with graphics card. System: x64 bit-based processor Screen: 15.6" screen touch Keyboard: black Window 10 pro Battery: 4hrs Condition: CLEAN.(haina...
  11. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa kwa bei ya kutupa

    HP Notebook 15s core i7 Ina ram 4gb ssd 512 intel iris graphics card 4gb battery masaa 6 na kuendelea ipo clean haina tatzo lolote Bei 850,000 Ipo Dar es Salaam Mawasiliano 0782 780980
  12. Ndove

    JamiiForums Tanzania Natafuta display back cover ya laptop PROBOOK 6470B.

    Cover yake imeharibika na hanges zake za kushikia kioo zimekatika. Yeyote mwenye navyo anijuze na gharama itakuwa sh ngapi!
  13. Ndove

    JamiiForums Tanzania Ni nini tofauti kati ya Processor Type na Processor Model kwenye laptop

    Kwa mfano unaweza kuta pc iko na specs kama Processor type: Intel core 2Duo Processor Model: intel 6th gen core i7 au i5 nakuendelea Sasa nataka kujua tofauti yake ni nini?
  14. Ndove

    JamiiForums Tanzania Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Na hii vp wataalam je iko vizuri? Kusukuma heavy games? Na hizi ndizo sifa zake 👇
  15. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Njoo nikuuzie laptop Used safi

    Naomba kuwapa taarifa kuwa nina Laptop nzuri tu ambazo zimetuka na nauza kwa bei simple kabisa! Bei yangu simple sana 1. Lenovo T430 Processor: Interl Core i5 @2.60GHz (4 CPUs) Memory: 6G RAM Storage: 500 GB HDD Battery 🔋: 4 Hours Display size 14 Inch Second Hand Tsh 350,000/= 2. Lenovo T440...
  16. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP Laptop 14 7 Genaration inauzwa

    Sina maelezo mengi ila dili na Specifications Hp Laptop 14 Processor Intel(R) Core i3-7020U CPU @2.30GHz (4CPUs) 7th Generation Memory 4GB Storage 256 GB SSD Battery 🔋 5Hrs Second Hand Tsh 400,000/= kwa member wa JF tu. #0622 901670
  17. H

    JamiiForums Tanzania Laptop lenovo ya kuiwahi chap chap

    Laptop aina ya Lenovo Storage: 1 terrabyte Corei5 Ram: 8 gb Battery: 5hrs (Normal use) Processor 2.3-2.4 Ghz Imported from Dubai. Ipo clean na haijatumika kbsa hapa bongo. Unaiona kwanza ukirizika unatoa pesa. Price 750K. Kaingalie dukani bei yake alafu njoo tufanye biashara...
  18. Katavi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop ikiunganishwa na Ethernet, Mobile Hotspots haifanyi kazi na WiFi inazima.

    Habari wakuu. Nina tatizo la Laptop kutokuwa na uwezo wa kuunganisha Mobile Hotspot pale inapokuwa imeunganishwa na Ethernet Cable. Pale ninapounganisha inakuwa na uwezo wa kupata internet lakini WiFi inazima, na inafanya kutokuwa na uwezo wa kuweza kushea internet. Naomba msaada wa kuweza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kupotelewa na Laptop

    Juzi Ijumaa, tarehe 16 Septemba 2022 nikiwa natoka kazini nilipark gari Bunju B hii sehemu ambapo gari za Bagamoyo zinazotoka Tegeta usimama na kupakia abiria. Nilipaki gari na kushuka kuingia dukani kwa ajili ya kujipatia mahitaji kidogo ya Familia. Kwenye gari niliacha begi lenye Laptop aina...
  20. jT0078

    JamiiForums Tanzania Tunaondoa Bios Password na User Password katika Laptop na Desktop

    Habari wadau! Kama una Laptop au Desktop umesahau Password ya user(admin) au Bios njoo tutatue tatizo. Gharama ya kuondoa user Password without delete data ni 10,000/= tshs na Bios Password 30,000/= Tshs Nipo Machinga Complex Karume Dsm 0718 290779
Back
Top Bottom