kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Unaishi vipi na watu wa mtaani kwenu ulikozaliwa na kuishi huko

    Nimezaliwa katika mtaa ambao kwa sasa naweza ita ni uswahilini, pamoja na wengi kuondoka na kujichanganya kwingine, mimi narudi home karibu kila wiki kwa sababu home zipo biashara zinazonipeleka, pamoja na wengine kuhama bado wapo wenyeji wengi sana wanaoshi hapo mtaani kwetu...
  2. Mkisikia 'Supu ya Bure' na 'Uroho wenu' mnafakamia tu sasa Kazi Kwenu

    Na usiombe ufakamie Supu ya Bure itokanayo na Ng'ombe wa Uwizi na waliokuwa na Utapiamlo. Mtakula sana Flygil na Antibiotic!!!!!
  3. Wabunge 168 wakubali adhabu ya kifo kwa wezi - majimboni kwenu mmewatuma kazi wabunge hao?

    Wanabodi, Salaam! Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi. Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania...
  4. Uliwahi kukamwatwa kwenu unavusha?

    Katika harakati za ujana nimevusha round mbili nakuvushwa round moja. 1: Siku ya kwanza na vusha mother alikua kasepa kikazi na dingi akaona acha akazurure zake kijijini kumdekea mama yake, msela nimeachwa zangu home kama sungu sungu nalala gheto la nje machalii ndani. Zoezi lilikua hivi...
  5. Kwanini hutaki kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?

    Kwema Wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, ni sababu gani inayokufanya usitake kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini? Mimi: Kwa sababu mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe?
  6. Chukueni hii 100% Kocha Roberto na Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC Kocha Mgunda katika Mzozo mkubwa, ila kwa sasa Unafichwa Kwenu

    Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda. Taarifa ikufikie ya kwamba kumbe Kocha Juma Mgunda ( ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Mkuu wa Simba...
  7. S

    Suali kwenu

    Alietairiwa na asie tairiwa/aliekeketwa na asie keketwa yupi ananogesha ? haya wapita njia mbalimbali tupeni elimu ili wakati wa ndoa tujuwe wa kuchagua.
  8. Wana Kagera ( Watani zangu Wahaya ) taratibu Kadinali Rugambwa siyo wa Kwenu Bukoba, bali ni wa Tanzania kote

    Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa? Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
  9. Hivi wazazi na walezi mnawezaje kuishi watoto viburi majumbani kwenu?

    Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake. Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
  10. Kilio kwenu mama samia na waziri mkuu majaliwa

    Salaam! Sisi baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kimanilwentemi kata ya Bugogwa WILAYA ya Ilemela Tuna tatizo ambalo tunahisi Kuna harufu ya rushwa. Iko hivi, Kuna shule ya serikali imejengwa hapa mtaani inaitwa shule ya SEKONDARI IGOGWE. Eneo la shule hii ni dogo na ilionekana kuwa inapaswa eneo...
  11. Simba kazi kwenu

    Yamebaki masaa machache Simba kwenda kulitia taifa aibu.
  12. Askari wa Kituoni Ubungo Simu 2000 kilichowatokea leo kiwe ni Fundisho Kwenu na muache kuonea Madereva mtakuja Kufa Kipuuzi

    GENTAMYCINE nilikuwa naambiwa hakuna Madereva Waliodata na Wasioogopa lolote, Wathubutu na Majasiri kama wa Masafa Marefu ( Malori ) ila kwa nilichokishuhudia Mubashara leo Ubungo SIMU 2000 nimekubali na Kuwanyooshea mikono. Ilikuwa ni mida ya Saa 7 Mchana ambapo Askari wa Ubungo SIMU 2000...
  13. Swali kwenu

    Hivi kwa mwanamke ni umri gani sahihi kuitwa mzee.? Maana humu kila mtu utasikia lishangazi sasa mtu ana 32 au 34 unamwita mtu lishangazi . Na wewe una 45 to 60 nani nilimmjomba?? Semeni tu ukweli
  14. Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

    Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika. 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? 2. Mali ngapi bado zipo...
  15. Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

    Hellow Inapokuja swala zima la kuolewa kwa mtoto wa kike kunakuwa na mitazamo tofauti kuanzia mzazi mpaka mtoto mwenyewe wakike anakuwa na mtazamo tofauti Ipo hivi kuna familia ina watoto wa kike 3 na wa kiume mmoja wa kike wote hawajaolewa mama yao anasema watoto wake wamerogwa ili wasiolewe...
  16. Huu wizi wa wazi kwenu watu wa halimashauri

    11
  17. Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  18. Kwahiyo mnataka kumtoa Phiri mnayemchukia kwa Mkopo ili mumlete huyo Mtogo wenu aliyekubali kutoa 10% Kwenu?

    Salim Abdallah Mhene ' Try Again' Mimi GENTAMYCINE nakuonya kwa mara ya mwisho na huyu Mshambuliaji wangu Kinara na Kwangu Mimi ndiyo namba Moja Simba SC Moses Phiri akitolewa kwa Mkopo au Akiachwa kama ambavyo unapanga na Kushinikiza utanisamehe mno kwani nitaenda Kufunguka mengi yanayokuhusu...
  19. Wadada mnaoendesha magari na wenye kazi nzuri acheni kulinga mtazeeka mkiwa kwenu

    Mko poa Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe. Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2...
  20. Kwenu ninyi Feminist uchwara

    hh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…