Swali kwenu

Hivi kwa mwanamke ni umri gani sahihi kuitwa mzee.?
Maana humu kila mtu utasikia lishangazi sasa mtu ana 32 au 34 unamwita mtu lishangazi .
Na wewe una 45 to 60 nani nilimmjomba??

Semeni tu ukweli
Mwanaume akiwa na hela mbele ya mwanamke hazeeki! Anaitwa baby! Mwanamke ndo anazeeka! Mashangazi japo wanahela bado ni wazee a.k.a "mashangazi"
 
Back
Top Bottom