Hivi 'Mashemeji' zangu 'Wachagga' kwani ni lazima muende Kwenu Kilimanjaro kila 'Krismasi' tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Mbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba?

Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu.

Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia kujiwekea utaratibu wa kwenda huko Kwenu Kilimanjaro hata katika Miezi mingine na msilazimishe tu huu Mwezi wa Disemba.

au mkiweza igeni tabia za haya Makabila ya 'Washamba' Tanzania nzima ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara, Warangi na Wanyamwezi ambao utaratibu wao wa kwenda Kwao huko huwa ni kila baada ya Miaka Mitano au hata Kumi vile vile.
 
Utajiju, wewe kwenu huna hata choo utaendea uani wapi!?
Mtawasema sana wachaga hadi mpauke midomo ila kwenda kwao december hawatoacha!
Hata atokee dikteta wa wapi aseme wachaga waache kwenda kwao itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
Hata mseme wanakwenda kutambika kwa kufukua makaburi hawatoacha ng’o!
Hata muwatukane matusi ya aina zote mnayoyajua hawatajali kamwe!
Kikubwa wote mnaoona wachaga sijui wanakosea tafuteni hela mjenge kwenu, pendaneni acheni ubinafsi na wivu wa kipuuzi!
Hili la wachaga kwenda kwao december eti ni kwa nini wasiende mwezi mwingine ni utamaduni ambao hakuna wa kuweza kuubadilisha labda iumbwe dunia mpya!
Sherehe za krismasi ni sherehe za familia, hivi miezi kama ya nne au nane ambapo watoto wapo shule na wazazi wapo kazini inawezekanaje kwa familia kukutana na kufurahi pamoja!?
Kwa kweli wewe Gentamycine unayejiita sijui majina gani humu na watu kukuona una akili na wewe mwenyewe kujishaua kuwa una uwezo kifikra, kwa huu uzi ulioleta nimekuona kwamba una kila sifa za kuitwa zwazwa!!
 
Mbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba?

Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu.

Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia kujiwekea utaratibu wa kwenda huko Kwenu Kilimanjaro hata katika Miezi mingine na msilazimishe tu huu Mwezi wa Disemba.

au mkiweza igeni tabia za haya Makabila ya 'Washamba' Tanzania nzima ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara, Warangi na Wanyamwezi ambao utaratibu wao wa kwenda Kwao huko huwa ni kila baada ya Miaka Mitano au hata Kumi vile vile.
Mchaga na matambiko aka uchawi ni uji na mgonjwa
USSR
 
Acha upuuzi wewe.

Kila mtu afanye anachoona ni sawa kwake. Hakuna aliepangiwa mwenzi wa kwenda kwao. Kila mtu aende akitaka. Sisi Wachagga tumechagua tupambane mwaka mzima halafu mwisho wa mwaka twende kwetu kusalimia wazee wetu na kufurahia sikukuu za Noeli na Mwaka Mpya.

Kama unaona wivu kufa tutatuma rambirambi.
 
Mpuuzi ni nyie hadi shemeji yenu anawaletea uzi kuwasimanga

USSR
 
Mbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba?

Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu.

Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia kujiwekea utaratibu wa kwenda huko Kwenu Kilimanjaro hata katika Miezi mingine na msilazimishe tu huu Mwezi wa Disemba.

au mkiweza igeni tabia za haya Makabila ya 'Washamba' Tanzania nzima ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara, Warangi na Wanyamwezi ambao utaratibu wao wa kwenda Kwao huko huwa ni kila baada ya Miaka Mitano au hata Kumi vile vile.
Nani kakwambia warangi wanaenda kwao baada ya miaka 5?
 
Kwetu ni Ibada muhimu sana. Na hali hii itadumu daima
 
Usitupangie! Au unapeleka? Watu kwenda kwao wakati maalum?
 
Mchaga na matambiko aka uchawi ni uji na mgonjwa
USSR
Halafu wanajifanya watu wa dini sana.......ni wapi ukristo umeruhusu kutambikia mizimu, mizimu ni miroho michafu inayokuja kwenye sura za wafu ili ifanyiwe ibada. Mtu mwenye ufahamu wa kawaida wa dini huwezi kuchinja mbuzi eti unawatolea wazee sadaka. Ukisoma kitabu cha Ayubu imeandikwa binadamu akishakufa kumbukumbu lake limepotea, hana chochote anachojua......watoto wake wanaweza kuwa watu maarufu yeye hatambui, hata kama wanapata mateso hajui chochote kinachoendelea.......leo mtu unaenda eti kupalilia makaburi na kutoa sadaka kwenye makaburi ili ku appease mizimu ya mababu, na bado unajigamba ni mtu wa dini..........hiyo ni spiritual bankruptcy.....​
 
Acha wivu ndugu. Jipangeni na nyie na kabila lako ili kila mwezi fulani muende kwenu. Unajua kila mtu ana tamaduni zake, kila mtu huamua kudumisha tamaduni za kabila lake. Wachagga ni powerful tribe kwasababu ya hiki wanachokifanya hadi leo. Kumbuka pia kaskazini ndyo kanda pekee ambayo walitaka kupata uhuru wao kabla ya Tanganyika
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom