Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,633
38,163
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza mwenge kitaifa ukiwa Askari mwenye cheo cha Sgt.
Wewe kama Mtumishi wa Umma msomi unajua na wataalamu wa mafao wanafundisha na kuelekezwa kwamba kustaafu kunaanza siku unapoajiriwa. Kwamba Mtumishi anatakiwa kujiandaa kustaafu siku anayoajiriwa. Kustaafu kupo Kwa Aina 2, kustaafu Kwa hiari na kustaafu Kwa lazima. Kustaafu kutatokea Kwa umri wa lazima au Kwa hiari ya Mtumishi Kwa Muda àmbao hiari hiyo imetajwa na sheria. Lakini kuna mazingira ambayo kinadharia ni Sawa tu na kustaafu maana baada ya matukio hayo Mtumishi anastahili mafao. Mazingira hayo ni;
1.Kifo ukiwa ajirani.
2.Kufukuzwa kazi.
3.Kuacha kazi.
Mazingira yote niliyotaja hapo juu Mtumishi anapaswa kuyajua na kuyatafakari mara tu anapopata ajira.
Sasa inakuwaje Mh Mtaka uwazodoe watumishi wanaoajiriwa na kuanza kujadili madhara ya Kikokotoo? Unataka waanze lini kujadili maslahi yao? Au sheria inataja Muda maalum wa Mtumishi kuanza kujadili mafao yake?
Binafsi naona tabia ya viongozi wa serikali ya CCM kuwaona wengine hawana akili Ila nyie pekee imeanza kukuingia na wewe. Wataalamu toka mifuko ya hifadhi ya Jamii wamekuwa wakitoa semina mbalimbali kuhusu kustaafu na wanasisitiza hili Kwa watumishi kujiandaa kustaafu. Wanasema mwajiriwa yeyote ni mstaafu mtarajiwa, lakini mwenzetu unaanza kuwapangia watumishi namna ya kuwaza na kuendesha maisha Yao. Nini kimekupata ghafla na ulitegemewa na wengi Kwa nafasi kubwa zaidi ya ukuu wa mkoa?
Ulipotolewa Dodoma kupelekwa Njombe wengi tulishangaa. Mtu mmoja akaandika humu JF "Mnaoshangaa hamumjui Mtaka, ni mbinafsi asiyeamini mawazo ya wengine". Nilimpinga Sana Kwa sababu Mimi nilikuchukulia tofauti. Naanza kuamini alikuwa sahihi. Tabia ya kuzuia watu kujadili yanayowahusu na kuwataka wasubiri maamuzi ya serikali ni unyanyasaji wa Muda mrefu unaofanywa na Viongozi wa serikali.
Acheni Tabia hii ya kudhani unapoteuliwa kuwa kiongozi mahali basi unatawala mpaka uwezo wa watu kufikiri na kupanga maendeleo yao.
UMESIFIWA UNAKIMBIA SANA ANGALIA USIPITILIZE KWENU.
 
Attachments

  • 20240518_093656.jpg
    20240518_093656.jpg
    335.4 KB · Views: 3
Mtaka Sasa amelewa myakaya wa njombe kumbe MACCM wote akili zinafana🚮
#TANZANIA: UMEANZA KAZI MWAKA HUU UNALALAMIKIA KIKOKOTOO, SASA WEWE UNALALAMIKA NINI? MSUBIRI RAIS WAKO - MKATA
"Kuna watu hapa wameanza kazi mwaka huu na wao wanatukana kuhusu kikokotoo ,anastaafu 2070 anatukana leo kikokotoo, sasa unamuuliza kwani wewe unastaafu lini? Leo ana miaka 22, mwalimu"

"Unakuta mtu ana ajira mpya hata miaka miwili hajafikisha anaanza kulalamikia kikokotoo, sasa wewe unamlalamikia nani? Maana muda wako wa kustaafu utakapofika Rais hatakuwa huyu aliyepo sasa, wewe msubiri Rais wako wa miaka hiyo utakayostaafu ndipo ulalamike" - Antony Mtaka, Mkuu wa Mkoa wa Njombe.

NB; Haya ndo mawazo ya RC maarufu?
 
mie nadhani kwa muajiriwa mpya hakuna haja ya kusumbuana na serikali. Kama huridhiki na mshahara na kikokotoo, si uwe muungwana tu, uachane na hiyo kazi na uende kutafuta na kufanya ile ambayo utafurahia, ili uwape fursa wale ambao wameridhika na sheria ya kikokotoo iliyopo waendelee na kazi 🐒

mbona ni rahisi tu lakini unajitahidi kuifanya kua ngumu 🐒
 
Ukiondoa uliyosoma darasani, yanayobaki ndio akili zako, ndio Mtaka huyo, akiacha kusoma vitabu vya motivational speakers akatumia akili zake, kinachobakia ndio hicho
Kuna watu mliona mbali Sana kuhusu huyu jamaa. Hii mada imemfunua akili zake na kumuonyesha asivyo na uelewa wowote zaidi ya kukariri misemo ya wanafalsafa.
 
CCM imekugeuza misukule
mie nadhani kwa muajiriwa mpya hakuna haja ya kusumbuana na serikali. Kama huridhiki na mshahara na kikokotoo, si uwe muungwana tu, uachane na hiyo kazi na uende kutafuta na kufanya ile ambayo utafurahia, ili uwape fursa wale ambao wameridhika na sheria ya kikokotoo iliyopo waendelee na kazi 🐒

mbona ni rahisi tu lakini unajitahidi kuifanya kua ngumu 🐒

mie nadhani kwa muajiriwa mpya hakuna haja ya kusumbuana na serikali. Kama huridhiki na mshahara na kikokotoo, si uwe muungwana tu, uachane na hiyo kazi na uende kutafuta na kufanya ile ambayo utafurahia, ili uwape fursa wale ambao wameridhika na sheria ya kikokotoo iliyopo waendelee na kazi 🐒

mbona ni rahisi tu lakini unajitahidi kuifanya kua ngumu 🐒
CCM imekugeuza msukule uwezo wa kufikiri ni 0.01%.
 
Wajita wana asili ya ujivuni na kujiona wana akili kuliko wengine, wana madharau ya kibwege sana, Mtaka mwepesi sana kichwani alichopata kwa mama yake ni Udikteta tu na kukosa adabu
Ukimuona utadhani umekutana na Mtu mwenye busara, kumbe anafirikiria ubabe na kuburuza watu.
 
Kipindi ameondolewa Dodoma watu wakalalamika humu, probably wenye maslahi nae, niliandika humu the guy si overrated.

Mtaka ana haiba ya kupendeza, lakini haimaanishi ni kiongozi mzuri, tatizo la waTz huwa wanadhani kiongozi anayefaa ni yule wanaye mpenda "kimahaba". 🗑
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza mwenge kitaifa ukiwa Askari mwenye cheo cha Sgt.
Wewe kama Mtumishi wa Umma msomi unajua na wataalamu wa mafao wanafundisha na kuelekezwa kwamba kustaafu kunaanza siku unapoajiriwa. Kwamba Mtumishi anatakiwa kujiandaa kustaafu siku anayoajiriwa. Kustaafu kupo Kwa Aina 2, kustaafu Kwa hiari na kustaafu Kwa lazima. Kustaafu kutatokea Kwa umri wa lazima au Kwa hiari ya Mtumishi Kwa Muda àmbao hiari hiyo imetajwa na sheria. Lakini kuna mazingira ambayo kinadharia ni Sawa tu na kustaafu maana baada ya matukio hayo Mtumishi anastahili mafao. Mazingira hayo ni;
1.Kifo ukiwa ajirani.
2.Kufukuzwa kazi.
3.Kuacha kazi.
Mazingira yote niliyotaja hapo juu Mtumishi anapaswa kuyajua na kuyatafakari mara tu anapopata ajira.
Sasa inakuwaje Mh Mtaka uwazodoe watumishi wanaoajiriwa na kuanza kujadili madhara ya Kikokotoo? Unataka waanze lini kujadili maslahi yao? Au sheria inataja Muda maalum wa Mtumishi kuanza kujadili mafao yake?
Binafsi naona tabia ya viongozi wa serikali ya CCM kuwaona wengine hawana akili Ila nyie pekee imeanza kukuingia na wewe. Wataalamu toka mifuko ya hifadhi ya Jamii wamekuwa wakitoa semina mbalimbali kuhusu kustaafu na wanasisitiza hili Kwa watumishi kujiandaa kustaafu. Wanasema mwajiriwa yeyote ni mstaafu mtarajiwa, lakini mwenzetu unaanza kuwapangia watumishi namna ya kuwaza na kuendesha maisha Yao. Nini kimekupata ghafla na ulitegemewa na wengi Kwa nafasi kubwa zaidi ya ukuu wa mkoa?
Ulipotolewa Dodoma kupelekwa Njombe wengi tulishangaa. Mtu mmoja akaandika humu JF "Mnaoshangaa hamumjui Mtaka, ni mbinafsi asiyeamini mawazo ya wengine". Nilimpinga Sana Kwa sababu Mimi nilikuchukulia tofauti. Naanza kuamini alikuwa sahihi. Tabia ya kuzuia watu kujadili yanayowahusu na kuwataka wasubiri maamuzi ya serikali ni unyanyasaji wa Muda mrefu unaofanywa na Viongozi wa serikali.
Acheni Tabia hii ya kudhani unapoteuliwa kuwa kiongozi mahali basi unatawala mpaka uwezo wa watu kufikiri na kupanga maendeleo yao.
UMESIFIWA UNAKIMBIA SANA ANGALIA USIPITILIZE KWENU.
Ngoja astaafu ndio atajua vyema awaulize akina Paul Rupia waliotengeza sheria ya pensheni mara alivyostaafu akauona moto wake. Huyu Mtaka ana roho mbaya sana.
 
