kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Makonda alikupora mali zako, unasubiri nini kwenda Mahakamani?

    Huyu bwana alipokuwa mfalme wa jijini kila mtu alilia kilio chake hasa matajiri wa mjini, tulisikia kuna waliolazimishwa kutoa sehemu ya mali zao ili waendelee ku-survive, kuna waliobishana naye wakaukimbia mji. Badala ya kumwambia Mama amkamate wakati tunajua kila kitu ni ma-evidences, mama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakina Halima Mdee wamekataa kwenda kumsalimia Mbowe Mahabusu?

    Wahenga walisema ukistaajabu ya Farao utashangaa ya Musa. Najaribu kutafuta picha kama akina Mdee na wenzake kwa jinsi walivyokuwa kindakindaki na utii ndani ya chama na mwenyekiti, wadada wa Bawacha walikuwa na makesi kibao ya kumtii Mwenyekiti lakini leo kunauadui zaidi ya ule wa chui na paka...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Botswana, natakiwa kuwa na Visa?

    Wakurugenzi nimepata mchongo Nampula Botswana je hints nafikaje huko? Ubalozi wao upo wapi hapa Tanzania? Naona hapa pananifaa. Vigezo gani vya kuingia huko? Nimetenga 1500$ Kama safari alafu 1000$ ya kukaa miezi mitatu rental
  4. JamiiForums Tanzania Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

    You may not like this. But it happened... Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla.... Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja...
  5. JamiiForums Tanzania Watumwa walikuwa wanaamini wazungu wanawanunua ili kwenda kuwala

    Enzi za utumwa hali ilikuwa ni mbaya sana. Mtumwa alikuwa ni mtu wa hofu kwenye safari yake yote. Nafikiri alipofika anapokwenda alipumua kwa ahueni baada ya kujua kuwa ameenda kulima. Inasemwa kuwa mara tu walipofika pwani na kuona meli huzuni kuu iliwaingia. Macho yao yalionyesha kukata tamaa...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

    BAADA YA WANAWAKE WA CHADEMA KUACHIWA, SISI VIONGOZI WA DINI TUMESITISHA SAFARI YA KWENDA MBWENI NA KWENDA KUMUONA IGP SIRRO! Jumapili tulitangaza kuwa kama siku ya Jumatatu Jeshi la Polisi lisingeliwaachia viongozi wa CHADEMA 7 na Waandishi wa Habari 2 waliokuwa wanashikiliwa katika Kituo cha...
  7. JamiiForums Tanzania Cable ya kutoka katika IP board kwenda katika scan board pana pamoja na cable ya kutoka scan board kwenda ADF ya IR 2520 machine inahitajika

    Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan board pana na cable ya kutoka scan board kwenda ADF. Nipo Dar maeneo ya posta -0753390827
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Tofauti na wakoloni, watawala wetu hawana pa kwenda hawatambui kuwa ‘Kwao ni Kwetu’

    Serikali ya kikoloni ilikuwa occupation na walitumia Dola, Vitisho na ubabe kutwaa madaraka lakini walijua siku ikifika wameshindwa watarudi makwao. Hawa wakoloni weusi ni kama hawatambui kuwa kwao ni kwetu! Hawana pakwenda! Ila kuondoka madarakani haikwepeki #TutaelewanaTu. ~ Maria Tsehai...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasaikolojia: Wanaume wanaopenda kwenda Gym ndiyo Wanaongoza kusalitiwa na Kupungukiwa nguvu za Kiume

    "Wanaume wenye kupenda kufanya tu Mazoezi ya Kutembea Umbali mrefu au Kukimbia umbali wa Kiasi ndiyo Wanaoongoza kwa Kuwaridhisha zaidi Wapenzi wao Vitandani tofauti na wale wapenda kwenda na Kukesha gym", alisema Mwanasaikolojia. Siku zote Mightier nimekuwa nikiwapinga mno hawa Wanasaikolojia...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo na usalama wa mtandao wa Internet vinatakiwa kwenda sambamba

    Katika miaka ya hivi karibuni mtandao wa Internet umekuwa ni moja ya maeneo yenye maendeleo ya kasi duniani. Kuanzia ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya internet, vifaa vya mawasiliano kwa njia ya internet kama simu na kompyuta, na hata matumizi ya internet, serikali mtandao...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Rwanda kwenda kukomboa miji iliyokuwa chini ya waasi huko msumbiji je ni kutuonyesha ubabe au?

    Nimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli kwamba kuna majeshi yalisha kwenda huko kupambana na waasi bila mafanikio ya kurejesha miji hiyo. swali ni Je, Rwanda inatupa ujumbe gani sisi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Njia ipi nayoweza tumia kusafirisha mifugo kwenda Zanzibar

    Wadau wasalaam Nimepata tenda ya kupleka Ngombe na Mbuzi Zanzibar kutokea Dar es alaam. Naomba ushauri njia ipi nayoweza tumia kusafirisha mifugo(ikiwa hai) na pia kusafirisha kama nyama ikiwa imechinjwa. Ahsante.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Namba za simu za wake wa watuhumiwa wa Ugaidi zinatafutwa, watoto wao wanahitaji msaada kwenda shule

    Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto wa watuhumiwa hupatiwa michango ambapo husaidiwa kuendelea na masomo na kufarijiwa maana...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aliyekuwa Muhasibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu ahukumiwa kwenda jela miaka 40 kwa ubadhirifu

    Godfrey Kazinda ambaye alikua mhasibu ofisi ya Waziri Mkuu wa Uganda amekutwa na hatia ya ubadhirifu wa dola milioni 26.4 (Sawa na Tsh. Bilioni 61.16) zilizotolewa na serikali ya Ireland, Sweden na Denmark Kazinda alitumia fedha hizo kukaa hoteli kubwa kwa miezi 10 na kuishi maisha ya anasa...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako. Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika. Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Afrika hawatumii KQ kwenda UN

    Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja. Kuna shida gani kuwaunga mkono QK na kuonyesha mshikamano wa kiuchumi wa waafrika
  18. JamiiForums Tanzania Safari ya astral, safari ya kwenda kwenye nyota

    SOMO LA TISA Katika somo la mwisho tulishughulikia katika hatua za kumaliza na mawazo. Tulisema "mawazo ni wapi unataka yawe." Hiyo ni fomula ambayo kwa kweli inaweza kutusaidia kutoka nje ya mwili, kufanya safari ya astral. Wacha tuirudie. Mawazo ni wapi unapotaka ywe. Nje yako, ikiwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji walioko mkoani Sumbwawanga(Kanongo) wanaongoza kwa kuwadhulumu wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi

    Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewadanganya kuwa ukipima Covid-19 Tanzania basi ukisafiri kwenda Nigeria haiwezekani ukakutwa nao ni nani?

    Pimeni leo hapo Muhimbili hiyo Covid-19 yenu ila mkifika tu Kwao nchini Nigeria 85% ya Wachezaji wenu watakutwa nayo na Kuna uwezekano Golini akakaa Hersi, Kiungo akacheza Haji na Ushambuliaji akamaliza Senzo huku Mzee Mpili akiwa ndiyo Kocha Mkuu wenu. Eti leo mnailaumu Simba SC kuwa ndiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…