laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutoka kwenye utumwa na laana. Simplest

    Utumwa ni kuwa chini ya mtu au kitu fulani kwa 100% . Sasa utumwa wa kiroho mara nyingi hubase kwenye jambo moja mahsusi. Mtumwa wa kiroho anaweza kujua kuwa yuko kwenye kifungo au akahisi tu kuwa ana kifungo lakini asijue wapi hasa kagungwa . Dalili za mtu aliyefungwa kiroho; 1. Kufanya kazi...
  2. nipo online

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya fungu la 10 ni kiboko ya madeni, mikosi, Laana, kukataliwa

    Wakuu kwa wale wanaolalamika kua michongo yao haifunguki, madeni, mikosi ukata, dawa yao ni hii, watoe sehem ya 10 ya mapato yao hakika hawatajutia maishani kwao daima. Hata kama huendi katika nyumba ya ibada agiza sehem u. Ni dawa pekee ya kumaliza changamoto zao za kiuchumi na kijamiii.
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

    Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara. Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe Kuna...
  4. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza: “Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?” Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaotoa matamko ya kulaani, laana haziwapati wanaolaaniwa?

    Mara nyingi, tumekuwa tukisikia taasisi za kijamii, wanaharakati, wananchi nk wakiilaani nchi fulani au viongozi wa kisiasa kwa madai kwamba wamekosea au kutenda jambo linalowaletea maumivu. Wakati mwingine watu wenye dini nao husikika wakitamka maneno ya laana dhidi ya wale wanaoona...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi msiwachukulie poa watoto wenu kaeni nao chini, hawa ni wanafunzi wa form 2 wameachiwa nyumba,

  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mchungaji SDA: Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana, akoleza moto asema anayeua na kubambikiza kesi ni sinagogi la Shetani

    "Mtu mmoja akasema kiongozi fulani ni Mungu, nikashika mkono Tanzania hapa? Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana" "Yoyote anayejua kwamba kuua ni dhambi na akaaua akachukua roho ya mtu, amegeuka kuwa sinagogi la shetani, yeyote anayedhani kufunga mtu bila kosa ni dhambi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Si kila changamoto ni laana – jifunze lugha ya sayari

    Kama ambavyo mwili wa nyama unaweza kuchafuka kwa uchafu wa kimwili, vivyo hivyo nafsi ya mwanadamu huweza kuchafuka au kuingia kwenye majaribu makubwa kutokana na mizunguko ya sayari katika ulimwengu huu wa kiroho na wa kiastrologia. Watu wengi wanapopitia magumu, hukimbilia kusema “nimerogwa”...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Je, umasikini ni laana?

    Tunapitia maisha magumu mpaka tunaamini waliokufa wamepumzika. Lau viongoz wetu wangejali watoto wa kimasikin leo ingekua tuna afadhal njaa, maradhi, nguo na viraka na kila aina ya taabu lakin nan anajali na nani alaumiwe
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  13. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya funzo adhabu na laana?.

    Kuna wakati kwenye maisha Mtu unakutana na mitihani mpaka unajaribu kujiuliza kama hiyo ni adhabu ya makosa uliyowahi kufanya, au ni funzo tu unapitia baada ya kutoka kwenye mstari au la ni laana ya Mtu au Watu uliowakosea kwenye harakati zako za maisha. Sasa mtihani unabaki namna ya kutambua...
  14. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Laana ya mizimu na hatari katika maisha yetu hakika nyota zetu zipo kuzimu

    LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao.. Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

    Huo ndio ushari Usipangishe polisi Nyumba yako itageuka laana
  16. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Hakuna familia yenye laana acheni kudanganya watu nyie waganga,na wachungaji!

    Eti kanisa lina Andaa wiki ya kuikomboa familia kutoka katika vifungo. Wiz I mtupu
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi alalama mshahara mdogo asema anazidiwa na mke ambaye ni mwalimu 'sijui ni laana tumelaaniwa?'

    Polisi huyu mbele ya waziri anadai mshahara wake ni mdogo kiasi cha kuzidiwa mara mbili na mkewe ambaye ni mwalimu huku akihisi kuwa huenda ni laana iliyopelekea kulaaniwa :AAAA::AAAA:
  18. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanahisi laana zao zimefanya kazi wanapoona mkandamizaji kapatwa na maradhi ama kafa

    "Malipo ni hapahapa duniani" Nawaombea mabaya yawakute" Hizo ni laana zinazotoka unapomlaani mkandamizaji iwe ni Mwanasiasa alietumia madaraka vibaya kukuumiza, Kigogo aliekupora shamba, Bosi aliyekunyanyasa kazini, Mwanasheria aliyekusaliti kwa kupokea rushwa, Polisi mliezinguana akakubambikia...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HAWA VIONGOZI WA SIASA WAJITAHIDI NA WAO KUWEMO KUNDI LA KUUMIA SIO KUJIFICHA NDAN WANAONGEA TU HIO N LAANA

    NASIKILIZA KIONGOZI MMOJA TU.EKUBALIANA M NIBAKI NDNA YA PFISI NIWAPE UPDATE NA XXXX AMEKIMBILIA SEHWMU FLAN AKITOA TAARIFA USHAURI TU TUSIWATUMIE WANANCHI VIBAYA M NATAMAN KUSIKIA KUNDI KUBWA LA WANAOLALA.IKA KUUMIA WAWE N VIONGOZI WA NRNE MPAKA SASA SIJAJSIKIA KIONGOZI ALIEKUFS WANATANGAZA...
  20. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Je kutafuta mali bila kuziendeleza ni laana inayowakabili Waafrika weusi?

    Mpendwa Mwafrika mwenzangu, Leo nakuandikia tafakri yangu binafsi, lakini pia kwa tumaini. Uchungu kwa sababu kuna jambo linaloendelea kwenye jamii zetu ambalo linatufanya tusisonge mbele kama tunavyopaswa. Tumekuwa watu wa kutafuta, lakini si watu wa kuendeleza. Tumekuwa hodari wa jasho...
Back
Top Bottom