mie nadhani kwa muajiriwa mpya hakuna haja ya kusumbuana na serikali. Kama huridhiki na mshahara na kikokotoo, si uwe muungwana tu, uachane na hiyo kazi na uende kutafuta na kufanya ile ambayo utafurahia, ili uwape fursa wale ambao wameridhika na sheria ya kikokotoo iliyopo waendelee na kazi 🐒

mbona ni rahisi tu lakini unajitahidi kuifanya kua ngumu 🐒
Nisamehe mkuu, ila wewe ni wasted sperm.
 
mie nadhani kwa muajiriwa mpya hakuna haja ya kusumbuana na serikali. Kama huridhiki na mshahara na kikokotoo, si uwe muungwana tu, uachane na hiyo kazi na uende kutafuta na kufanya ile ambayo utafurahia, ili uwape fursa wale ambao wameridhika na sheria ya kikokotoo iliyopo waendelee na kazi 🐒

mbona ni rahisi tu lakini unajitahidi kuifanya kua ngumu 🐒

“There comes a time when silence is betrayal." “Our lives begin to end the day we become silent about things that matter." “In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends"

Quoted from speeches of Martine Luther King Jr
 
Kuna watu mliona mbali Sana kuhusu huyu jamaa. Hii mada imemfunua akili zake na kumuonyesha asivyo na uelewa wowote zaidi ya kukariri misemo ya wanafalsafa.
Kaacha kuongelea utapiamlo anarukia maisha ya watu. Hawa akina Mtaka ni wajinga sana. Huyu akili zero.
 
mie nadhani kwa muajiriwa mpya hakuna haja ya kusumbuana na serikali. Kama huridhiki na mshahara na kikokotoo, si uwe muungwana tu, uachane na hiyo kazi na uende kutafuta na kufanya ile ambayo utafurahia, ili uwape fursa wale ambao wameridhika na sheria ya kikokotoo iliyopo waendelee na kazi 🐒

mbona ni rahisi tu lakini unajitahidi kuifanya kua ngumu 🐒
Umetumia Masabuli katika kufikiria ama.
 
#TANZANIA: UMEANZA KAZI MWAKA HUU UNALALAMIKIA KIKOKOTOO, SASA WEWE UNALALAMIKA NINI? MSUBIRI RAIS WAKO - MKATA
"Kuna watu hapa wameanza kazi mwaka huu na wao wanatukana kuhusu kikokotoo ,anastaafu 2070 anatukana leo kikokotoo, sasa unamuuliza kwani wewe unastaafu lini? Leo ana miaka 22, mwalimu"

"Unakuta mtu ana ajira mpya hata miaka miwili hajafikisha anaanza kulalamikia kikokotoo, sasa wewe unamlalamikia nani? Maana muda wako wa kustaafu utakapofika Rais hatakuwa huyu aliyepo sasa, wewe msubiri Rais wako wa miaka hiyo utakayostaafu ndipo ulalamike" - Antony Mtaka, Mkuu wa Mkoa wa Njombe.

NB; Haya ndo mawazo ya RC maarufu?
Tatizo mnaamini mtaka hakosei Kwamba amenyooka sana!! Hakuna mtu asiyekosea hapa kakosea anapaswa kuelimishwa! Amekuwa mjinga kuhusu kikokotoo na haki za watumishi.
Nikwamba mtumishi mmoja akinyanyaswa sooote tumenyanyaswa... Mtanzania mmoja akinyimwa haki woote tumenyimwa huo ndiyo msimamo wa taifa pevu linaloamini binadamu wote ni sawa linapokuja suala la haki!!
 
Back
Top Bottom