kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

    Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
  2. JamiiForums Tanzania Je kijijini kwenu kuna hawa watu wanaomba kama vijiji vya kwetu?

    Ukienda pale kijijini kwetu, inakubidi uwe umechenji hela zako ziwe buku buku au buku mbili, Aise Wamezidi Kuomba, yaani usikutane na mtu anayekujua utasikia tu "We Kijana Wa Mama Flani ninunulie basi sukari" hujakaa sawa Huyu nae anataka Buku, Mara buku mbili. Kwa sisi watu Wa Vyombo Hadi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania imekuwaje umebakiza miaka 25 tu ufikishe 60 na bado hujaona sababu ya kupata hata mtoto mmoja ?

    Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
  4. JamiiForums Tanzania Je, watoto wako watakumbuka asili ya ulipotokea? Watajua lugha na tamaduni za kwenu?

    NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro ndio makazi yake yapo mpaka Leo, Ujaluoni nimefika marachache zaidi nadhani katika maisha yangu...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwenu wana JF

    Msaada, samahani wana JF kama unaandika barua ya kuomba nafasi zilizotangazwa na chuo kikuu, mfano unaomba nafasi ya uhasibu katika XYZ university, barua utakayoandika utatakiwa kumuaddress HR ama Principal wa chuo? Kuuliza si ujinga. Asante
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kabisa kwenu vijana

    Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu . Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo...
  7. JamiiForums Tanzania JWTZ mmesikia na sauti iko sawa kabisa, kazi kwenu

    Wanaukumbi. JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..πŸ“Œ JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli. JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na...
  8. JamiiForums Tanzania HOJA Washereheshaji (MCs) hii tabia ya kuchukua video au picha bila idhini na kuzipost kwenye kurasa zenu mnaona ni sawa?

    Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa? Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipost Nacheza ukumbini...
  9. JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye jukumu la kupendezesha kijijini kwenu?

    Wengi hatuendi vijijini tulipo toka kutokana na labda mazingira sio rafiki. Inawezekana labda, bado kuna nyumba za nyasi, udongo, choo kisichokuwa na ushirikiano, hakuna umeme, au mazingira ni machafu. Ingawa huku mjini tunajimwambafai kuwa tuko vizuri, kwa kuendekeza starehe, kujifanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hali ya biashara huko kwenu ipoje.....

    Najiuliza tu kwa mikoa mingine huko Hali ipoje ndugu zangu. Sisi huku tunaangalia tu madukani . Tunajihoji ni mkoa wetu tu au na huko hali ipoje.
  11. JamiiForums Tanzania Ni wazo ila ni msaada kwenu TRA

    Naanza kwa kuwaponda viongozi wanaosafiri kwenda nchi za nje na kisha kurudi wakiwa na mashudu kichwani. Ina maana gani ya kwenda nchi za watu mkarudi kichwa cheupe hata mjifunzi makosa au mbinu. Hii sio kwa TRA ni kwa idara zote mpaka serikali nzima. Mfumo wa TRA ulikuwa na njia rahisi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwenu machama yangu Argentina, Morocco, Spain na Algeria

    Ingawa mimi ni shabiki mkongwe wa Albiceleste, na bado naimani kubwa sana na chama langu kubeba kombe hili (Back to Back) Lakini kwa upande wa Afrika nipo na chama langu The Atlas na mabingwa wa Afrika CAF CHAMPIONS LEAGUE πŸ‡²πŸ‡¦ MOROCCO πŸ’ͺ🏽, niwatakieni kila la kheri katika mchezo wenu wa kwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Kwenu wazazi wenye watoto wa kike

    Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu. Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa. Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje...
  14. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu πŸ˜‚πŸ˜‚ karibuni mnaotaka kuonana na mimi

    Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu πŸ˜‚πŸ˜‚ karibuni mnaotaka kuonana na mimi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  16. JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa na kazini kwenu hakuna lunch wala hela ya usafiri, wewe na boss wako tafuteni kazi nyingine!

    Hii serikali unaguzi hauishi. Wote na degree moja, ila mwingine kapewa nyumba, ana posho /hela ya nauli na mshahara wa moto. Wewe uko na basic ya 1.2m na unavimbishiwa na boss, mkuu wa hidara, mkuu wa section nk. Mahala pako na shida. Kama vipi tuwe tuna reshuffle. Si wengine ata kaunda suti...
  17. JamiiForums Tanzania Nimegundua kila jamii inatabaka, kuna tabaka ambalo walishajichagua wenyewe, tabu na mateso yenu ni ya kwenu wenyewe ingawa hawawezi survive bila nyie

    Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia. POLENI SANA. Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu. Mshana Jr min -me ngara23
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati leo ikibidi msilale majumbani kwenu

    Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo usiku hivi inabidi mkae kwa rada sana !!! Najiuliza kwani kumbe report haikuwa ya maana yeyote ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenu CCM mtandao

    Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha. Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu. Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi hili tatizo la Twitter (X) kutokufanya kazi ni kwangu tu au na kwenu lipo?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…